tamaa

Tammas is the first album by Samir Joubran duo with his brother Wissam Joubran, released in 2003 labelled "daquí", by Harmonia Mundi.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Sababu zinazofanya Waislam Gaza wasikate tamaa

    Watu wanajiuliza kwanini mwaka wa 50 mataifa yenye nguvu duniani wanaipiga Palestina lakini bado vidume vipo pale pale na wanasubiri NATO na Israel waingie kwa miguu wateketee. Ingalikuwa nchi nyengine kama sio waislam wote wangalikuwa washakimbia na washahama kabisa kila kitu Chao. Tunaona...
  2. Mundele Makusu

    Tujifunze kitu kikubwa hapa

    Pichani:Muanzilishi wa KFC(Kentury Fried Chicken) HISTORIA YAKE.. Akiwa na miaka 5 Alifiwa na Baba yake... Akiwa na miaka 16 aliamua kuacha shule. Akiwa na miaka 17 tayari alikua kapoteza ajira 4. Akiwa na miaka 18 aliamua kuoa. Akiwa na miaka 19, alifanikiwa kuwa Baba. Akiwa na miaka 20...
  3. FaizaFoxy

    Mbowe kakata tamaa kabisa. CHADEMA haina malengo wala muelekeo

    Nilikuwa namsikiliza mwenyekiti wa maisha wa chadema anaongea na wazee wa chadema huko Unguja. Nimecheka na kusikitika sana, yaani anawapiga porojo tu, hakuna sera kabisa. Amesema wao ni vitu viwili wanavyotaka ni "katiba mpya na tume huru ya uchaguzi", hapohapo akasema "hatuwezi kuzipata kwa...
  4. AnyWayZ

    Kila mtu kwa wakati wake jf wote Tutatoboa. Amin

    Habarini ndugu zangu..! Kizuri kula na Mwenzio, kwa maana hiyo ndio njia pekee ambayo mimi na wewe tunaweza itumia kugusa maisha ya wengi na sote tukatimiza malengo yetu kwa kasi. MAISHA NI MCHEZO WA KUIGIZA Akiwa na miaka 5 Alifiwa na Baba yake... Akiwa na miaka 16 aliamua kuacha shule...
  5. sky soldier

    Wakristo tuungane kupaza sauti tuwe na sheria ya kukataza ndoa kuvunjika nje ya kifo ama usaliti, kuoa mara ya pili adhabu iwe kifungo cha maisha

    NI MPAKA KIFO AMA USALITI PEKEE, NJE YA HAPO NI TAMAA NA MOYO DHAIFU Ni wakati sasa wakristo tuwe kama nchi ya ufilipino tuzikataze mahakama na makanisa ya mchongo kuvunja ndoa nje ya sababu hizo mbili, kwa wale wataokamatwa wameoa au kuolewa mara ya pili kwa njia za panya wafungwe jela maisha...
  6. Robert Heriel Mtibeli

    Ukiwa umekata tamaa, chukua hii

    UKIWA UMEKATA TAMAA, CHUKUA HII. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Bila kukupotezea muda. 1. Unaweza kukosa Elimu lakini huwezi kukosa Akili. Zingatia Akili ndio itakayokusaidia kuishi Maisha unayotaka. 2. Unaweza kukosa Dini lakini huwezi kukosa Imani. Elewa kuwa hauhitaji dini kumjua na...
  7. L

    Ubinafsi, uroho na tamaa za watawala sheria ya mafao kustaafu katika utumishi wa kisiasa

    UBINAFSI, UROHO, TAMAA, WATAWALA! Serikali imepeleka bungeni muswada wa marekebisho ya sheria mbalimbali ambayo kuna marekebisho katika sheria 10 ikiwepo sheria ya mafao ya kustaafu katika utumishi wa kisiasa. Muswada unapendekeza kiongozi aliyeshika nafasi ya ofisi ya Rais na kustaafu, mwenza...
  8. Uwesutanzania

    Kuna wakati kukata tamaa ni chaguo sahihi

    Habari zenu ndugu zangu, japo hatufahamiani ila uwepo wenu humu imekuwa ni faraja kubwa sana kwangu kwani mmekuwa watu wa kunipa furaha na kunifariji mara kwa mara,. Leo nimeona ni bora nisiwaache mkafa bure bila ya kulitambua hili, Ndugu yangu KUNA WAKATI KUKATA TAMAA HUWA NI CHAGUO SAHIHI...
  9. Mama Mwana

