taliban

The Taliban (; Pashto: طالبان‎, romanized: ṭālibān, lit. 'students' or 'seekers') or Taleban (, ), who refer to themselves as the Islamic Emirate of Afghanistan (IEA), is a Deobandi Islamist movement and military organization in Afghanistan, currently waging war (an insurgency, or jihad) within the country. Since 2016, the Taliban's leader has been Mawlawi Hibatullah Akhundzada.From 1996 to 2001, the Taliban held power over roughly three-quarters of Afghanistan, and enforced a strict interpretation of Sharia, or Islamic law. The Taliban emerged in 1994 as one of the prominent factions in the Afghan Civil War and largely consisted of students (talib) from the Pashtun areas of eastern and southern Afghanistan who had been educated in traditional Islamic schools, and fought during the Soviet–Afghan War. Under the leadership of Mohammed Omar, the movement spread throughout most of Afghanistan, sequestering power from the Mujahideen warlords. The totalitarian Islamic Emirate of Afghanistan was established in 1996 and the Afghan capital was transferred to Kandahar. It held control of most of the country until being overthrown after the American-led invasion of Afghanistan in December 2001 following the September 11 attacks. At its peak, formal diplomatic recognition of the Taliban's government was acknowledged by only three nations: Pakistan, Saudi Arabia, and the United Arab Emirates. The group later regrouped as an insurgency movement to fight the American-backed Karzai administration and the NATO-led International Security Assistance Force (ISAF) in the War in Afghanistan.
The Taliban have been condemned internationally for the harsh enforcement of their interpretation of Islamic Sharia law, which has resulted in the brutal treatment of many Afghans. During their rule from 1996 to 2001, the Taliban and their allies committed massacres against Afghan civilians, denied UN food supplies to 160,000 starving civilians and conducted a policy of scorched earth, burning vast areas of fertile land and destroying tens of thousands of homes. During their rule, they banned hobbies and activities such as kite flying and keeping birds as pets, and discriminated against religious and ethnic minorities. According to the United Nations, the Taliban and their allies were responsible for 76% of Afghan civilian casualties in 2010, 80% in 2011, and 80% in 2012. The Taliban has also engaged in cultural genocide, destroying numerous monuments including the famous 1500-year old Buddhas of Bamiyan.The Taliban's ideology has been described as combining an "innovative" form of sharia Islamic law based on Deobandi fundamentalism and the militant Islamism combined with Pashtun social and cultural norms known as Pashtunwali, as most Taliban are Pashtun tribesmen.
The Pakistani Inter-Services Intelligence and military are widely alleged by the international community and the Afghan government to have provided support to the Taliban during their founding and time in power, and of continuing to support the Taliban during the insurgency. Pakistan states that it dropped all support for the group after the 11 September attacks. In 2001, reportedly 2,500 Arabs under command of Al-Qaeda leader Osama bin Laden fought for the Taliban.

View More On Wikipedia.org
  1. B

    Aibu: Taliban wanapotuzidi kwenye utawala bora

    Utawala bora ni dhana pana. Hata hivyo kuzidiwa katika lolote kwenye dhana hiyo na wataliban wa Afghanistan tunapaswa kujiuliza tunakwama wapi. Nepotism - Yale mambo yetu ya kujuana na kupeana ajira kindugu, mtaliban hana mzaha. Enyi wenye u-bin wenye kujinasibu na vigogo madarakani au...
  2. Gavana wa Taliban auawa katika ofisi yake

    TalibanCopyright: Taliban Gavana wa Taliban Muzamili aliuawa katika ofisi yakeImage caption: Gavana wa Taliban Muzamili aliuawa katika ofisi yake Gavana wa Taliban wa jimbo la Balkh kaskazini mwa Afghanistan ameuawa katika shambulio la kujitoa mhanga linalodaiwa na kundi la Islamic State (IS)...
  3. Magaidi wenye milengo ya kidini, yaani Taliban na IS wauana

    Afghanistan's ruling Taliban killed eight Islamic State militants and arrested nine others in a series of raids targeting key figures in a spate of attacks in Kabul, a senior Taliban government spokesman said Thursday. The Islamic State group claimed responsibility for a deadly bombing near a...
  4. Mashirika ya Kibinaadamu yasitisha misaada Afghanistan

