Unaweza kudhania ni hadithi, lakini ndio ukweli wa mambo.
-
AFISA WA TAKUKURU AKAMATWA KWA KUOMBA RUSHWA YA SHILINGI MILIONI 50
Kwa niaba ya Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa – TAKUKURU Brigedia Jenerali John Mbungo, napenda kuufahamisha umma kwamba, Taasisi ya Kuzuia...
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) mkoani Shinyanga, inatarajia kuwafikisha mahakamani watumishi wa halmashauri, kwa tuhuma za kugushi nyaraka za manunuzi na matumizi mabaya ya mamlaka.
Kaimu Kamanda wa TAKUKURU mkoani Shinyanga, Francis Luena, ametoa taarifa hiyo leo kwa...
Takukuru ni chombo cha kumulika na kuwaangza watoaji, wala rushwa na hata wanaoishabikia.
Inaonekana kwamba aidha kuna Takukuru ambao wanafanya kazi sana au wengine hawaonekani kufanya kazi kutokana na maeneo kwakua labda hakuna vitendo vya rushwa au hao takukuru wenyewe ni wala rushwa...
TAKUKURU inamshikilia Mwendesha Mashitaka wa Mkoa wa Manyara, Wakili Msomi Mtalemwa Kishenyi kwa tuhuma za kuomba rushwa ya Milioni 5 kutoka kqa watuhumiwa wa Makosa ya jinai.
Hao watuhumiwa wa Jinai walikutwa na Risasi 370 pamoja na sticker fake za Bilioni 6.
Hizi ni baadhi ya Kesi...
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga, imebaini uchinjaji holela wa mifugo katika Manispaa ya Kahama na kumshauri Mkurugenzi wa Manispaa hiyo kuzifunga machinjio zote zinazoendeshwa kienyeji.
Katika ripoti yake iliyotolewa jana na Mkuu wa Takukuru...
Wakichunguza kesi walizoelekezwa na wanasiasa badala wafuate mfumo wakisheria wanawapelekea Kwanza wanasiasa kuuliza kama wachukue hatua gani?
Nchi nyingine uchunguzi ukikamilika unapata taarifa kamili kupitia vyombo vya habari na hatua zakuchukua. Lakini pia hakuna siku wananchi wanyonge...
Hii ndio taarifa ya TAKUKURU iliyotolewa kwa vyombo vya habari , na kwamba hizo 2% zilizobaki zitakamilishwa na ofisi ya CAG
Hakuna Taarifa kama atafikishwa Mahakamani au la .
Tuendelee kufuatilia .
====
Takukuru yamwachia ‘bosi’ bandari, “waulizwe CAG”
MKURUGENZI Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia...
Wadau hongereni kwa kazi hii kitu imevuma Sana Leo kwa wahusika hao kuvuta 60 mil toka kwa makarani wa pamba huko Wilaya ya Tanganyika hebu wajuvi mtupe nyama inakuwaje hii kitu maana Hawa jamaa inaonekana watu wa dili na kutakuwa na chain ndefu tu ya Kula mlungula
najua humu great thinker...
Mstahiki Meya wa Manispaa ya Moshi, Juma Raibu ameagiza kukamtwa kwa wazabuni wanane wanaodaiwa kula fedha za Halmashauri zaidi ya Sh47 milioni pamoja na viongozi wa vikundi 45 vya asasi za kuweka na kukopa (Vicoba).
Viongozi hao wanadaiwa kuwa wameshindwa kurejesha zaidi ya Sh94 milioni...
Brigedia John Mbungo, Mkurugenzi Takukuru
Teuzi za wanajeshi zilishamirishwa na hulka ya Mtawala aliyepita, Hayati John P. Magufuli ambaye aliamini katika matumizi ya vitisho, nguvu na mabavu katika uendeshaji wa shughuli za Serikali.
Je, bado CCM na Mh. Samia Suluhu Hassan wanaona fahari kwa...
Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU, Brigedia Jenerali John Mbungo amethibitisha taasisi hiyo kumshikilia kwa mahojiano Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) Deusdedit Kakoko aliyesimamishwa kazi na Rais Mhe.Samia Suluhu Hassan.
Hivi Karibuni Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan...
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) Mkoa wa Songwe imeokoa nyumba yenye thamani ya Sh165milioni iliyochukuliwa baada ya mmiliki kushindwa kurejesha mkopo wa Sh15milioni mali ya Jacob Masebo (62).
Kamanda wa Takukuru Mkoa wa Songwe, Damas Suta amesema, Masebo alikopa Sh15milioni...
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA TAASISI YA KUZUIA NA KUPAMBANA NA RUSHWA
Anwaniya Simu:”UCHUNGUZI” Mtaa wa Jamhuri,
Simu Nambari: 262323315 S. L. P 1291,
Nukushi: 26232332 41101 DODOMA,
BaruaPepe: dgeneral@pcc.go.tz TANZANIA.
Tovuti: www.pccb.go.tz
Unapojibu tafadhalitaja:
TAARIFA KWA UMMA...
TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU), imeagizwa kushughulikia kesi za mimba za utotoni ambazo zimekuwa zikiishia mitaani badala ya kwenda kwenye vyombo vya sheria.
Vilevile, imeagizwa kufanya utafiti kuhusu rushwa ya ngono kwa vyuo vikuu vingine na vyuo vya kawaida, kama...
TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) mkoani Kagera, imewafi kisha mahakamani watumishi wanne wa Kampuni ya Stamigold kwa mashitaka ya matumizi mabaya ya ofi si, kujihusisha na vitendo vya rushwa na kuisababishia ofi si hasara ya Sh bilioni 1.1 mwaka 2016/2017.
Mkuu wa Takukuru...
ALIYEKUWA MENEJA MKUU WA KAMPUNI YA STAMIGOLD NA WENZAKE WATATU WAPANDISHWA KIZIMBANI-KAGERA
TAARIFA KWA UMMA
Februari 19, 2021
Ndugu wanahabari,
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Kagera tumeendelea kutekeleza majukumu yetu kama yalivyoainishwa katika Sheria ya...
Salaam Wakuu,
TAKUKURU yautambua mchango mkubwa wa JamiiForums pamoja vyombo vya habari Nchini katika kuendeleza mapambano dhidi ya rushwa nchini. Tukio hilo limefanyika leo 28 Januari Jijini Dar Es Salaam wakati wa Uzinduzi wa Chaneli mpya ya TAKUKURU TV ya YouTube.
Tukio lhili imeambatana na...
TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa TAKUKURU Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara, inamshikilia Mwenyekiti mstaafu wa Kijiji cha Kimotorok, Merubo Parimelo na mjumbe mstaafu wa Serikali ya Kijiji hicho Daniel Melau.
Mkuu wa TAKUKURU Mkoani Manyara, Holle Joseph Makungu amesema watuhumiwa hao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.