Azam TV onesheni takwimu za wafungaji magoli kama zifanyavyo TV za Ulaya

Allen Kilewella

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2011
Posts
25,982
Reaction score
51,157
Nimependa jinsi TV za ulaya zinavyoonesha takwimu za magoli aliyofunga mchezaji husika.

Kwa mfano mchezaji kafunga goli kwenye mechi, basi mtaelezwa hilo ni goli lake la ngapi kwenye ligi na kwenye mashindano mengine.

Lakini kinachovutia zaidi ni kwamba mnaoneshwa na hayo magoli aliyofunga kayafungaje.

Kwa mfano mchezaji kafunga magoli 9, basi mtaambiwa ya Kwa miguu kafunga ngapi, Kwa kichwa ngapi na kwa penati ngapi.

Azam TV igeni mfumo huu.
 
Nimependa jinsi tv za ulaya zinavyoonesha takwimu za magoli aliyofunga mchezaji husika.

Kwa mfano mchezaji kafunga goli kwenye mechi, basi mtaelezwa Hilo ni goli lake la ngapi kwenye ligi na kwenye mashindano mengine.

Lakini kinachovutia zaidi ni kwamba mnaoneshwa na hayo magoli aliyofunga kayafungaje.

Kwa mfano mchezaji kafunga magoli 9, basi mtaambiwa ya Kwa miguu kafunga ngapi, Kwa kichwa ngapi na kwa penati ngapi.

Azamtv igeni mfumo huu.
Azam ni very unprofessional
 
Nipo hapa msemaji wa Azam TV, kwanza unalipia kifurushi cha sh ngapi? Tuanzie hapo
 
Wakipandisha kifurushi bei mnaanza kulialia?. Takwimu zinanunuliwa
Hii Siyo kweli maana kwa Tanzania wao ndiyo pekee wenye Kila haki ya matangazo ya ligi za TFF. Kwa ivo hoja kwamba takwimu zinanunuliwa hapa haina mashiko.
 
Labda hili la kukosekana Kwa kumbukumbu. Lakini ndani ya msimu mmoja kumbukumbu zinakosekanaje?

Zinaweza kuwepo ila hazitunzwi kwa namna ambayo ni rahisi kuchakata, au uvivu wa watangazaji kuandaa stats za kutosha za kila mchezaji kabla ya mechi kuanza.
 
Back
Top Bottom