Serikali kupitia kwa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo imesema kuwa kufuatia kusitishwa kwa lesini ya gazeti hilo, halitaruhusiwa kuchapishwa wala kusambazwa popote nchini au nje ya nchi
Serikali imebainisha kuwa uamuzi huo umetokana na kukithiri na kujirudia kwa makosa yanayokiuka...
Mkuu wa TAKUKURU Mkoa wa Mwanza, Emmanuel Stenga
TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) inawashikilia wafanyakazi 30 wa Bohari ya Dawa (MSD) Mkoa wa Mwanza kwa tuhuma za ubadhirifu wa dawa na vifaa tiba zenye thamani ya zaidi ya Sh. 254 milioni.
Mbali na wafanyakazi hao, pia kuna...
Taarifa iliyofikia Meza ya Habari muda huu Mbunge wa Bunda Vijijini anaemaliza muda wake amekamatwa na TAKUKURU ambao wamemkuta Mbunge huyo amekusanya Wajumbe akiwagawia Fedha Tsh. Elfu 50, kwa kila Mjumbe na akiwa amewachinjia kondoo wawili kama kitoweo.
Tukio hilo limetokea Kijiji cha Mugeta...
Wasalaam..!
Nimemsikia Mh: Rais leo akiwatuma IGP na Mkurugenzi wa TAKUKURU wawafikishie salam vijana wao wa mkoa wa Arusha na kuwapa onyo la mwisho kwani nao ilibidi wapigwe panga! Kwani wamefanya nini?
Wenye information mtujuze tafadhali
Ofisi ya TAKUKURU wilaya ya hanang' mkoani Manyara inamshikilia Patrick Joackimu Kauky@Gauensi Joackimu Kauki baada ya kubainika kuweka madirisha yaliyo chini ya kiwango katika ujenzi wa Ikulu ndogo unaoendelea wilayani Hanang'.
Uchunguzi wa TAKUKURU ulibaini kuwa mzabui hyo alipewa zabuni ya...
Mwanamziki mkongwe Lady J Dee; ameonesha kukerwa Sana na tabia ya mapromoter, sponsor na mapresenter Kuwataka kingono wasanii wa kike!
Adai tabia hiyo inaua Sana ndoto za wasanii hususani chipukizi kuingia kwenye gemu!
Salam ziwafikie:
Waziri wa Habari na Michezo
Takukuru
BASATA
Swali ni je...
WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema Serikali imewaagiza Makamanda wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) nchini wahakikishe wanawakamata na kuwachukulia hatua watu wote watakaojihusisha na vitendo vya rushwa kuelekea uchaguzi mkuu.
“Watu wamezoea vitendo vya rushwa kwenye...
Takukuru Mkoa wa Songwe inamshikilia Mjumbe wa Baraza la UWT Taifa toka Mkoani Songwe Neema Ndabila kwa kukutwa akigawa Rushwa kwa wajumbe wa UWT wa Wilaya ya Songwe kwa lengo la kumuunga mkono ili aweze kuchaguliwa kuwa Mbunge wa Viti maalumu.
Kamanda wa Takukuru Mkoa wa Songwe DAMAS SUTA...
TAKUKURU Wilaya ya Ilala acheni kutumika vibaya na Jerry Silaa.
Kila mkipigiwa kuhusu habari za huyu mtu mnatujibu vibaya, naye anatamba kama chombo hiki ni chake.
Wiki ya pili sasa anatuamsha Wajumbe wa Mkutano Mkuu Jimbo la Ukonga kati ya saa 5 na 8 usiku akiwa na gari lake na anaongozana na...
Katibu mkuu wa Chadema mh John Mnyika leo amehojiwa na Takukuru kuhusiana na swala la makato ya fedha za wabunge wanaowakilisha wananchi kupitia chama hicho.
Source ITV habari
Maendeleo hayana vyama!
