Matukio, mwenendo na mitazamo ya wengi kwa sasa yamejikita kwenye mchakato wa kupata Mwenyekiti wa Taifa wa CHADEMA. Tunachokiona kwa sasa nimnyukano mkali ambao ulianza kama tetesi na hususan michakato mirefu ya chaguzi kuanzia ngazi za chini hadi sasa kwenye nafasi ya juu ya uongozi wa chama...
Mbowe kutangaza tu kuwa atagombea tayari kuna wanachama mmetangaza kukiacha chama!, hata uvumilivu hamna!.
Kwani wapi amevunja sheria ya kwamba haruhusiwi kutangaza nia yakugombea..?
Hata hivyo si uchaguzi utafanyika akishinda huyo mnaemtaka ndo mtarudi ama!, hebu kaeni mpige kura, ili kura...
Huwa inatokea mmiliki wa biasahara hasa baba anapotangulia mbele ya haki haya hutokea,
Mke hujimilikisha mali zote na pengine yeye kahusika kwenye kifo kwa tamaa ya mali
kuna mtoto hasa wa kwanza hupenda kujimilikisha biashara yote akiamini ni haki yake
Wengine wanaolewa au kuoa majambazi...
Nimelitumia hilo neno "influecer" lakini kwa JF ni la hovyoo.
Yani inamaanisha Chawa.
Sasa mimi sitaki wahita hawa ni chawa ila ni Greatest Boldied Indivuduals. Lakini wameamua tu ku potea..! Why
Mshana Jr karibu
Chairman wa sasa wa Chadema Taifa, Freeman Aikaeli Mbowe, akizungumzia kusudio la Tundu Antipas Mughwai Lisu kugombea uenyekiti wa Chadema Taifa, kwa namna yoyote ile atakua ameingia kwenye trap au mtego wa kisayansi alotegwa na kukoleza au kuzidisha joto, uhasama na vita ya madaraka ndani ya...
binafsi
chadema
kisayansi
kutoka
kutoka nje ya nchi
lisu
nchi
nje
nje ya nchi
shinikizo
taifa
tamaa
tundu
tundu antipas lisu
uenyekiti
uenyekiti wa chadema
utashi
wake
Katika maisha Nina amini biashara ambayo inaweza nikafanya wewe ukatoboa kuna mwingine hawezi tobos
👉Tuendelee na moyo huo huo wa wa upendo as wanajamii!
👉Usisite kutoa mawazo yako pale mwenzako anapokwama kifikra
👉Tusiegemee kwenye kulaumu tu pia tutoe na solution ama suluhisho kwa changamoto...
Katika kibanda umiza nimekutana na ujumbe maridhawa unasema usimkatie mtu tamaa,ikiwa ni maandalizi ya klabu bingwa yanga huko Algeria, karibuni tujadili tusimkatie mtu tamaa.
Kwako mwalimu kashasha
Nakumbuka mwaka 2020 nilipoenda kupiga kura nilishangaa yafuatayo.
1. Mpinzani niliyempigia kura hakupata kura hata moja.
2. Baada ya siku kama nne hivi nilionana na rafiki yangu ambaye naye alikua wakala kwenye moja ya vituo (sio nilichopigiankura) alichoniambia ni kuwa kwanza walikula kiapo...
Cryogenic pod (short : cryopod) ni single device iliyotengenezwa kitaalamu to freeze a person in cryogenic suspension.
A cryopod imeundwa na vifaa vyote kwaajili ya kumgandisha mtu kwenye cryogenic sleep na kumuamsha tena.
karibu kwa mjadala;
Rais wa Kenya, William Ruto siku ya leo kwamba ameagiza kufutwa kwa mkataba kati ya Serikali ya Kenya na kampuni ya Adani, mkataba uliokuwa umelenga kupanua uwanja mkuu wa ndege wa nchi hiyo, JKIA
Aidha Ruto pia ameagiza kufutwa kwa mkataba wenye thamani ya zaidi ya dola milioni 700 ambao...
Mfani rj45 connector ni 200 madukani ikizidi 500, mtu anauza 1500 au 2000
Kifaa ambacho dukan ni elf 65, mtu anaweka 120,000. Kifupi wanaweka bei mara mbili ya inavyokua kawaida, watu wanatamaa sana.
Naishukuru sana serikali kwa kuchukua hatua dhidi ya mmiliki wa jengo, naomba kuisaidia Jeshi la Polisi kuendelea kusaka taarifa zaidi za tukio hilo lakini kinachosemwa pale kariakoo na watu mbalimbali kisipuuzwe.
Mimi nimesikia watu wakisema kuwa mmiliki wa jengo hilo alifanya tamaa, kwamba...
Nimeiba namba za lishangazi zikaja kunitia aibu.
Mama mmoja kwa jina la Ms mwakalebela alimuelewa rafiki yangu Edga, huyu rafiki yangu alikua anauza duka moja maeneo ya Salasala ambako huyu mama ndio anakoishi.
Edga alikabidhiwa duka na boss mmoja kwa jina Atalu, huyu jamaa hakua wale maboss...
Siku hizi imekuwa kawaida kusikia watu wakijisifia wana ‘side hustle’ – kazi ya ziada mbali na ajira yao ya kudumu. Swali linakuja, hivi kuwa na ‘side hustle’ ni kutafuta hela ya ziada kwa maisha bora au ni tamaa tu ya kutoridhika na mshahara wa mwezi? Kila mtu anapambana kutafuta hela za...
Bila Salamu.
Ukitaka chukua ukitaka acha. Hapa naelezea kitu kimoja tu kwa ufupi. Lakini kitu hiki kimoja kina manufaa makubwa sana kwako.
Unaweza ukadharau hichi ninachokuambia wewe msomaji ila usilolijua ni kwamba nyoka mdogo ndie mwenye sumu kali ya kukuua haraka zaidi kuliko nyoka mkubwa...
MKAKA: Mambo.?
MDADA:- Poa
MKAKA: Pandezipi?
MDADA:- Dodoma
MKAKA: Unasoma?
MDADA:- Ndio
MKAKA: Hakika nimeona picture zako vile umedamshi nimetokea kukupenda ghafla!
MDADA:- Una kazi gani?
MKAKA: Me Headmaster wa Igunga secondry school.
MDADA:- Wao upo sahihi kweli kunipenda mie na najisikia...
Muda mwingi nimekuwa nikikaa na kuwaza kuhusu hili swala la vijana wengi kuwa na tamaa. Tumekuta vijana wengi wakiwa wanaingia katika wimbi kubwa la majanga na hasa ni tamaa,
Tamaa imefanya vina wengi wakumbwe na majanga mbalimbali kama magonjwa na wengine tunaona wakiwa wanapoteza maisha...
Licha ya viongozi wa vyama na serikali kuhamasisha Wananchi kwenda kujiandikisha kwenye Daftari la Kupiga Kura, hali ni tofauti na matarajio yao.
Wananchi wamekuwa na mwitikio mdogo sana katika zoezi hilo na hii ni kutokana na Wananchi kuona hakuna umuhimu wa kupiga kura.
Nimepata bahati ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.