Kwa uzoefu wangu mdogo tu katika mahusiano kwa umri wangu mdogo wa miaka 50+ kuna mambo ambayo nimeyagundua ambayo huwa yananifikirisha sana.
Shughuli zangu za kikazi hunifanya nisafiri kuhama hama kila wakati. Ingawa familia ilisha settle Dar. Mimi huwa nasafiri sana ndani na nje ya nchi. Mara...
Naanza mimi hapa.
Kwanza hakuna kuchelewa kwenye maisha. As long as bado uko hai hakuna kuchelewa ama kuwahi kwenye maisha. Jambo lolote linaweza kutokea wakati wowote.
Mimi nilimaliza form four nikiwa na miaka 22, nikamaliza form six nikiwa na miaka 25. Leo hii vijana wanamaliza chuo kikuu na...
Hellow Africa 🌍
Mwili una unaushawishi mkubwa sana ambapo ukishindwa kabisa kuzizibiti mwisho wa siku una aangukia poor
Wanasayansi wanasemaga matendo yetu. Yanategemeana na vitu vitatu ID EG NA SUPER EGO hizi huwa zinavutana sana kila moja inataka ishinde mwili na akili pia zinategemana...
Yapo madhara makubwa sana ya tamaa ya mali na pesa nyingi ambayo watu wengi hawakumbuki mara nyingi wanajisahau sana.
Madhara ya kumiliki pesa na mali nyingi sana kwanza kabisa lazima utambue kuwa unakesha usiku na mchana kutafuta pesa na mali nyingi hata wakati mwingine unaogopa kula na...
Nimekata tamaa. Najiona si mimi tena. Nimekuwa mtu wa ajabu humu JF naona kama watu wote wameanza kunichukia. Sijui hata nitafanyaje. Naona kama tu nisiishi tena. Sioni makusudi ya kuishi katika hali hii. Nimekata tamaa sana.
Jana na leo sijapata hata mtu mmoja wa kugombana naye humu JF...
Wakuu habarini!
Nimekuja kwenu naomba nisaidiwe kimawazo na ushauri.
Hivi karibuni nilipeleka barua ya uchumba (posa ) na Mambo yalienda freshi tu. Kikao Cha kupangiana mahari makubaliano yalikuwa kifanyike ijumaa hii. Nimejikuta nina mawazo Sana kwani hela niliyoiandaa kwa ajili ya kuitolea...
Mpaka hapa tulipo kama nchi, tumetoka mbali sana!
Tumepitishwa jangwani sisi, kwenye miiba na mbigili tumepitishwa,
Tumepita kwenye machungu makali na kisha viongozi wetu badala ya kutengeneza vijana na watumishi waadirifu, wamejikuta wakitengeneza vijana wezi, watumishi wa umma mafisadi na...
Habari za wakati huu,
Wakuu naomba angalau msaada wa mawazo najua humu kuna wajuvi na watalaam mbali mbali kuhusu maswala ya afya.
Mimi ni kijana na nimetimiza miaka 27, nina mke lakini sijafanikiwa kupata mtoto na ni mwaka wa 3 toka nimekutana na mke wangu ingawa yeye ana mtoto aliyempata...
Wengine tumetoka vijijini kuja mjini tunajua nini tumefata ,tumekuja kupambana tuokoe familia zetu ,zikae sawaa usisahau kilicho kuleta mjini
enline_g✅
Hadi sasa Ukraine imepewa silaha lukuki za mabilioni ya pesa, lakini imedai kuwa HAZITOSHI!!. Walipopewa HIMARS wakasema sasa watashinda, lakini wimbo wa HIMARS hauimbiki tena, wakataka vifaru vikubwa ili washinde. Wakapewa vifaru vya mjerumani LEOPARDS na vifaru vya Marekani ABRAHAMS na vya...
