takukuru

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    Tetesi: CCM kuwafikisha Takukuru mafisadi wa mali za chama waliotajwa na Tume ya Dr Bashiru kwenye ripoti yake

    Nimepatata fununu hizi muda si mrefu kupitia makada wawili tofauti lakini bado nazifanyia kazi kujua usahihi na uharaka wake. Mmoja wa watoa taarifa amesema huenda zoezi hili likaendeshwa kimya kimya bila tambo za kisiasa ili sheria ichukue mkondo wake kikamilifu. Niwatakie Dominika yenye Baraka!
  2. Erythrocyte

    Naibu waziri wa Mambo ya Ndani Hamad Masauni na Ramadhani Kailima watinga TAKUKURU kuhojiwa

    Baadhi ya wadau walikuwa wanajiuliza kwamba kama Waziri wa Mambo ya ndani na Katibu wake wameng'olewa mbona wasaidizi wao hawajaguswa ? Jibu laweza kupatikana baada ya Naibu Waziri wa mambo ya ndani Hamad Masauni na Naibu Katibu Mkuu Ramadhan Kailima kutinga TAKUKURU kwa mahojiano . Dodoma...
  3. The Sheriff

    Aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani, Kangi Lugola adaiwa kuwa chini ya ulinzi

    Aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola hivi sasa yupo chini ya ulinzi unaomfanya asiweze kusafiri sehemu yoyote bila Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) kuwa na taarifa. Lugola alitenguliwa wadhifa wake baada ya kuhusishwa na mkataba wa kifisadi wa zaidi ya...
  4. Analogia Malenga

    Bunge laiagiza TAKUKURU kukamata vigogo mbalimbali

    Imeelezwa na chombo hicho cha kutunga sheria kuwa fedha hizo zilichotwa katika biashara ya uendeshaji wa machinjio ya Dodoma katika kipindi cha miaka 11 iliyopita. Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Mahmoud Mgimwa, amesema wamebaini watendaji wa Narco na Wizara ya Mifugo na Uvuvi waliohudumu katika...
  5. Roving Journalist

    Ukaguzi wa vyama vya ushirika: TAKUKURU yabaini kasoro na kufanikiwa kurejesha fedha jumla ya shilingi bilioni 4 kutoka kwa watuhumiwa

    TAARIFA KWA UMMA KUPITIA VYOMBO VYA HABARI IMETOLEWA JIJINI DAR ES SALAAM JANUARI 22, 2020 TAKUKURU YAFANYIA KAZI RIPOTI YA UKAGUZI WA VYAMA VYA USHIRIKA: YABAINI KASORO NA KUFANIKIWA KUREJESHA FEDHA JUMLA YA SHILINGI BILIONI 4 KUTOKA KWA WATUHUMIWA Ndugu Waandishi wa Habari, Awali ya yote...
  6. Analogia Malenga

    TAKUKURU Arusha yawapandisha kizimbani 22

    Arusha. Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa(TAKUKURU) mkoa wa Arusha imewafikisha mahakamani watuhumiwa 22 kwa tuhuma mbalimbali za vitendo vya rushwa katika kipindi cha Oktoba hadi Desemba 2019. Mkuu wa TAKUKURU mkoa wa Arusha, Frida Wikesi akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake...
  7. beth

    Ofisa feki wa TAKUKURU akamatwa

    Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), mkoa wa Ilala Dar es Salaam, inamshikilia Hussein Hassani (43), kwa kosa la kujifanya Ofisa wa Takukuru na kutapeli wananchi. Mbali na kujifanya Ofisa wa Takukuru, Hassani ambaye ni mkazi wa Mbagala jijini Dar es Salaam, pia alighushi...
Back
Top Bottom