Hii kitu imezoeleka sana kwenye familia zetu lakini watu wengi wanashindwa kuiongelea, wanawake wamekosa huruma kabisa mwisho wa siku wanauwa bila kujuwa kuwa wanauwa, kuna familia moja huko kanda ya ziwa jamaa alienda kuowa huko dodoma kondoa kwa warangi.
Lakini jamaa alikuwa ameishapata...
Naona namna ambavyo wanadada wasiyo na makalio wanavyodharaulika mtaani. Nawaonea huruma. Wanapitia wakati mgumu sana katika maisha yao.
Kwa kwali miungu iwatie nguvu. Ukiangalia kila sehemu hamwonekani kuwa na thamani. Hata hamheshimiki, hata wanaume hawawaoni kama ni wanawake, mnaonekana tu...
Naenda kupata mtoto wa tatu na mwanamke ambaye sikuwahi fikiri nitazaa naye!
Ipo hivi mwaka jana katika safari zangu za biashara nilijikuta nalala hotel moja Mbeya, sababu ya kulala hapo ni ubora wa huduma zao na unafuu wa gharama zao nikilinganisha na wengine kwa hapo Mbeya. Kwahiyo baada ya...
Sio siri tena kwa sasa vita vya Ukraine imeshika kasi huku Russia ikipitia kipindi kigumu zaidi huenda kuliko kipindi kingine chochote tangu kuanza kwa hii vita.
Kuna dalili fulani ambazo zinazoonyesha kama vile Putin pumzi inaelekea kukata. Hizi hapa chini ni baadhi ya sababu muhimu zenye...
KWA WOTE WALIOKATA TAMAA KWENYE MAISHA YAO 🙏🏽
Kwa wote waliokata tamaa juu ya maisha yao, kwa wote ambao tumaini lao limeshapepea mioyoni mwao. Kwa wote waliojawa na wasi wasi na katu hawana imani thabiti kabisa. Someni hii, huenda ikawasaidia 🤝🏼
Ujumbe huu upo kwa ajili ya kukumbusha...
WANAWAKE KAMA HUWEZI KUMTUNZA MTOTO PELEKENI KWA BABA ZAO. MSISUMBUE WATU KWA UPUUZI WENU!
Anaandika, Robert Heriel
Unang'ang'ania kuishi na mtoto alafu huna uwezo wa kumtunza huo si upuuzi.
Kama huwezi kumtunza Mtoto na unapenda kuishi naye basi kuwa na adabu, kuwa humble Kwa Baba WA mtoto...
Duniani kote timu zote jezi za timu kuanzia ya wakubwa ya wanawake za vijana hufanana kuanzia dizaini nembo ya mdhamini na mengine.
Ili huyu dada kwa ujuaji wake anataka simba queens wavae tofauti na timu ya wakubwa hii ya wapi hii?
Na anahisi kufanya hivyo jezi hizo pia zitawekwa sokoni wadau...
Sijawahi kuona utawala wa watu wenye tamaa ya fedha kama huu wa awamu ya sita Yani Bora hata na ile awamu ya 4. Namba sita ni namba mbaya sana kiutawala ni namba isiyo na faida yoyote. Viongozi hawa wenye tamaa wanavuna pesa ili waweze kununua Urais mwaka 2025.
Takukuru, jeshi la polisi, na...
Ukweli ni kwamba kuna maneno mengi sana ambayo yanatumika na watu mbalimbali hususani pale wanapotaka kumkatisha tamaa mtu mwingine.
Binafsi, kuna neno "Sio kirahisi hivyo kama unavyodhani" Hili ni neno ambalo limeachisha mawazo ya watu wengi kuhusiana na kujihusisha na jambo fulani.
Mfano...
Baada ya kumaliza elimu yangu ya ufundi stadi kutoka chuo kikubwa nchini cha serikali (VETA) na kuwa na matarajio makubwa ya kupata ajira hapo baadae au kujiajiri mwenyewe lakini hali ilikuwa tofauti sana na uhalisia hakuna aliyeniamini na kufanikiwa japo kunipa majaribio juu ya kile...
• Unacheka unapoanguka au unaposhidwa jambo
• Hushindani na mtu lakini unajishindania mwenyewe na malengo yako.
• Ni mtu unayeamini kwamba hali ngumu unayopitia ni shule. Magumu hayadumu ni swala la muda tu.
• Upo tayari kwa mabadiliko yoyote.
• Unafahamu vipaumbele vyako hukurupukii kila...
Habari wanaJF?
Nami nimeona nishiriki katika jukwaa hili la soc kwa kutoa mawazo yangu kuhusiana na mada tajwa hapo juu.
Kumekuwepo na tabia ya watu wengi sana katika familia, jamii, kazini, shuleni serikalini na kwingineko; kupenda kutumia neno mimi pekee yangu nilifanya hili au lile, mimi...
Nawasalimu wote kwa jina la Jamhuri ya Muungano.
Vijana tunapitia mengi ya kukatisha tamaa, lakini leo niwape machache ya vituko vya sahili nilivyowahi kuviona kwa macho yangu.
1. Tuliitwa kwenye usahili mikoa ya nyanda za juu kusini, basi kwa furaha na kujiamini nikapaki vitu huyooo nikafika...
Heshima sana,
Tangu Kingai ateuliwe kuwa DCI nimejikuta nikikosa imani na jeshi la police 👮♀️.
Matendo ya Kingai akiwa RCO na baadae kesi ya Mbowe yanatosha kabisa tena bila shaka yoyote kuonyesha muelekeo ya Jeshi la police.
Naomba kusema inatosha sasa Katiba mpya ni muhimu kuliko jambo lolote.
Wanawake wa siku hizi mtatuua sisi wanaume ambao bado tunahisia za mapenzi.
Kuna sehemu huwa naenda mara moja moja kufanya service. Sasa kutokana na kuwa nikipeleka gari huwa napenda kusubiria hapo hapo kufuatilia utendaji wa fundi. Basi nikajenga mazoea ya kukaa kwenye kiduka flani ambacho pia...
Rais Samia akitoa hotuba katika kongamano la kumuenzi Hayati Benjamini Mkapa linalofanyika Zanzibar leo 14/ 7/ 2022 amesema kuwa watu wa sekta binafsi ni muhimu katika kufanikisha kasi ya maendeleo ya taifa letu.
Lakini Serikali imekuwa na uzito katika kuwaamini sekta binafsi, wanapotaka...
"Napendekeza yeyote aliyeko kwenye nafasi ya kuteuliwa, akitolewa lakini akabaki kwenye utumishi wa umma, arejee pia kwenye mshahara aliokuwa analipwa kabla ya kuteuliwa, hii itawapunguzia mzigo watanzania".Waziri Nchemba.
Chanzo: ITV Tanzania
Yaani kuna muda huwa hata navidharau na hivi Vyuo...
Siku ya alhamisi nilinunua salio la Tsh. 3,000 kutoka airtel money kwenda Voda. Airtel walirudisha msg kuwa muamala umefanyika na salio wakakata. Vodacom hakukuwa na taarifa yoyote kama muamala umepokelewa.
Napowapigia airtel wanasema kwao muamala ulifanyika niwaulize voda. Voda wanasema...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.