Mim nikijana nIna 26. Kuna dada nIlimpata chuo ananipenda sana kanizalia katoto kana mwaka 1.5 sasa. Mahusiano yetu yana miaka mi3. Na nimda sana ananipigia kelele kuhusu ndoa.
Nami ninamthamini sana kwakuwa anamapenzi yakweli kwangu. Tatizo mimi ninatamaa sana ninawatamani sana wadada wengine...
Dorian Gray, kijana mtanashati na mwenye mwonekano mzuri anachorwa picha yake na mchoraji Basil Hallward.
Mchoraji huyo ana rafiki yake anayeitwa Lord Henry Wotton, ambaye anavutiwa sana na Dorian pamoja na picha yake.
Lord Henry anamweleza Dorian jinsi ujana ulivyo kitu kizuri na muhimu, ila...
Natumaini ni wazima wa afya ndugu zangu,
Apr 2016 zinatangazwa nafasi za jtk kwa kujitolea mjomba anauza ng'ombe mmoja kwa 600k anahonga unapata nafasi, unapangwa kikosi flan cha jkt. Unafika kikosini mnaambiwa as you where mrudi nyumbani mpaka pale itakapotangazwa tena.
Unarudi nyumbani...
Kwa kweli hali tunavyofikirishwa na majilabu ya Chama tawala kuwa wataiboresha Tanzania kuwa ya aina yake! Nashangaa sana tunaaminishwa tupo kimaendelea tupo uchumi wa kati na jana juzi tunaanza kuaminishwa kuendea uchumi nambari moja, nikazidi kushangaa na kuwachwa kwenye mataa.
Nina wasi na...
Tusiomboleze kama watu tusio na imani na MwenyeziMungu. Eti utasikia nyimbo MTU anaimba sasa tutakimbilia wapi, tutaishije bila yeye, tangulia tu na sisi sote tutakufa na tutaonana baadaye, kwanini Mungu umemchukua, tutafanyaje sasa, hatatokea mwingine kama wewe, nk.
Nyimbo hizi hazitufanyi...
Nilijua wapinzani hasa CHADEMA wangeendelea kuisusia Serikali kwa sababu CCM ni ile ile ila Rais ndiye amebadilika, ila kila ninayemsoma humu kwenye mitandao basi anamsifia Rais na kumuomba afanye kitu fulani.
Sasa nashindwa kuelewa wameamua kukubali kuwa CCM ni chama kubwa au wamekata tamaa?
Salaam!
Tarehe 26/03/2021 Ni siku ya Kumpumzisha Aliyekuwa Rais wetu John Pombe Magufuli huko kwao Chato.
Nawapongeza sana JamiiForums Facebook page kwa Kuelewa na Kumuenzi kwa Nukuuu Nkutu alizowahi kuzisema wakati wa uhai wake.
Na moja ya nukuu hizo ina maneno haya "Siku moja mtanikumbuka...
Busara na Hekima ya mtu hupimwa nyakati za
1. Taabu/ Mateso/ Majonzi/ Huzuni
2. Nyakati za Furaha/ Raha n.k
Nyakati hizi Tundu Lissu anaweza akadhani anafurahia sana na kusheherekea kifo cha Mh. JPM na kumwongelea awezavyo. But baadaye akija kukaa na kupata akili akiwa ameweka jazba, mihemko na...
Leo Mama Samia ameanza ziara mkoani Tanga na akiwa kwenye kiwanda kimojawapo alichozindua kinachoshughulika na matunda wilayani Korogwe, alipata nafasi ya kusalimu wananchi baada ya kuombwa na mkuu wa mkoa wa Tanga ambapo alianza na salam kutoka kwa Rais Magufuli
"Kabla ya kuwapongeza...
Siasa chafu za ubaguzi mlizochagua kuitana wale si wenzetu wale wasaliti, wale si wazalendo ni mbegu mbaya mnayopanda, mnajenga jamii yenye mgawanyiko, mnaligawa taifa kwa matendo yenu.
Lissu alipopigwa risasi serikali ilizuia watu kumfanyia maombi waliojaribu walikamatwa, wabunge wa CCM...
Habari ya uzima wapendwa, tumshukuru Mungu kwa kutupa uhai bure, kwa siku nyingine tena imenipendeza kuwaleteeni changamoto hii ambayo naona ipo juu ya uwezo wangu.
Mimi ni kijana mwenye umri 25 years old,nimekulia maeneo ya kijijini, kipaji changu cha uchoraji kiligundulika toka nipo shule ya...
Biashara za Wananchi zimekufa, Wafanyabiashara wengi wamekata tamaa. Mzunguko wa pesa umedumaa, masoko yamesimama.
Watumishi wa Umma hawana uhakika juu ya nyongeza ya mishahara, miaka mitano wamepigwa kimya.
Wakulima wanalima, wakivuna soko la ndani halina bei, wanaambulia kupata chakula cha...
Habari kuhusu gharama za matibabu kwenye mahospitali makubwa nchini kwa watu wanaodhaniwa kuwa na Nimonia kali ni kubwa sana, serikali inapaswa kumulika hospitali hizi kuona kama hizi gharama ni halisi au zinapandishwa na wamiliki.
Lakini pia ni muhimu kupata gharama elekezi kwa watu wanaopata...
Wewe binti Huna hela ya pombe, si utulie home? Kutwa kujichatisha WhatsApp na insta kwa waume za watu na kuomba hela ya Pombe, wengine tushachoka na stress za kwenye ndoa ukijichanganya sisi tunapiga tu Kama mwewe. Hakunaga habari ya kutulia na demu mmoja.
Habari wana JF,
Mimi ni msichana wa miaka 24, nilikuwa na mpenzi wangu ambaye tumedumu kwa miaka mitatu, bahati mbaya mwenzangu akawa ananichit kwa kuanzisha uhusiano na ex wake, na mpaka nilipokuja kugundua ikabidi tubroke na mimi.
Kwa hiyo kutokana na hali hiyo nimekuwa single kwa muda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.