Kuna Taarifa nimezisoma katika Gazeti la Habari Leo Ukurasa wa Tatu na Gazeti la Majira Ukurasa wa Nne zikisema kuwa TAKUKURU sasa ndiyo wamegundua na wanaanza Kulivalia Njuga Suala zima la Rushwa za Ngono Mashuleni na hasa hasa Vyuo Vikuu. Kwa Lugha nyepesi tu yaani hapa TAKUKURU wanataka...
Kama watu wa Takukuru mnapitia hum JF. Natoa taarifa kupitia jukwaa hili pendwa.
Naomba msiishie kuichunguza Chadema na CCM kuhusiana na rushwa za matumizi mabaya ya fedha kwa Chadema na wagombea wa CCM ambao kila siku mnawafuatilia katika majimbo yetu kwa misaada wanayotupa kama ni rushwa...
Niliwahi kuleta uzi hapa nikiwasihi wabunge wa CHADEMA waliokuwa wakitoka kuhojiwa takukuru wasitupe majibu tusiyoyahitaji.
Hasa suala la makato ya pesa kwa wabunge wao, kwani hakuna aliyekuwa anahoji makato, bali maswali yalikuwa ni matumizi.
Sasa leo kupitia itv mbunge Cecil Mwambe ameliweka...
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) ilianza na inaendelea na uchunguzi wa sakata la rushwa kubwa ya mabilioni dhidi ya aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola na makamanda wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji. Hii ilifuatia agizo lako kwa vyombo vya ulinzi na usalama...
Nakumbuka kati ya mwaka 2017 au 2018,Zitto aliibua tuhuma kuhusu machimbo ya madini ya chuma ya Leganga na Mchuchuma tuhuma ambazo zilipelekea aitwe TAKUKURU kwa mahojiano, ila tangu ahojiwe hatujawahi kupewa mrejesho.
Cha kujiuliza hapa ni je,kama tuhuma zile zingekuwa za uongo, Zitto...
Nimwwasikiliza wabunge wote wa Chadema waliohojiwa na vyombo vya habari baada ya kutoka kwenye mahojiano na maofisa wa Takukuru.
Kwanza nilimsikiliza Lijualikali aliyedai wabunge wa Chadema wamepanga njama za kuidanganya Takukuru.
Nikakaa mkao wa kuwasikiliza wabunge wengine ili nibaini hizo...
Mbunge wa Kilombero mh Lijualikali alikuwa ni miongoni mwa wabunge wa Chadema waliohojiwa na Takukuru kuhusiana na matumizi ya fedha za chama.
Baada ya kuhojiwa mh Lijualikali aliongea na waandishi wa habari na kuwaambia mahojiano yake na Takukuru yamefanyika vizuri.
Zaidi akasema ana taarifa...
Wabunge wa CHADEMA leo wameanza kuwasili katika ofisi za TAKUKURU jijini Dodoma kwa ajili ya kuhojiwa. Mbunge wa Mbeya mjini, Joseph Mbilinyi (Sugu) amekuwa wa kwanza kufika.
TAKUKURU ilisema itawahoji wabunge 69 wa chama hicho kufuatia malalamiko juu ya matumizi ya fedha za makato katika...
Ofisi ya Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Morogoro inamchunguza Mbunge wa Viti MAALUM (CCM) Dk.Christine Ishengoma, kutokana na tuhuma za kugawa rushwa kwa wapiga kura huku ikiwahoji watu mbalimbali kutokana na tuhuma hizo.
Aidha TAKUKURU imewafikisha mahakamani...
JUNI 10, 2020
TAKUKURU MAKAO MAKUU KUHOJI WABUNGE 69 MATUMIZI YA FEDHA ZA CHADEMA
Kwa taarifa hii, tunapenda kuuthibitishia umma kwamba ni kweli kuwa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa – TAKUKURU Makao Makuu, imewaita Waheshimiwa Wabunge wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo – CHADEMA na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.