Vyombo vya Usalama vimchunguze huyu kiongozi, amekosa sifa za kuwa kiongozi wa taasisi kubwa hii iliyojijengea uaminifu mkubwa kwa jamii
Tukio la kwanza ni kupokea rushwa toka kwa wagombea wenye fedha wa ngazi ya Ubunge na Udiwani.
Vyombo vya kiuchunguzi mnaweza kwenda kata ya mkongo gulioni...
TAKUKURU NG'ATA...
Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU Brigedia Jenerali John Mbung'o, amewasimamisha kazi watumishi 9, ambao walihusika katika ujenzi na usimamizi wa majengo Saba ya Taasisi hiyo yaliyojengwa Chamwino, Mpwapwa, Ngorongoro, Manyoni, Masasi, Namtumbo na Ruangwa.
=====
Hapo jana...
MBUNGE wa jimbo la Kalambo mkoani Rukwa, Josephat Sinkamba Kandege (CCM) amenaswa na akigawa hela kwa wajumbe wa CCM wa Halmashauri kuu ya Wilaya wa Kata ya Matai na Lyowa tarehe 05.10.2018
7 Oktoba 2017 aliteuliwa na Rais Magufuli kuwa Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za...
Ndugu wana bodi
Leo kwenye uzinduzi wa Ofisi mpya za TAKUKURU Chamwino mkoani Dodoma, Sipika Ndugai amemwambia Raisi Magufuli kuwa Wilayani kwake hawana Ofisi za Takukuru .
Kitu cha kushangaza ni kwamba ,Bajeti ya Bunge imepitishwa takribani mwezi mmoja sasa na yeye alikuwa ndiye msimamizi wa...
Tarehe 21 Julai, 2020 kulikuwa na mchujo wa watia nia kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Jimbo la Rorya. Mambo hayakwenda kama ilivyotarajiwa na kulikuwa na harufu kubwa ya rushwa.
Wengi waliopata alama za juu aidha kuna mbinu iliyotumika na kuwawezesha kupata kura nyingi. Tunaiomba Takukuru...
Inafahamika huu msimu wa uchaguzi ndo msimu wa rushwa kwenye siasa.
Wagombea wanaotoa rushwa ni wengi mno..na wajumbe wanaodai rushwa wengi zaidi...sasa cha kushangaza hakuna taarifa za kukamatwa wajumbe hata moja.
Zinakuwepo taarifa za kukamatwa wagombea lakini wajumbe hakuna...
Jana tarehe 21/07/2020, katika harakati za wajumbe kupiga kura Bukoba Vijijini kwa wajumbe waliotia nia Ubunge kupitia CCM, kulitokea utofauti asubuhi ambapo mbunge Rweikiza alituma vijana wake kutoa rushwa na kukamatwa jana ile ile Asubuhi.
Naamini TAKUKURU watalitolea taarifa sakata hili...
Nikiwa kama ' Mzalendo ' wa nchi hii pendwa na tukuka kabisa ya Tanzania nadhani Kisheria nina Wajibu wa Kutoa Mawazo yangu ya Kimtazamo na ikibidi hata Kuwasaidia Wahusika hasa Mamlaka zenye Dhamana ya Haki na Usawa nchini katika Kutekeleza Majukumu yao mema kwa Ustawi wa Amani na Demokrasia ya...
Natoa rai kwa TAKUKURU iache mara moja kuchelewesha kuwapeleka viongozi wa CHADEMA mahakamani.
Mbowe na genge lake wametafuna bil 8 na sasa wapo uraiani.
Kuna viongozi wa chama cha ushirika huko Tabora walikula mil 200 wapo gerezani mbona hawa akina Mbowe hawachukuliwi hatua?. Hii sio haki...
TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Tanzania (Takukuru) nchini Tanzania, imetahadharisha wafanyabishara kutojihusisha na vitendo vya rushwa, kupitia dhana ya ufadhili wa gharama za uchaguzi ndani ya vyama vya siasa.
Hayo amesema Brigedia Jenerali, John Mbungo, Mkurugenzi Mkuu wa Takukuru...
Inawahusu wasiomchagua JPM tu. Mimi Kama mtumishi wa umma hajaongeza mshahara wangu kwa miaka yote 5, ananikata 15% badala ya 8% kama mkataba wangu na Loan Board unavyosema. Kwa sababu hizo kura yangu hapati. Wewe serikali yake katika sekta yako kwa nini hapati kura yako?
TAKUKURU chini ya kifungu cha 7 cha sheria ya kuzui na kuoambana na rushwa namba 11/2007 imepewa jukumu la kuzuia na katika jamii ikiwemo rushwa katika uchaguzi ukiwemo uchaguzi mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani 2020.
Makosa ya rushwa katika uchaguzi yameanishwa katika sheria ya uchaguzi Cap...
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU), imemsafisha aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Mtera Livingstone Lusinde baada ya kukosa uthibitisho kuhusiana na tuhuma za rushwa walizokuwa wanamtuhumu.
Mkuu wa Takukuru Mkoa wa Dodoma, Sosthenes Kibwengo.
Hivi karibuni, Taasisi hiyo ilitoa...
Tunafahamu kwamba hivi karibuni ndani ya mkoa wa Dodoma kutafanyika uchaguzi wa viongozi wa Chama cha wafugaji Tanzania. Mkutano huo umepangwa kufanyika siku ya Jumapili tarehe 19/07/2020 ambapo viongozi wa ngazi ya kitaifa wa chama hicho watachaguliwa kuongoza chama kwa miaka mitatu 03.
Nafasi...
TAKUKURU mkoani Dodoma imesimamisha uchunguzi uliokuwa unaendelea dhidi ya aliyekuwa mbunge wa Mtera Livingstone Lusinde aka Kibajaj baada ya kukosekana ushahidi wa rushwa.
Source Azam tv!
Livingstone Lusinde (Kibajaji) adakwa live na TAKUKURU nyumbani kwake akigawa rushwa kwa wajumbe wa CCM
Wakuu kama mnavyojua kuwa watia nia wengi majimboni wamekuwa wakikumbana na rungu la Takukuru kwa tuhuma za kutoa rushwa ili kuweka mazingira ya kupitishwa kuwania nafasi mbalimbali za uongozi kuelekea uchaguzi mkuu 2020.
Pia soma> Uchaguzi 2020 - Polepole: Watia nia wanaotoa rushwa kote...
Wanasema Nigeria vituko na matukio yasiyo ya kawaida ni vitu ambavyo sio vipya na vinatokea mara kwa mara
Mkurugenzi wa taasisi ya kuzuia na kupambana na Rushwa bwana Ibrahim Magu amekamatwa kwa rushwa
Bwana Magu amekua mkuu wa taasisi hiyo toka mwaka 2015
Nigeria’s anti-corruption boss...
DG,
Ninapenda kukujulisha kwamba katika ufuatiliaji wa vitendo vya rushwa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2020, leo TAKUKURU(M) Kigoma katika jimbo la uchaguzi la Buhigwe tumekamata Tsh. 210,000/= zilizokuwa zimeshagawiwa Tsh. 10,000/= kwa kila mjumbe kwa wajumbe 21 kutoka kata ya Mnanila jimboni humo...
Najiuliza tu.
Maana kwanza alikamatwa Dr Kigwangalla akigawa baiskeli lakini akajitetea na kutoa vifungu vya sheria vinavyomlinda.
Kisha akakamatwa Kibajaji bado sijajua imeishaje lakini leo kakamatwa Serukamba.
Ndiposa najiuliza hiyo rushwa inatolewa huko chama tawala pekee?
Au CHADEMA bado...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.