    Mashirika Matano yamechukua uamuzi huo kutokana na mfululizo wa makatazo mapya yanayowekwa dhidi ya Wanawaka Nchini humo chini ya utawala wa Taliban. Baadhi ya mashirika hayo ni Care International, the Norwegian Refugee Council (NRC) na Save the Children ambayo yamesema hayawezi kufanya kazi...
  5. Taliban waamuru wanawake wote wa NGOs kuacha kazi

    Serikali ya Taliban inayoongozwa kwa kutumia sheria za waislamu, imeamuru wanawake wote wanaofanya kazi kwenye taasisi za kijamii waache kufanya kazi mara moja. Juzi waliamuru wanawake wasielimishwe, hizi dini bana, yaani mwanamke huchukuliwa kama takataka, kiumbe fulani hivi kisichokua na...
  6. Taliban yazuia Wanawake kufanya kazi Taasisi Zisizo za Kiserikali (NGOs)

    Uongozi huo wa Afghanistan umedai kuwa sababu za kufanya hivyo ni kutokana na mavazi wanayovaa katika taasisi hizo kutozingatia maadili yao. Katazo hilo ambalo limekuja siku chache baada ya Wanawake kuziwa kusoma Chuo Kikuu limekosolewa na Umoja wa Mataifa (UN) wakidai kuwa inakandamiza haki za...
  7. Afghanistan: Taliban watumia maji ya kuwasha kutawanya Wanawake wanaopinga sheria ya kuwazuia kusoma chuo kikuu

    Kundi la Wanawake hao wanaopinga uamuzi wa Serikali kuwazuia Wanawake kutosoma Chuo Kikuu wameingia matatizoni baada ya video zilizosambaa mitandaoni zinaonesha waandamanaji wakijikinga na wengine kukimbia kukwepa mkono wa sheria katika Mji wa Herat. Wanawake hao walikuwa wakiandamana huku...
  8. Marekani yaionya Taliban kuzuia Wanawake kusoma Chuo Kikuu

    Marekani imeeleza kuwa kutakuwa na gharama ikiwa hakutakuwa na mabadiliko kuhusu maamuzi hayo yanayofanywa Nchini Afghanistan. Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, Antony Blinken amesema Serikali ya Taliban haitaweza kuboresha uhusiano na mataifa mengine Duniani ikiwa itaendelea kuwanyima...
  9. M

    KABUL: Wapiganaji watatu wa Taliban wafariki baada ya kujaribu Kurusha Helikopta za Black Hawk zilizoachwa na Marekani nchini humo

    Wanajeshi 3 wa Talibani wameuawa walipojaribu Kurusha ndege za black hawk zilizoachwa na Majeshi ya Marekani yalipoondoka nchini humo. Mnamo mwezi Agosti 31 mwaka 2021 Majeshi ya Marekani yaliondoka nchini Afghanistan na kuacha vifaa vya kijeshi nyuma zikiwemo Helikopta ambazo ziliachwa zikiwa...
  10. M

    Taliban wanadai hawakujua kiongozi wa Al-Qaeda aliyeuawa alikuwa akiishi katika Mji wa Kabul

    Baada ya kuuawa kwa aliyekuwa kiongozi wa Kundi la Al-Qaida, Ayman- Zawahiri katika Mji wa Kabul ambapo Jeshi la Marekani lilitumia ndege zisizo na rubani "Drone", Uongozi wa Taliban umetangaza kuwa haukuwa na taarifa za uwepo wa kiongozi huyo katika mji huo. Tangazo hilo limetoka baada ya Rais...
  11. Taliban na Iran wapigana

    Mbwa kala mbwa, sasa hapa sijui mtashabikia yupi nyie jamaa zetu humu, maana hawa wote ni wenu, kwa sasa pumzikeni kushabikia Urusi. The Afghan government says one its officers was killed in Sunday's fighting, which occurred in the border area between Afghanistan's Nimroz province and Iran's...
  12. Hali ya Uokoaji Afghanistan bado tete, Taliban waomba msaada wa Kimataifa

