Azam TV onesheni takwimu za wafungaji magoli kama zifanyavyo TV za Ulaya

Wabinafsi pia. Nadnani Ili ukubalike kwao ni Lazima uukubali mfumo wao Wa mabwana na watwana. Nasikia Azam kuna ufaza sana.
Hahahaha,Sasa ktk media hasa hizi za kisasa ubunifu,utundu,uhuru unatakiwa , Kwa aina ya style Yao hawawezi kubadilika
 
Nimependa jinsi tv za ulaya zinavyoonesha takwimu za magoli aliyofunga mchezaji husika.

Kwa mfano mchezaji kafunga goli kwenye mechi, basi mtaelezwa Hilo ni goli lake la ngapi kwenye ligi na kwenye mashindano mengine.

Lakini kinachovutia zaidi ni kwamba mnaoneshwa na hayo magoli aliyofunga kayafungaje.

Kwa mfano mchezaji kafunga magoli 9, basi mtaambiwa ya Kwa miguu kafunga ngapi, Kwa kichwa ngapi na kwa penati ngapi.

Azamtv igeni mfumo huu.
Sio tv zenye hizo stats bali ni ligi na Kampuni binafsi kama Opta ambao wanawauzia tv na media nyengine . Ni mfumo wa Computer wenye automation unaofungwa kwenye viwanja vya mpira, unless viwanja vyetu vyote vinakua vya kisasa na kufungwa hii mifumo ngumu kupata detailed stats.
 
Hii Siyo kweli maana kwa Tanzania wao ndiyo pekee wenye Kila haki ya matangazo ya ligi za TFF. Kwa ivo hoja kwamba takwimu zinanunuliwa hapa haina mashiko.
Takwimu kununuliwa sio mpaka uende sokoni kuzinunua. Kuajiri wataalamu wa kuzikusanya kuzichambua na kuziwasilisha ndio kununua kwenyewe.
 
Sio tv zenye hizo stats bali ni ligi na Kampuni binafsi kama Opta ambao wanawauzia tv na media nyengine . Ni mfumo wa Computer wenye automation unaofungwa kwenye viwanja vya mpira, unless viwanja vyetu vyote vinakua vya kisasa na kufungwa hii mifumo ngumu kupata detailed stats.
Safi sana
 
Hauwezi kuonyesha mpira kwa Camera za kizamani sema ubora na bei zimetofautiana na za wenzetu ingawaje za Azam nazo zimeshika hela nyingi..
Kuna tv hua naangaliaga ya chogo mpira wa NBC premier league wachezaji hawaonekani vizuri ila Wa nje mukide wewe unadhani tatizo no nini, kibaya zaidi mimi ni fundi tv nimeanza kutengeneza TV 1987
 
Sawa Fundi ila tupo kwenye 4K,QLED hii 2025 ukitumia TV yenye specifications hizi sidhani kama pana mchezaji hautamwona mkuu..
 
Sio tv zenye hizo stats bali ni ligi na Kampuni binafsi kama Opta ambao wanawauzia tv na media nyengine . Ni mfumo wa Computer wenye automation unaofungwa kwenye viwanja vya mpira, unless viwanja vyetu vyote vinakua vya kisasa na kufungwa hii mifumo ngumu kupata detailed stats.
Sasa unataka kusema azamtv wakionesha mechi huwa hawaoni goli linafungwaje? Yaani takwimu za ligi ambayo wao wamepewa haki zote inakuwaje takwimu zikanunuliwe kwa watu wengine?

Yaani Nataka kujua hizo kampuni zinapataje hiyo haki ya kuiuzia Azam takwimu ambayo yenyewe ndiyo yenyehaki zote za ligi kuu Tanganyika?

Labda kwa hoja yako na ya Mr Q kuhusu wataalamu na "softwares " hapo inaweza kueleweka ingawa nayo inaleta shaka. Kujua Mzize kafunga magoli mangapi Kwa miguu, kichwa au penati kunahitaji utaalamu au softwares gani Ili kuonesha?
 
Unaweza kusema kwanini usalama wa taifa hawakamati raia? Well kisheria wanaopaswa kukamata kwa sasa ni police. Lakini unadhani usalama hawana uwezo wa kukamata kuhoji n.k

Kazi yao kukusanya taarifa kuzichambua na zile wanazo ona zinafaa kuwasilishwa mahala husika wanafanya hivyo.

Tukirudi kwa azam sasa. Jibu amelitoa chief mkwawa
 
Sasa unataka kusema azamtv wakionesha mechi huwa hawaoni goli linafungwaje? Yaani takwimu za ligi ambayo wao wamepewa haki zote inakuwaje takwimu zikanunuliwe kwa watu wengine?

Yaani Nataka kujua hizo kampuni zinapataje hiyo haki ya kuiuzia Azam takwimu ambayo yenyewe ndiyo yenyehaki zote za ligi kuu Tanganyika?

Labda kwa hoja yako na ya Mr Q kuhusu wataalamu na "softwares " hapo inaweza kueleweka ingawa nayo inaleta . Kujua Mzize kafunga magoli mangapi Kwa miguu, kichwa au penati kunahitaji utaalamu wau softwares gani Ili kuonesha?
Hapo unaongelea kwa muktadha wa mechi moja tu, data na statistics unatakiwa usimiss hata ki nukta,

Hata ukiangalia makampuni makubwa kama opta wameanza kuwa na hizi data kuanzia 2004, kabla ya hapo hakukua na detailed stats, sababu vifaa havikuwepo uwanjani.

Nchi zetu hizi bado tunategemea data za makamisaa.

Mfano msimu huu ni mechi ngapi za Tabora United zimeoneshwa kwenye tv? Utapata vipi data za msimu mzima?
 
Kwa Sasa Azamtv wapo kwenye Kila mechi za ligi kuu!
 
Hivi hizo takwimu za ball possession ktk mechi huwa wanazipataje kwanza?
Kuna yule shabiki anajiita Dr. Mohamed anatoka uwanjani, hivi vimedia vya youtube vinajikusanya kumuhoji pale nje ya uwanja, anakwambia Janshalewa kapiga pasi sahihi 97, Kagoma kapiga tackling 63. Kmmk anapenda sifa yule jamaa.
 
Back
Top Bottom