takukuru

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Pre GE2025 TAKUKURU Temeke yamkamata Habibu Mchange ambae ni mtia nia Ubunge jimbo la Kigamboni kwa Tuhuma za Rushwa

    Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Mkoa wa Temeke, imemkamata na kumhoji Mwananchi aitwaye Habibu Mchange, ambaye ni mwanachama wa chama cha mapinduzi CCM, kwa tuhuma za rushwa ambapo wameeleza ni miongoni mwa watia nia ya kugombea nafasi ya ubunge jimbo la Kigamboni. Kupata matukio na...
  2. Bodi ya Ligi kuu yaahirisha Mechi ya Derby kati ya Yanga dhidi ya Simba

    Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi Kuu Tanzania (TPLB) katika kikao chake cha leo Machi 8, 2025, ilipitia shauri la klabu ya Simba kuzuiliwa kuingia kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa kwa ajili ya kufanya mazoezi ya mwisho kuelekea mchezo namba 184 wa Ligi Kuu ya NBC (Young Africans SC vs...
  3. Makonda aagiza takukuru imuhoji mbunge Gambo

    Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda, ameagiza Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Arusha kufanya uchunguzi wa upotevu wa kiasi cha fedha shilingi milioni 400 zilizochangwa na wadau kwa ajili ya kusaidia waendesha pikipiki maarufu bodaboda. Fedha hizo zimepotea na...
  4. Pre GE2025 Arusha: RC Makonda aiagiza TAKUKURU kumhoji Mrisho Gambo upotevu wa Tsh. Milioni 400 zilizochangwa na wadau kwa ajili ya kusaidia bodaboda

    Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda, ameagiza Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Arusha kufanya uchunguzi wa upotevu wa kiasi cha fedha shilingi milioni 400 zilizochangwa na wadau kwa ajili ya kusaidia waendesha pikipiki maarufu bodaboda. Fedha hizo zimepotea na...
  5. Uchaguzi wa CWT wilaya ya Butiama utazamwe na TAKUKURU

    Kuna tetesi kuwa mchakato wa uchaguzi wa CWT katika wilaya hiyo umegubikwa na visa vingi vinavyokiuka taratibu za uchaguzi. Mojawapo ya visa hivyo ni pamoja na usambaji wa fomu kwa wagombea ngazi ya matawi unaoambatana na kupewa kiasi fulani cha pesa. Tunaiomba TAKUKURU imulike uchaguzi huo...
  6. Singida: TAKUKURU yabaini upigaji, yafanikiwa kuokoa milioni 75.3 utekelezaji wa miradi ya maendeleo katika sekta za elimu

    TAKUKURU YABAINI UPIGAJI WA FEDHA SINGIDA Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa TAKUKURU mkoa wa Singida imefanikiwa kuokoa zaidi ya shilingi milioni 75.3, baada ya kufuatiliaji utekelezaji wa miradi ya maendeleo katika sekta za elimu. Akitoa taarifa kwa waandishi wa habari juu ya utendaji...
  7. S

    Naiomba TAKUKURU imuite kocha wa Singida Black Stars na kumhoji anaweza kuwasaidia kujua nani aliagiza kikosi cha pili kianze leo

    Ukweli lazima usemwe mechi ya leo imetia aibu sana mpira wetu, wachezaji wa maana kabisa waliosajiliwa kwa mamilioni ya shilingi kwa ajili ya kucheza mechi kubwa wamewekwa benchi halafu wanakuja kuchezeshwa akina Rashid Juma. Ukweli lazima usemwe kuwa Jana na juzi wachezaji walikuwa busy na...
  8. M

    TFF na TAKUKURU waangalie hili suala la upangaji wa matokeo linalofanywa na Yanga wakishirikiana na washirika wao Singida Big stars

    Bila ya kupepesa macho suala lililifanywa hivi leo na Singida Black stars linaonesha viashiria vyote vya upangaji wa matokeo katika ligi kuu ya NBC nchini Tanzania. Yaani Singida BS wameanza na kikosi kwa kuweka nje nyota wake wote wapya ww kimataifa huku wakianza wachezaji wenye viawango...
  9. TAKUKURU Singida yabaini madudu miradi ya ujenzi wa Shule Singida, Kodi ya Zuio kutopelekwa TRA

    TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Singida imebaini madudu katika miradi inayotekelezwa katika halmashauri za mkoani hapa ambapo Kodi ya Zuio (Kodi ya Huduma) imekuwa ikikatwa lakini haiwasirishwi katika Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA). Mkuu wa TAKUKURU - Singida...
  10. Serikali kupitia taasisi ya kuzuia na kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Mwanza katika kipindi cha Oktoba hadi Disemba 2024 imefanikiwa kufuatilia

    Serikali kupitia taasisi ya kuzuia na kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Mwanza katika kipindi cha Oktoba hadi Disemba 2024 imefanikiwa kufuatilia utekelezaji wa miradi ya maendeleo 13 yenye thamani ya zaidi ya sh. Bil 4.4 kwenye sekta ya Elimu, Barabara na Biashara ambapo kati ya hiyo...
  11. Pre GE2025 Kuelekea uchaguzi mkuu ili kukabiliana na rushwa TAKUKURU Tumieni maafisa vipenyo na mawakala vicheche