    Inaelezwa kuwa mvua kubwa zinazoendelea kunyesha na uharibifu mkubwa wa majengo na miundo mbinu ni kikwazo kikubwa kwa jopo la uokoji kusini-mashariki mwa Afghanistan, ambapo tetemeko kubwa la ardhi linaripotiwa kuua zaidi ya watu 1,000 na kuacha majeruhi takriban 1500. Mamlaka ya Taliban...
  13. Taliban waomba msaada uzunguni baada ya tetemeko la ardhi Afghanistan

    Tetemeko hatari sana limefanya uharibifu na kusababisha vifo vingi hadi Taliban wameomba msaada. ============= At least 920 people have been killed and 600 injured after an earthquake struck eastern Afghanistan early on Wednesday, authorities said. The 6.1 magnitude quake hit in Paktika...
  14. Concerns Afghans fleeing Taliban could be on first Rwanda flight

    Hofu imetanda kuwa Wa Afghan waliokimbilia UK kwa kuukimbia utawala wa kiisalm wa TALIBAN ndi watakuwa mstari wa mbele kupelekwa Kigali. Hii inaweza kuashiria kuwa Uk inahofia uwepo wa watu hawa kwenye ardhi yake My take: EAC tujiandae kwa mabadiliko ya mikataba ya maingiliano FUATILIA HAPA...
  15. Taliban yaagiza Watangazaji wa kike wote kwenye TV kufunika nyuso zao

    Uongozi wa Taliban umeagiza watangazaji wote wa kike katika vituo vya runinga Nchini Afghanistan wanatakiwa kuziba sura zao wanapokuwa wakitangaza. Vyombo vya habari vimekiri kupokea maagizo hayo kutoka katika Wizara ya Maadili na inatakiwa kutekelezwa bila kuwa na mazungumzo yoyote. Waziri wa...
  16. Afghanistan: Mwandishi wa habari atupwa jela mwaka mmoja kwa kuikosoa Taliban katika mitandao ya kijamii

    Mahakama Nchini Afghanistan imemuhukumu mwanandishi wa habari, Khalid Qaderi kifungo cha jela mwaka mmoja kwa makosa ya kuikosoa Serikali ya Taliban katika mitandao ya kijamii, japokuwa Msemaji wa Taliban amesema amehukumiwa kwa makosa ya jinai. Qaderi ni ripota wa Radio Nowruz amekuwa...
  17. Taliban yaamuru Wanawake kujifunika kwenye maeneo ya umma

    Kiongozi wa Taliban ameamuru Wanawake Nchini Afghanistan kuvaa "Chador" ambayo hufunika uso na sehemu kubwa ya mwili. Hii ni moja ya amri kali zaidi kutangazwa tangu Taliban ilipochukua Madarala Mwaka 2021 Imeelezwa kuwa, Baba au ndugu wa kiume wa karibu anaweza kufungwa au kufukuzwa kazi...
  18. Taliban yaamuru TikTok kupigwa marufuku kwa madai inapotosha Vijana

    Serikali ya Taliban imeagiza 'App' maarufu ya TikTok kupigwa marufuku kwa madai kuwa inasababisha Vijana Nchini Afghanistan kupotea Haijafahamika wazi ni lini marufuku hiyo itaanza lakini Msemaji wa Taliban, Inamullah Samangani amesema hatua hiyo ilikuwa ya lazima ili kuzuia kizazi hicho...
  19. Afghanistan: Taliban imesema ni marufuku mfanyakazi wa Serikali kutokuwa na Ndevu. Kama huna Ndevu usikanyage kazini

    Nchini Afghanistan, viongozi wa Taliban wamepiga marufuku wafanyakazi wa serikali ambao hawana ndevu kufika ofisini. Taliban wanasema mfanyakazi yoyote wa serikali lazima awe na ndevu za kueleweka, hakuna kunyoa ndevu na wafanyakazi wote ambao hawana ndevu wamepewa muda kabla hawajafukuzwa kazi...
  20. Taliban yaenda kinyume na ahadi ya kuruhusu wasichana kusoma

    Kabul, Watawala wa Taliban nchini Afghanistan katika hatua ya kushangaza na isiyotarajiwa, wameamua kutozifungua tena shule za wasichana na kwenda kinyume na ahadi walioitoa ya kuruhusu wasichana kusoma. Uamuzi huo uliothibitishwa na afisa wa Taliban, unarudisha nyuma juhudi za Taliban...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…