Nimependa jinsi TV za ulaya zinavyoonesha takwimu za magoli aliyofunga mchezaji husika.
Kwa mfano mchezaji kafunga goli kwenye mechi, basi mtaelezwa hilo ni goli lake la ngapi kwenye ligi na kwenye mashindano mengine.
Lakini kinachovutia zaidi ni kwamba mnaoneshwa na hayo magoli aliyofunga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.