Wakuu amani iwe kwenu!
Leo sina mengi ila nataka niwaombe wajomba zangu wa TAKUKURU kwamba kuna wateja wao Kawe tena wateja wakubwa sana. Leo usiku wateja hao walikuwa wanapita nyumba kwa nyumba na kila mwenye kitambulisho cha kura alikuwa anakula pesa halali za kitanzania kati ya 30000/= na...
TAKUKURU MKOA WA MTWARA YACHUNGUZA UBADHIRIFU WA FEDHA ZA MALIPO YA KOROSHO ZA MSIMU WA 2018/2019: YAFANIKIWA KUREJESHA SHILINGI MILIONI 600 KUTOKA KWA WATUHUMIWA
Ndugu Waandishi wa Habari,
Nimewaita kwa mara nyingine tena ili kupitia kwenu, tuujulishe umma kazi ya uchunguzi iliyofanywa na...
Vivutio vya watu ni vingi, kama ubwabwa ni rushwa basi na wasanii ni rushwa kwasababu wanashawishi mahudhurio. Basi pigeni vita matumizi ya wasanii kwenye mikutano ya kampeni.
Badala yake wagombea wapige nyimbo zao za kichama kama vile CCM MBELE KWA MBELEEE... CHADEMA CHADEMA PEOPLES POWER.... nk
Sasa ni rasmi, ubwabwa kutolewa wakati wa kampeni ni rushwa kwa wapiga kura.
TAKUKURU imetamka rasmi kuwa kuwapa watu ubwabwa, wale wanaovutwa kuja kwenye kampeni za Hashim Rungwe, ni moja ya rushwa ili kupata kura.
Wengi tumeandika mitandaoni kuwa huyu Rungwe anatuchukuliaje Watanzania?
Are...
Nikiwa Kama Mtanzania, naomba kutoa ombi na ushauri wangu kwako Jaji Mkuu wa Tanzania. Mahakama Ni Taasisi takatifu mahali popote Duniani. Kuna habari zinaandikwa humu mitandaoni kuwa Kuna njama kutoka watu wa CCM kumhujumu Lissu akiwa mahakamani ili asifaulu kuendelea na harakati zake za...
Habari wanajamii,
Msaada mwenye kujua Ofisi za TAKUKURU ama namba ya simu kwa Dar, muhitaji anaishi mbezi ya kimara hivyo kama zipo za karibu na yeye itakuwa vizuri zaidi!
Kwa niaba yake natanguliza shukrani!
Poleni na majukumu wakuu. Tafadhali naomba kujua sehemu ambayo TAKUKURU wilaya ya Kinondoni Ina ofisi zake kwani ningependa kuzitembelea wanisaidie matatizo yangu.
Waziri mkuu mh Majaliwa amewataka Takukuru kuhakikisha inawashughulikia wanasiasa wanaorubuni wapiga kura au kununua uongozi katika uchaguzi mkuu.
Mh Majaliwa amesema Takukuru iwashughulikie watu hao bila kujali iumaarufu wao.
Chanzo: ITV habari!
Inachekesha Sana kwamba Kama nchi tuna chombo Cha kupambana na Rushwa Ila Hadi Leo tunavyoongea Hakuna mtia Nia wa chama chochote aliyepelekwa mahakamani kwa tuhuma za kugawa Rushwa ingawa Rushwa imetembea wazi wazi
Cha kushangaza zaidi CCM Wana taarifa za baadhi ya wagombea kupitishwa kwa...
Kuna watu wamechukua Mikopo mikubwa sana na ndani ya mkopo hiyo wameongeza mikopo mingine tena juu kwa juu (inaitwa TOP-UP)
Sipo hapa kumpangia mtu Matumizi ya Mikopo yake; lakini swali langu je hao watumishi wanaokatwa mishahara yao yote kwa mikopo wanaishije kwa kubakiwa na chenji kwenye...
Katika kitu ambacho CCM kitabugi ni kupata ushahidi kutoka TAKUKURU ambao tumeona maeneo mengi kabisa nchini wameshindwa kuwajibika ipasavyo.
TAKUKURU maeneo mengi rushwa zimetolewa wazi wazi na wanaangalia bila kuchukua hatua yeyote. Mimi natoka Wilaya ya Singida Vijijini, lakini Wilaya zote...
Sitaki kuamini mpaka leo tunavyoongea kura za maoni zimemalizika ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), hatujaona mahabusu mbalimbali zikijaa waliokuwa Wagombea au watia nia ndani ya Chama Cha Mapinduzi.
Hizi ni dalili kuwa TAKUKURU hawana nia ya dhati kupambana na rushwa bali ni wapigaji tu na...
Wana jf, nimatumaini yangu jukwaa letu pendwa la jf haliwezi kukoswa watu wa takukuru ambao siku hizi ndio kimbilio na mkombozi kwa watanzania wanyonge.
Takukuru nawaomba muwachunguze TCRA na makampuni ya simu yote.
Hii ni kwasababu kumekuwa na wizi mkubwa kwa wateja wanaotumia mitandao ya...
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoani Mara imekamata vitambulisho hewa vilivyokuwa vimeandaliwa kupiga kura za maruhan katika uchaguzi wa ubunge viti maalum mkoani humo.
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) mkoani Rukwa inawashikilia wajumbe 7 akiwemo mtia nia wa ubunge viti maalum Iren Dyamukama wakazi wa kijiji cha Singiwe wilayani Kalambo baada ya kukamatwa wakati wakigawa fedha kiasi cha shilingi milioni nne kwa wajumbe wa UWT wilayani humo...
Taasisi ya kuzuia na kupambana na Rushwa TAKUKURU Mkoani Mara inatarajia kuwahoji wagombea ubunge viti Maalum sita mkoa wa Mara ambao wanadaiwa kuwa ni vinara waliohusika kutoa rushwa katika chaguzi za viti maalum mkoani humo.
Mkuu wa Takukuru Mara, Alex Kuhanda amesema kuwa hadi sasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.