MTU anakuja kutafuta ushauri ili asiumizwe huko Uswahilini anakoenda kutafuta Gari ya kuendana na kipato chake, watu watamjibu kwa kejeli, dharau, matusi na kila aina ya uchafu.
Jamani kabla huja comment hiyo negative comment yako, jitafakarini, je ni lazima niandike kukebehi? Je kama sina...
Kijana Mussa Ally (21), Mvuvi na Mkazi wa Sahare Jijini Tanga anaendelea na matibabu Hospitali ya Mkoa wa Tanga Bombo na kwa sasa amepata nafuu baada ya kushambuliwa nyumbani kwa Bondia Hassan Mwakinyo alfajiri March 04,2025 na kufikishwa Hospitali akiwa mahututi na majeraha mwilini.
Akiongea...
Huwaga inafikia steji watu wanayakatia tamaa magari yao wanaamua kutatelekeza magerejini, majumbani, n.k.
Ni sababu ipi iliyokufanya ukate tamaa kulitengeneza gari lako ukaliacha likusanye vumbi na kutu
Unapotoa lifti kwa baadhi ya watu tegemea mambo haya,
- Wizi/ukwapuaji - si ajabu umempakiza mkaka mtanashati au mdada mlimbwende lakini anaposhuka akaondoka na kitu chako hasa hivi vitu vya thamani mfano laptop. Umefika unakoenda unachungulia kitu chako ukawajibike unakuta holaah hamna kitu...
Tabia ya tamaa imewaangusha wanaume wengi sana till date: Tamaa ya fedha, tamaa ya kutaka maisha ya juu kupita uwezo, tamaa ya wanawake, tamaa ya kutaka kuyafikia mambo makubwa kupita uwezo.
Mpaka umri huu nilionao nimeshuhudia marafiki zangu 58 wakipata madhira mbalimbali kwasababu ya tabia ya...
Maisha hayana formula, Mara nyingine kwenye Maisha yako omba Sana Bahati! Huwezi amini ndio huyu sasahivi anakaa meza moja na Wararabu kutoka Saudia, yeye ndio anaamua akate kipande kipi.
Acha tamaa mwangu yo
Amenikanya Mama alienizaa
Jichuuunge yeye amesema yeye yeyee
Tukitafuta pesa eti tutaigaaa tabia mbaya
Hakuna aliezaliwa ni mwizi
Saviè Kandoro Papa
Hakuna aliezaliwa ni kahaba
Issa Mambombe Tip-fire
Tabia hizo mbaya twaziiga tukitafutaa Pesa
Binadamu hukubari afanye jambo...
Kwa miezi kadhaa sasa kama unafuatilia posts za Clouds FM utagundua kwamba watu wengi wanalalamika kupotea kwa redio hiyo kwenye mikoa yao kwa muda mrefu.
Miongoni mwa mikoa ambako Clouds imepotea ni Morogoro, Shinyanga, Kagera, Kilimanjaro nk. Zaidi ya miezi 6 redio hiyo haisikiki humo.
Kwa...
Nambari 3 na 4 zitakuokoa.
Kama mwanaume au mwanamke, mara tu unaposhinda tamaa yako ya mwili, unakuwa mtu usiyeshikika.
Hasa WANAUME.
Tujadili njia chache zenye nguvu za kudhibiti tamaa:
Kabla ya kuendelea, kuna jambo unapaswa kuelewa.
Kuna aina mbili za wanaume katika dunia ya sasa...
Unapomwaga mbegu, ndipo utagundua kwamba maisha siyo tu kuhusu NGONO.
Kuanzia mwanzo wa mazungumzo hadi mnapofika kitandani, na hata mkiwa juu ya kila mmoja, kila kitu kinahisi vizuri. Lakini mchezo hubadilika mara tu unapomwaga mbegu.
Unapomwaga mbegu, ndipo utagundua kuwa ulikuwa unafanya...
Nasikitika kwa kile kinachotokea kwa Chama chetu cha Kulinda na Kutetea Haki za Walimu Tanzania (CHAKUHAWATA), Manispaa ya Mpanda, Mkoa wa Katavi kwa baadhi ya viongozi kuona sasa chama hiki kugeuzwa kuwa mradi wa viongozi wa chama Manispaa ya Mpanda kujipatia fedha.
Tumechagua viongozi kwa...
Wakuu mengi yanazungumzwa kuhusu uzuri na changamoto za maisha ya Ulaya na Marekani.
Wengi wetu tunaamini huko ndo watu wanaishi na sisi wengine huku ni wasindikizaji tu ila kuna wengine wanadai eti maisha ya huku bongo ndo mazuri kuliko huko ng'ambo.
Wakuu ukweli uko wapi maana mwenzenu...
Nimekata tamaa ndoa inatesa sana.
Nyumbani hakuna mtu baba alishafariki, mama ni mgonjwa kapata stroke yupo kwa ndugu anatibiwa.
Kwangu kunawaka moto, hapa nipo Mjamzito miez 8. Nawaza usiku silali natamani nijiondoe tu duniani nawaza ninawatoto 2 nawaacha wapi ambapo watanisahau kwa haraka?
Leo hii KIBU D kawa mchezaji Bora kabisa katika Klabu yetu.kawa muokozi,mleta faraja,mkombozi na mfunga magoli muhimu.
Lakini Kibu huyuhuyu miaka miwili iliyopita hakuna tusi aliacha kutukanwa.
Kibu alilaumiwa na analaumiwa kwa kufunga goli moja TU msimu mzima na kutofungq kabisa katika...
Uyu demu ni material oriented
Kuna siku tunaenda nae sehemu Kwa kutembea tumepanga twende Kwa mguu nilikuwa namsindikiza unfortunately akatokea boda akapanda wakasepa
Na Huwa namjali kumhudumia nilijisikia vibaya mno
Nikaanza kuwa Kila nikimuona demu mzuri kumzidi tukiwa nae demu wangu...
Habari za Sabato!
Nimeona Mbowe Akihojiwa na Kikeke. Kwa kweli hofu ipo dhahiri machoni mwake. Hata body language yake inamkataa akijaribu kuficha hofu yake. Ni kama amekata tamaa pakubwa.
Ingawaje wafuasi wake wanahangaika kupambana, na kumtia moyo lakini jitihada Zao zimefua dafu kuondoa...
Ni wazi muungwana ameenda kuomba milioni 30 alizotakiwa kuchangia na kamati kuu, kama sehemu ya gharama za mkutano mkuu wa chadema taifa na uchuguzi wa Chadema ngazi ya taifa. Hata hivyo ni kama vile hana uhakika wa kuipata.
Ieleweke bayana kwamba, mgombea huyu mbinafsi sana wa uenyekiti...
Kwa wale msiojua Rais wa Turkey Recep Tayyip Erdoğan ni Islamist kindakindaki.
Kwa sasa Rais huyo kupitia chama chake cha Adalet ve Kalkınma Partisi, (AK Parti) ni muumini mkubwa wa Muslim brotherhood na hapo ndipo wanapokutana na Serikali ya Qatar ambayo ndiyo mfadhili mkubwa wa mbinu zote...
Habari yenu wadau wa JAMIIFORUM.
Leo hii nataka kuwapa dondoo kuhusu MAISHA .
Watu wengi najua wanapitia magumu Sana wameomba sana Kwa MUNGU Ila wametoka 0-0 na wengine wameroga Sana Ila wametoka 0-0.
Siri iliyopo katika haya MAISHA ni (shukrani ).
Anza kuwaambia watu neno Asante na anza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.