Na Siku zote Mwanasiasa makini na mjanja hupenda sana kuwateua watu anaowaona ama ni Tishio Kwake au wanaitaka Nafasi yake kwa Udi na Uvumba ili awamalize vizuri Kisiasa kwa kuwapigisha 'Shoti' katika Nafasi zao ili awatumbue, awachafue na waonekane hawafai kuwa Viongozi na ikibidi hata Wapuuzwe...
Wakuu hii Simba ukiangalia ni mbovu sana hairidhishi hata kuiangalia. Hata tuliposhinda kule Botswana wala sikufurahia jinsi timu ilivyocheza. Hii timu haionekani hata ikitafuta ushindi.
Tulicheza vibaya sana na timu ilionekana kuelemewa basi tu bahati ilikuwa kwetu. Kocha ameshindwa hata...
Inaweza kuwa ni wewe unayesoma hapa, ama inaweza ikawa ni mtu unayemfahamu kama ndugu, jamaa ama rafiki. Vyovyote vile, tusaidie kumfikishia taarifa hii.
Ndugu zangu katika Bwana.
Kama unahisi upo kwenye maisha usiyoyafurahia, au upo kwenye maisha usio na amani nayo, basi wasiliana nami PM...
Samia amesema anaunga mkono chanjo ya nyumba kwa nyumba inayopendekezwa na mkuu wa mkoa wa mbeya.
Swali hizo cost zinazotumika kulazimisha watu wachanjwe zinatoka wapi? Kwanini pesa zisielekezwe kwenye mambo mengine ya msingi.
Mama wanaomshauri wanamponza Sana.
---
Rais Samia Suluhu...
Ni habari ya kusikitisha mpaka nyakati izi bado utekelezaji WA mambo mbali mbali KATIKA ngazi za serikali yanahusisha ujamaa na sio mifumo IMara.
Habari iliyopo ni kwamba manispaa ya Temeke bado hawaoni umuhimu wa maagizo ya wanasiasa kwenye utendaji wao si Kwa uadilifu walio nao ivyo pengine...
Hakuna njia panya ya kwenda mahali pa thamani.
Ndugu zangu sikuzote mafanikio yanakuja kwa kujituma kwa bidii sana unatakiwa ujitoe ili ufanikiwe Mafanikio ni kutembeakutoka kutofaulu hadi kutofaulu bilakupoteza shauku.
Ndoto zetu zote zinawezakutimia ikiwa tuna ujasiriwa kuzifuata,na siku...
Habari.
Hii ni kwavijana na wapambanaji wenzangu. Hizo picha happy juu Ni safari ya mafanikio ya maisha yangu.
Mimi Ni kijana niliye zaliwa kwenye familia masikini, nikasoma katika shule za selikari kwa shida sana.
Hatabaada ya kumaliza masomo, sijawai pata kazi ya kuajiriwa. Nimelelewa na...
Benki ya NBC imedhamini live miaka 40 ya shririka la World Vision Tanzania, Mhe Rais yupo Bagamoyo wanarusha live pia, sasa najiuliza kwann hawa TBC wasingesema kwa muda huo hawataweza kurusha kipindi cha World vision live, sasa inakuwa wakate huku waunganishe huku watuonyeshe badae wakate huku...
Najua ukweli wangu huwa unawachukiza. Lakini fitina kwangu mwiko nitasema kweli daima. Chama chetu ni mali ya watu binafsi. Ni mali ya watu ambao wakiwa hawapo kila kitu kinakwama.
Sasa Chairman yupo kunyavu. Kila kitu kipo likizo. Tusikate tamaa tuabadili mfumo wa Chama chetu.
My take...
Sijui nina moyo mdhaifu kila mwanamke Mzuri nikikutana naye najikuta nampenda na natamani kuwa naye, yaani kwa siku nikikutana na wanawake 10 basi nane nitakuwa nimewatamani.
Huyu Binti atawaharibu kinoma pae Msimbazi.
Watu wengi waluo wahi fanya naye kazi wanasema bi mdada anapenda attention mithili ya samaki apendavyo Maji. Tangu aingie pale Klabuni amekuwa na wivu na namna Senzo anavyo zungumziwa sana na Media. Akafanya figisu zake Senzo akasepa.
Bado ikaonekana...
Njia ya mafanikio ina changamoto nyingi sana. Changamoto ambazo anahitajika mpambanaji ajizatiti kwa ngao ya kutokata tamaa na ajikinge kwa silaha ya uvumilivu. Vikatisha tamaa katika maisha ni vingi pia, ukiwa na moyo mwepesi huwezi kufikia malengo yako. Na kama ilivyo sifa ya mafanikio kwamba...
Mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe amesema hajakatishwa tamaa na uchaguzi mkuu wa 2020, na kwamba Mageuzi ni swala la mchakato.
Mbowe amesema chama anachokiongoza CHADEMA kwa sasa kina umri wa miaka 30 hivyo ni chama kikubwa na kitayafikia malengo yake ya kutwaa dola.
Nawasalimu kwa jina la JMT.
Baada ya ajira za ualimu kutangazwa vijana wengi wameonekana kukata tamaa huku mioyo yao ikifunikwa na wingu nzito la huzuni na majonzi yasiyoelezeka.
Miongoni mwa mambo yaliyochangia vijana kukata tamaa ni pamoja na Tamisemi kutumia suala la umri kama kipaumbele cha ajira. Kama tunavyofahamu...
Habari wadau!
Kiukweli zama zimebadilika sana, kwa sasa Watanzania wengi tunaishi kwa kutegenea mikeka.
Wanaume majumbani kwetu ndio usiseme, wife ukiona anakuzonga zonga unamwambia kuna mchongo huo naufukuzia ukitiki tu mambo yatakuwa poa kumbe mtu mzima una mkeka wako wa siri unangoja Odds...
Ni vile tu ni kwa sababu ni vijana ni sehemu ya Chama, lakini naamini Mama hana jinsi lakini sote tunafahamu kuwa asilimia 90 ya vijana wa CCM ni wanafki, wamejawa na tamaa ya maisha huku wakiwa wameweka maslahi binafsi kuliko Uzalendo.
Tukichukulia mfano wa Wakuu wa Wilaya na Mikoa kwa miaka...
Ni vile tu ni kwa sababu ni vijana ni sehemu ya Chama, lakini naamini Mama hana jinsi lakini sote tunafahamu kuwa asilimia 90 ya vijana wa CCM ni wanafki, wamejawa na tamaa ya maisha huku wakiwa wameweka maslahi binafsi kuliko Uzalendo.
Tukichukulia mfano wa Wakuu wa Wilaya na Mikoa kwa miaka...
IMF imeitega Tz Kwa kutaka kuipa mkopo wa kupambana na C - 19 na kuielekeza jinsi inapaswa ifanye ili ipewe huo mkopo
Ok, pale mwenye nacho anapotaka kumyang'anya zaidi mwenye kidogo, na Masikini
Mtu jasiri akitaka kurogwa na Mchawi huanza kwa kutishiwa tishiwa, mara sijui kesho hutaiona...
Mpaka muda huu kina generalist\all rounder na chizi maarifa wangekuwa wameshatupia nyuzi za kuiponda Simba na kuitabiria kushindwa!
Lakini naona kimyaaaa! Hii ni dalili kuwa hatimaye utopolo wamekubali matokeo kuwa Simba si saizi yao!
Naitakia Simba ushindi mnono huko kwenye nchi ya mzee Madiba!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.