Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), mkoa wa Ilala Dar es Salaam, inamshikilia Hussein Hassani (43), kwa kosa la kujifanya Ofisa wa Takukuru na kutapeli wananchi.
Mbali na kujifanya Ofisa wa Takukuru, Hassani ambaye ni mkazi wa Mbagala jijini Dar es Salaam, pia alighushi...