Kila mtu anamkatisha mwengine tamaa kwa namna moja au nyingine. Lakini ni juu yetu kupunguza hizo tabia, na kuruhusu wengine wawe bora zaidi. Unapoona mtu anajitahidi, usimshushe chini. Angalia maneno yako unayoongea. Maneno yako ni kioo cha akili yako. Inaonesha akilini mwako umejaza nini...
Kamanda Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Wilbroad Mutafungwa akizungumza na waandishi wa habari mkoani humo ameeleza kuhusu tukio la mwanaume mmoja aliyefahamika kwa jina la Marco Samwel (32) ALIYEJIKATA NA KUONDOA KABISA UUME WAKE.
Kamanda Mutafungwa ameeleza kuwa lengo la kijana huyo...
Hali ya Wabunge wa ccm Majimboni ni Dhooful Hali, baada ya 2020 kubebwa kama watoto njiti wenye utapia mlo na Mbeleko ya Magufuli, Dkt. Mahera na Wakurugenzi wa Halmashauri , sasa kila mmoja anapambana kivyake ili asisombwe na upepo mkali wa CHADEMA.
Mbunge wa Arusha Mjini ndugu Mrisho Gambo...
Kuanzia kikosi alochopanga kocha hadi uchezaji na hatimae draw ni dhahiri Simba walikuwa wameshakata tamaa ya ubingwa mwaka huu 2023. Hili ni kosa kubwa sn wamefanya.
Hata mwaka jana walikata tamaa mapema na kumalizia mechi zao ilimradi kwa kutoa sare nk bila kujua kuwa hata wapinzani wao...
Niliachana na aliyekuwa mume wangu miaka 5 imepita, kuachana kwetu kulikuwa kubaya sana kwa mambo mabaya yaliyopita katikati yetu. Sipendi kuyaeleza maana ni mabaya ila nilishayasahau na kuyaacha yapite.
Baada ya kuachana (aliondoka bila kuniaga na kodi ikiwa tunadaiwa miezi 5 bila kulipa)...
Sitetei chochote kuhusu yaliyojiri kumhusu mh Membe yakimhusisha mmiliki wa magazeti ya Tanzanite kumdhalilisha mh Membe kwa kumchafua, na sipangani na sheria yoyote ya nchi iliyotumika, ila naiona tamaa kubwa isiyo na mantiki kutoka kwa mh Bernard Membe ya kutaka ujira mkubwa usiolingana na...
Bwana leo nikasema nmkumbuke ex Wang maana toto ni nzuri a.k.a la kwenda, basi nikachati nalo uko Facebook kwasabab namba yake nimefuta (namuheshimu ninae ishi nae,sijaoa), kweli bwana nafungua tu Facebook mtandao wake pendwa nikamkuta online tutakaanza kuchat.
Mwsho wa kuchat ukawa kama hvo Chin
Kuaharisha na kuugua matumbo limeshakuwa ni janga. Kulingana na mazingira ya kazi na umbali, inakuwa ni vigumu kurudi nyumbani ukale kisha uendelee na kazi.
Baadhi ya migahawa imekuwa ni janga kwetu wateja, mbinu hizi chafu hutumika kwa lengo la kukuza faida bila kujali afya zetu na huku ndipo...
Habari zenu wakuu, hapa bongo soko la nguo kuna baadhi yetu lishatutoa knock out, unaweza kwepa midosho ya elf 15 ukaenda kwenye duka la cadet za elf 40 ukazani hapa ndio penyewe kumbe mambo yale yale tu, ukifua mara mbili tatu ishakuwa bwanga, pindo hohe hahe, rangi imechuja.
Sasa basi mimi...
Sauti yake, manjonjo yake na mwonekano wake, ni MC mashuhuli, eti leo ni waziri?
Tanzania tuna tabu sana!
Tegemeeni bando kupanda kila uchwao na mitandao kuwa chini zaidi
Hatusemi kwa ubaya, ni ili tu, wao wajaribu kujitahidi saana kuendana na wakati, Tanzania sio sehemu ya kujaribishiana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.