UTANGULIZI:
KUREJESHWA KWA SH. 10,000,000/= ZILIZOCHUKULIWA KWA UTARATIBU WA MIKOPO INAYOUMIZA WAKOPAJI
Mnamo tarehe 21.05.2020 Ofisi ya TAKUKURU Wilaya ya Misungwi mkoani Mwanza ilipokea taarifa kutoka kwa Mwalimu Mstaafu aitwaye AUGUSTINE JOSEPH NGOWI kuwa amedhulumiwa mafao yake ya kustaafu...
TAKUKURU yasema katika kipindi cha Aprili hadi Juni 2020 imefungua kesi mpaya 5 na mashauri 22 yanaendelea mashauri hayo ni kama ifuatavyo,
Mamlaka ya Mapato (TRA) Mashauri 3, serikali za mitaa mashauri 3, wafanyabiashara mashauri 2,idara ya afya mashauri 4, ujenzi (TANROADS) shauri 1, utapeli...
Habari wana jukwaa,
Awali ya yote niombe kueleza kuwa huwa napenda kukosolewa kwa Hoja pale mtu atakaposema kuwa nimeongea sivyo au nimedanganya. Ninafahamu kuwa humu wamo ambao wameweka nia kwa ngazi ya ubunge na hivyo baadhi tayari wanafahamu kinachoendelea kuhusu nilichokiandika hapa chini...
Utangulizi
Ndugu wanahabari,
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Kagera tumeendelea kutekeleza majukumu yetu kama yalivyoainishwa katika Sheria ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa, Sheria namba 11 ya mwaka 2007. Katika utekelezaji wa majukumu yetu tumeendelea kushirikiana...
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Kagera tumeendelea kutekeleza majukumu yetu kama yalivyoainishwa katika Sheria ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Namba 11 ya mwaka 2007. Katika utekelezaji wa majukumu yetu tumeendelea kushirikiana na wadau mbalimbali wa mapambano dhidi...
Nlikuwa nmeajiriwa Kampuni flani miaka hiyo ya 2010s ndani ya miezi 3 tu Uongozi uliona nafaa kuwa kiongozi katika kitengo cha manunuzi. Walimtoa aliyekuwepo ambaye mpaka muda huo alikuwa na kashfa nyingi sana.
Shida kubwa walikuwa wanamuogopa sababu alikuwa anahisiwa ni mtu wa mfumo na pia...
TAKUKURU mkoa wa Shinyanga katika ufatiliaji wa vitendo vya rushwa kuelekea uchaguzi mkuu wa viongozi, manao tarehe 29/06/2020 majira ya saa tatu usiku mtaa wa Mwasele B nyumbani kwa Joseph Jonas Tasia ilikamata doti mia sita za vitenge zenye nembo ya Chama cha Mapinduzi na vya kawaida vikiwa...
Mkurugenzi mkuu wa Takukuru amewajibu Chadema kwa kuwataka wakasome vizuri sheria ya kupambana na rushwa kabla ya kulalamika.
Mkurugenzi amesema taasisi yake inafanya kazi zake kwa mujibu wa sheria na anaamini Chadema wakisoma sheria hawatalalamika tena kwani watajua utaratibu wa uchunguzi...
Ni wazi TAKUKURU baada ya kushindwa kubaini makosa kwenye michango ya wabunge wa Chadema , kutokana na kudanganywa na Peter Lijuakali, Mbunge aliyeanza vituko Chadema kutokana na chuki ya kukataliwa kwenye kinyang'anyiro cha uongozi wa Chadema Mkoani Morogoro, ikaanza njama zingine nje ya...
TAARIFA KWA UMMA KUHUSU KINACHOITWA UCHUNGUZI WA TAKUKURU DHIDI YA CHADEMA
Ndugu waandishi wa habari
Mnamo tarehe 27 Mei, mwaka huu, Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) walitoa kauli kupitia mojawapo ya vyombo vya habari nchini kuwa wanachunguza kile kilichoitwa michango ya...
Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU amefanya mabadiliko ya vituo vya kazi kwa baadhi ya viongozi na watumishi wa taasisi hiyo.
Mabadiliko hayo yamehusisha watumishi 6 wa TAKUKURU, watano kati yao wakitokea kwatika vituo vya kazi jijini Arusha.
====
Mkurugenzi wa Taasisi ya Kuzuia na Kupapambana na...
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) mkoa wa Dodoma imemrejeshea Bi. Frida Nahamani (62) mkazi wa Michese Jijini Dodoma kiasi cha shilingi milioni kumi (10,000,000) alizodhulumiwa na Bwana Maswe Wambura Mgaya ambaye ni mmiliki wa Taasisi ya SWAHILI TRUST MICROFINANCE ya Jijini...
Mbunge wa Igunga Dalali Kafumu anashikiliwa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa kwa tuhuma za kugawa milungula kwa Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa JIMBO ili waweza kumpa kura kwenye mchakato wa uteuzi wa wagombea.
Heko kwenu takukuru lakini msiishie kuhoji tunataka kuona wakifikishwa...
WAZIRI MKUU- HUDUMA YA UMEME KUVIFIKIA VIJIJI VYOTE NCHINI:
Waziri mkuu, Kassim Majaliwa amesema Serikali inayoongozwa na Rais John Magufuli imedhamiria kufikisha huduma ya umeme katika vijiji vyote nchini vikiwemo na vijiji 25 vya Wilaya ya Ruangwa ambavyo bado havijafikiwa na umeme...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.