    90% chaguai nyingi zinagubikwa na rushwa kuanzia ndani ya vyama na nje ya vyama . Wagombea wengi huwatumia viongozi katika serikali za mitaa ili kupenyeza rushwa zao kwenda kwa wananchi hili ninelifanyia utafiti kwa kuwahoji baadhi ya vijana na wakakiri kwamba huwa wanapewa around 15k kupitia...
  12. TAKUKURU chunguzeni utajiri wa kutisha wa timu ya Singida Black Stars

    Kila mwenye akili timamu lazima ajiulize chanzo cha ukwasi wa timu ya Singida Black Star 1. Hii timu inamilikiwa na nani? Mbona boss yupo kwenye mabano, ingekuwa kama Azam ya tajiri Bakhresa, Ken Gold ya tajiri wa madini Kenneth, Fountain Gate nayo ina boss wake. Kuna timu za taasisi...
  13. A

    DOKEZO Dhulma inayofanywa na maafisa Uchaguzi wa Tume Huru ya Uchaguzi katika Jimbo Njombe Mjini kwa Waandikishaji wasaidizi na BVR

    Licha ya tangazo la mwaka 2024 la kutangaza nafasi za Kazi ya Muda ya waandikishaji wasaidizi na BVR OPERATORS kuaininsha malipo ya Kazi kuwa ni tsh 50,000 Kwa siku na yatalipwa Kwa siku zote za Kazi yaani siku Tisa pamoja na nauli ya kila siku tsh 10,000 Kwa siku zote Tisa za Kazi. Na ndivo...
  14. D

    PCCB wanazidi kuvuliwa nguo tu kwamba hakuna wanachofanya zaidi ya kukaa ofisini tu na kungoja wizi wa kuku

    Rushwa kwa sasa tanzania ipo nje nje na tena inasemwa hadharani as if hatuna takukuru tena. Ona chama cha chadema kinavyojaa rushwa tena nyingine kutika kwa abdul lakini takukuru kimya. Rushwa iko wazi wazi lakini takukuru kimya. Lisu anaonesha mpaka mifano ya rushwa ndani ya chama lakini...
  15. Hapa ni wapi? Trafiki wadakwa kwenye video wakichukua Rushwa mara kadhaa

    Hapa ni wapi, hawa wanajulikana, Kamanda Mulilo, IGP Wambura hapana naona mtaharakisha kutoa press Release kama vile mwafanyaga kwenye matukio mengine. Zaidi kongole kwa camera man wa kujitegemea. Updates: Polisi yachukua hatua, yalaani vikali kitendo hicho
  16. DC Meatu: TAKUKURU inachunguza tuhuma za Watumishi waliochukua fedha za michango ya Wananchi kujenga Shule

    Baada ya Mdau wa Kata ya Kabondo Wilaya ya Meatu Mkoani Simiyu kuomba Serikali kupitia kwa Rais Samia Suluhu Hassan na Waziri wa TAMISEMI, Mohammed Mchengerwa kufuatilia madai ya ‘upigaji’ wa fedha za Wananchi uliotokea katika Kata hiyo, suala hilo limetolewa ufafanuzi. Kusoma zaidi hoja hiyo...
  17. Pre GE2025 TAKUKURU hamuoni hizi Rushwa: Rais Samia achangia milioni 35, Mbunge na Mkuu wa Mkoa Songwe waongeza Milioni 11.5

    Wakuu, Rais Samia Suluhu Hassan amechangia Shilingi Milioni 35 kwa ajili ya kusaidia ujenzi wa kanisa la Mtakatifu Petro la Anglikana Dayosisi ya Kusini Magharibi Tanganyika lililopo katika Jimbo la Makambako mkoani Njombe ambalo limeanza kujengwa kwa nguvu za waumini na wadau wachache...
  18. JKT Tanzania, TAKUKURU na Bodi ya Ligi ichunguze bank account na kumhoji mchezaji Mohamed Bakari

    Winga Mohamed Bakari aliingia dk66 kuchukua nafasi ya Shiza Kichuya, dk77 alioneshwa kadi ya njano ya kizembe ambayo inashangaza na kama haitoshi dk90+3 akafanya uzembe kwa kumvuta Shomari Kapombe ambaye hakuwa na mpira wala hatari yoyote, jambo lililopelekea penati na timu yake kufungwa. Ni...
  19. TAKUKURU yaipa Mt. Meru Hospital michango yenye thamani ya Tsh. Milioni 15

    Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Mount Meru, imepokea dawa na vifaa tiba pamoja bidhaa zingine vyenye thamani ya shilingi million 15 kutoka kwa Watumishi wa taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa Tanzania TAKUKURU kwa lengo la kusaidia kuokoa maisha ya watoto wanaozaliwa kabla ya Wakati. Akikabidhi...
  20. Pre GE2025 Baada ya uchaguzi, Lissu tunaomba umpeleke Mbowe Takukuru kuhusu fuko la Abdul?

    Fuko la Abdul kila lilikopita mitaa ya Chadema lilipokelewa kwa mikono miwili isipokuwa kwa gwiji la upinzani Afrika. Lissu ndio mtanzania pekee hapo Chadema aliletewa mfuko umejaa mamilioni kama sio mabilioni sebuleni kwake na akaamua kuyakataa. Na ushahidi wa cctv upo. Baada ya uchaguzi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…