Wakuu salamu!
Kwenye Ulimwengu huu unaobadilika ni vigumu sana kupanga mpango na ukaenda vyema kama ulivyotarajia.Nchi nyingi kubwa zenye taasisi serious za kiusalama hazijawah kuwa 100% correct mara zote!Mathalani CIA ili kuiumiza Usovieti iliwafadhili mujahdeen Afghanstan na kwakweli...
Serikali ya Taliban Nchini Afghanistan imetoa agizo jipya ikipiga marufuku ujenzi wa madirisha kwenye majengo ya makazi yanayoweza kuangalia maeneo yanayotumiwa na Wanawake, kama jikoni na visima vya maji vya kijamii ambapo Kulingana na taarifa yao hatua hiyo inalenga kuzuia kile wanachokiita...
Kupitia vyombo vya habari Kundi la Taliban linaloongoza Serikali ya Afghanistan limepiga marufuku Binadamu na Wanyama kuonekana kwenye Televisheni katika maudhui ya aina yoyote kuanzia Matangazo ya Taarifa ya Habari na burudani nyinginezo na badala yake vioneshwe vitu kama majengo, magari na...
Serikali ya Taliban nchini Afghanistan kupitia Wizara yake ya Maadili, imeahidi kuanza kutekeleza sheria mpya inayopiga marufuku Vyombo vya Habari Nchini humo kuchapisha picha za viumbe hai ambapo Msemaji wa Wizara hiyo amesema lengo la kufanya hivyo ni kwasababu picha za viumbe hai zinapingana...
Utawala wa Taliban nchini Afghanistan umeendeleza mkandamizo mkali kwa wanawake wa nchi hiyo kwa kupitisha sheria kali za maadili zinazotaka wanawake kuficha kabisa gubigubi nyuso zao na miili yao wanapokuwa nje ya nyumba zao pamoja na kupiga marufuku wanawake kuongea mbele ya hadhira/umma...
Kipindi Trump akiwa Madarakani aliona Marekani haina sababu ya jeshi kuendelea kubaki Afghanistan, kama ni kushinda vita walishashinda kwa kuichomoa serikali ya Taliban, hakukuwa na sababu ya kuendelea kubaki.
Trump alimchimba mkwara kiongozi wa Taliban wakiwa kwenye kikao alimpa karatasi...
Taliban wmefanya gwaride kubwa kwa kutumia magari ya deraya na silaha kibao walizowateka Wamarfekani miaka 3 nyuma.
Ikumbukwe kuwa Taliban waliingia vitani na Wamarekani kwa miaka 20 mfululizo baada ya Wamarekani kuwashmabili na kuwataka kuiondowa serikali ya wanafunzi (Taliban) kwa mabavu...
Blazilian women taking a selfie and unarmed with the Taliban, But she was gang raped by 7 men in India.
- but if it was the Taliban that raped her instead, then US would've gone back to war with them.
⭐ Sulaiman Ahmed
⭐ Alex Barnicoat
⭐ Huma Zehra
Taliban imepiga marufuku wasichana kupiga simu redion
✍🏻Kwamba wana hamsha ari za wanaume na kuwafanya wawaze ngono
✍🏻Inawaondoa wanaume kwenye mood wawapo kazini
✍🏻Kwamba dini ya Kiislamu si kwamba hairuhusu maumbile tu ya mwanamke kuonekana, Bali hata Sauti ya Kuvutia inamfanya Mwanaume...
Aisee huu mwaka una nn, kila kukicha story mpya za kutatanisha, ukitulia kidogo unasikia wengine wamelianzisha huko, kwasasa naona trend ni Muslim vs Muslim vs Muslim.
Hawa watu wameamua kujiana juu.
Breaking;
Heavy clashes have erupted on the border of Afghanistan and Pakistan.
Taliban...
Taifa la Marekani liliingia vitani nchini Afghanistan kwa kisingizio cha kuitia adabu kwa vile ilikataa kumkababidhi Osama kwao aliyetajwa kuongoza uripuwaji wa majengo pacha ya New York.Vita vilikuwa ni vikali sana vilivyouwa maelfu kwa maelfu ya watu nchini Afghanistan.
Matekani hakuna...
Marufuku hiyo ya Uongozi wa Taliban umehusu Mbuga ya Wanyama ya Band-e-Amir iliyopo katika Jimbo la Bamiyan, ambapo Kaimu Waziri wa Maadili wa Afghanistan, Mohammad Khaled Hanafi amesema Wanawake wamekuwa hawazingatii mavazi ya hijabu wanapokuwa ndani ya mbuga hiyo.
Amewataka viongozi wa dini...
Utawala wa Taliban wa Afghanistan Jumatano umepiga marufuku vyama vyote vya kisiasa nchini humo ukisema kuwa ni kinyume cha sheria za kiislamu au Shariah.
Tangazo hilo limefanywa baada ya viongozi waliochukua madaraka ya Afghanistan kuadhimisha mwaka wa pili wa tangu kurejesha utawala wao mjini...
Marufuku ya saluni ya Taliban: Wanawake wa Afghanistan wanaomboleza mwisho wa huduma iliyothaminiwa.
Siku moja kwenye saluni iliwaruhusu wanawake wa Afghanistan kuzungumza katika mazingira tulivuImage caption: Siku moja kwenye saluni iliwaruhusu wanawake wa Afghanistan kuzungumza katika...
Saluni za nywele na urembo zinatarajiwa kufungwa wiki kadhaa zijazo hali ambayo inatarajia kusababisha ajira 60,000 kupotea.
Uongozi wa Taliban baada ya kuingia madarakani Mwaka 2021 uliruhusu saluni hizo kuendelea lakini wamebadili maamuzi hayo wakati ambapo tayari wamezuia Wanawake kwenda...
Jere Van Dyk alikamatwa na kushikiliwa na kundi la Taliban kwa siku 45 katika eneo lisilo la mtu kati ya Afghanistan na Pakistan, ambapo alikabiliwa na hukumu ya kunyongwa.
Kadiri matukio ya kutisha yanavyoendelea, watu kunyakuliwa na kundi la Taliban na kuuawa kwa kukatwa kichwa lazima iwe...
Hivi karibuni jeshi la Afghanistan chini ya Taliban ilionesha mamia kadhaa ya magari ya kijeshi ambayo wamesema yaliachwa na jeshi la Marekani katika haraka ya kukimbia hapo mwaka 2021.
Kwa upande mwengine ikulu ya White house imemtupia lawama za aibu hiyo raisi Trump ambaye muda huo...
Umoja wa Mataifa umesema Jumanne kwamba utawala wa Taliban nchini Afghanistan umewaarifu kwamba umepiga marufuku wanawake kufanya kazi katika taasisi hiyo, ikiwa hatua ya karibuni zaidi ya kuweka masharti kwa haki za wanawake nchini humo
Katibu mkuu wa UN, Antonio Guterres, amesema kwamba, “...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.