taliban

  1. Abdul Nondo

    Fahamu Mgogoro wa Taliban na Afghanistan

    Fahamu kundi la Taliban nchini Afghanistan , Mapambano yao dhidi ya Serikali ya Afghanstan na sababu Marekani kupeleka na kutoa Majeshi yake nchini humo. Abdul Nondo, Watu wengi wanapata kujiuliza kuhusu hawa Taliban,ni watu gani ,ni kundi gani,waliibuka vipi ,kwanini wanapigana ,wanataka nini...
  2. M

    Taliban wavamia Theme park Kabul na kuanza kula bata kama watoto.

    Hawa wataliban wanaocheza na hivi vigari wanaendana kinyume kabisa na Taliban asili. Kwasababu Taliban hata kusikiliza mziki na kucheza ni marufuku unachinjwa. Hii Taliban ya sasa ni tofauti ndo maana wanataka diplomasia na mataifa mengine na China na Urusi imefungua mlango. Hii ni Taliban...
  3. Miss Zomboko

    Facebook yapiga marufuku maudhui kuhusu kundi la Taliban

    Mtandao wa kijamii wa Facebook inachukulia Taliban kama kundi la kigaidi na hivyobasi, inapiga marufuku maudhui yote yanayounga mkono Taliban katika majukwaa yao. Kampuni ya Facebook imesema timu ya wataalam wa Afghan inafuatilia na kuondoa maudhui yote yenye kufungamana na kundi hilo. Facebook...
  4. Sam Gidori

    Afghanistan: Zaidi ya watu 600 wamefanikiwa kupanda ndege ya Jeshi la Marekani

    Baada ya kushuhudia Waafghanistan wakijaribu kudandia ndege ya Jeshi la Marekani katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Khamid Karzai mjini Kabul jana, Wizara ya Ulinzi ya Marekani imetoa picha inayoonesha watu 640 wakiwa ndani ya ndege yake ya kijeshi. Idadi hiyo ya watu inatajwa kuwa zaidi ya...
  5. N'yadikwa

    Kabul, Afghanistan: Wananchi wadandia ndege baada ya Taliban kutwaa Ikulu ya Rais

    Hali si hali huko Afghanistan [emoji1023] kwenye mji mkuu Kabul baada ya Taliban kutwaa udhibiti raia wamekimbilia Airport wakitaka kuihama nchi. Hali ni tete kwa mujibu wa vyanzo mbalimbali vya kimataifa. Tutunze amani.
  6. U

    Dunia kuwachekea Magaidi wa Taliban kuvamia Ikulu itakuwa na madhara makubwa

    Nashukuru kwa katibu mkuu wa UN kuitisha mkutano wa dharura na kukemea hili jambo japo wametumia lugha laini sana ni kama wametoa baraka kwa magaidi ya taliban kuingia ikulu kwa unyang'anyi Namshukuru balozi wa kudumu wa umoja wa mataifa nchini Pakistan amekemea vikali huu upuuzi wa watu...
  7. SN.BARRY

    Taliban waiga mbinu za JWTZ za mwaka 1979

    Mwaka 1979 Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) liliuchukua mji wa Kampala na rais wake Dikteta Fashisti Nduli Idd Amin Dada akakimbia nchi na wanajeshi wote wa Uganda kwa unafiki wakaungana na JWTZ kushangilia ushindi. Mwaka huu 2021 kwa style ile ile Taliban wamechukua jiji la Kabul, Rais...
  8. papason

    Wataliban wamewawaaibisha Wamarekani

    Marekani na washirika wake pamoja na kutumia takribani dola bilioni 89 ($89 billions) kwa kuvifundisha na kuvipa silaha vikosi vya jeshi la Afghanistan kwa takribani miaka 20 hivi, iliwachukua mwezi mmoja tuu kwa Taliban kuvi fyekelea mbali na kuvisambaratisha vikosi vya jeshi la Afghanistan...
  9. Sam Gidori

    Trump amtaka Biden ajiuzulu kwa kuruhusu Taliban kuteka Afghanistan

    Aliyekuwa Rais wa Marekani, Donald Trump amemtaka mrithi wake, Joe Biden ajiuzulu baada ya wanamgambo wa Taliban kudhibiti Mji Mkuu wa Afghanistan, Kabul, pamoja na Ikulu ya Rais siku ya Jumapili. Trump amemlaumu Biden kwa ‘kuruhusu’ Wataliban kutawala Afghanistan katika ushindi mwanana licha...
  10. Nyani Ngabu

    Rais wa Afghanistan kakimbia nchi!

    Rais wa Afghanistan, Ashraf Ghani, amekimbilia Tajikistan, kwa mujibu wa Al Jazeera! Taliban wameshinda! Taliban wamechukua nchi! Mwezi mmoja uliopita, Rais wa Marekani alisema bila kumung’unya maneno kuwa Taliban kuchukua nchi hakuwezekani kwa sababu jeshi la Afghanistan liko imara...
  11. Jaji Mfawidhi

    Taliban waichukua Kabul, Je Waarabu kuomba msamaha Marekani na kuwaomba warudi kuikomboa nchi

    Haya yanatokea wakati wanamgambo wa Taliban leo wakiuteka mji mwengine mkuu wa mkoa wa Ghazni ulioko kilomita 130 kusinimagharibi mwa Kabul, huu ukiwa ni mji wa kumi uliotekwa na waasi hao katika kipindi cha mashambulizi ya wiki nzima kote Afghanistan. Kutekwa kwa mji wa Ghazni ni pigo jengine...
  12. chivala

    Taliban waanza kuingia mjini Kabul

    Hali ya wasiwasi imeanza kutanda duniani kote baada ya waasi wa Afghanistan wenye MSIMAMO mkali wa kiislam kutwaa miji mikubwa ya nchi hiyo na sasa kungia kwenye baadhi ya viunga va mjimkuu wa nchi hiyo KABUL. Sasa hivi marekani na nchi nyingine zinahaha na harakati za kuwahamisha wandiplomasi...
  13. Marapai

    Nani yupo nyuma ya Taliban? Miaka karibu 20 ya vikosi vya Marekani na washirika wake Afghanistan ni Bure?

    Inaitwa Afghanistan the graveyard of Empires USSR walikuwepo miaka ya 80 wakashindwa na Mujahdeen (wakisaidiwa na USA) Taliban wakaingia mwishoni mwa miaka ya 90 ikawa rasmi sasa ni Unstable, Rogue state, safe heaven for radical, extremist terror group kama Alqaeda wakajitanua mpk maeneo ya...
  14. MT255

    US B-52 Bombers, Gunships Sent into Action in Afghanistan in Attempt to Stop Taliban Advance on Key Cities

    8 Aug 2021 Business Insider The United States has sent B-52 bombers and Spectre gunships to Afghanistan in a bid to stop Taliban insurgents who are marching towards three key cities. The B-52s are flying into Afghanistan from an airbase in Qatar, hitting targets around Kandahar, Herat, and...
  15. USSR

    Ijue mfumo wa uongozi wa Taliban

    Huu hapa upo kisiasa na kidini zaidi USSR
Back
Top Bottom