    Je, umewahi kukatishwa tamaa katika kujaribu kwako? soma hii

    Maisha bwana ya matukio mengi sana, kuna watu hao ni maalum ku critisize wengine, mtu unaona ana kitu atafika mbali unamkatisha tamaa ili ugundue nini kama sio roho ya kichawu inakuandama? unayejaribu usikatishwe tamaa na watu. 1. Fanya kile unaona ni sahihi usipendelee kumshirikisha kila mtu...
  10. GENTAMYCINE

    Rais Samia kwa tamaa kubwa ya Vyeo CCM Kwako, nakushauri uwe Unawaficha wale Uwapendao na unaotaka kuwa nao kuanzia 2025

    Labda nikuambie tu Rais Samia kuna Uteuzi Mmoja wa Kimkakati umeufanya Jana ila sasa Umeshamsababishia matatizo Mhusika kwani kama hajarogwa awe Mweusi kuliko alivyo sasa ili Usiwe unamuona au Kumkumbuka kama yuko basi wanaweza Kumaliza Shughuli kabisa na hiyo 2025 asiione au akiiona atakuwa si...
  11. hermanthegreat

    Hatimaye nimekata tamaa ya kujifunza Hacking. Ninachoki-experience sio nilichokidhania

    Wakuu Nilipokuwa nasikia kuhusu hackers na case zao za kuvuta mpunga kwenye bank mbalimbali ilinivutia Sana nikatamani kufanya hacking my career. Nikaanza kufuatilia nitaanzaje? Niliambiwa nijifunze programming nikajifunza python, namaliza python nikajifunza html, Bado cc na java duh! Nikawa...
  12. Fortilo

    Wanawake msikate tamaa, mwaka 2018 nilivunja ndoa ya dada yangu. Tuna vijana wa hovyo sana kama taifa

    Wakuu Habari, huu uzi ni wa kuwatia moyo kina Dada walioamua kuachana na wanaume malofa na kuamua kufuata ndoto zao. Ipo hivi; Nina Dada yangu nampenda sana, baada ya kumaliza masomo tukamsisitiza aendelee kupambana na masomo apate kaz nzur, kama wenzake. Akakataa akasema anataka aanze na...
  13. Lycaon pictus

    Makavelli na tamaa ya watu kutaka kuonekana wema

    Kwa kweli Nicolo Machiavelli alikuwa muona mbali sana. "Hakuna sifa inayomuangamiza mtu haraka kama ya kuwa mwema(Mtoaji); kadri unavyoitenda ndivyo unavyopoteza uwezo wa kuitenda. Hilo linakufanya uwe fukara na mtu wa kudharaulika. "Jambo la busara ni kuvumilia kuitwa kauzu(bahili). Sifa...
  14. Webabu

    Zelensky amejiingiza kwenye mtego-White house yakata tamaa

    Wachambuzi wa kijeshi zaidi na zaidi wameingia kati kuashiria kuwa Ukraine haiwezi kushinda vita vinavyoendelea katij yaje ba Urusi. Baadhi ya wachambuzi hao wamesema raisi wa Zelenky katika vita hivi ni kama kwamba kajiingiza kwenye boksi.Hataki kurudi nyuma na hawezi kushinda Kwa upande wake...
  15. F

    Hakuna kukata tamaa💪💪💪

    Nimeingia Dar juzi nimepata chumba Mbezi karibu na Stendi ya Magufuli katika harakati za kusaka tonge leo nimechanganya kwenye nikawa nauza maji hapa Mbezi stand ya daladala mgambo wakanikamata wakachukua mzigo nimerudi geto kulala, naombeni idea mishe gani nipige hapa town nisikose hela ya kula.
  16. Influenza

    Mo Dewji: Karibuni nitaikatia tamaa Simba

    Rais wa heshima wa Klabu ya Simba, Mohammed Dewji 'Mo Dewji'kupitia ukurasa wake wa Twitter amesema "Transformation ya Simba bado haijakamilika. huu ni mwaka wa 6. Karibuni ntakata tamaa" Mohammed Dewji aliwahi kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya klabu Simba miaka minne mfululizo hadi...
  17. D

    Tamaa inawezaje kumdhuru mtu?

    50 Cent alikuwa akimlipa mama mtoto wake $500,000 kwa mwaka (dola $40,000 kwa mwezi) kama matunzo ya mtoto wao, Ila baby-mama huyo akasema haitoshi! Baada ya mvutano na 50, baby mama huyo akaamua kwenda kwenye mahakama ya familia kuomba nyongeza ya matunzo ya mtoto. Cha kushangaza mahakama...
  18. Mwachiluwi

    Msiwakatishe watoto tamaa kwa kutaka wawe kama ninyi

    Hello 👋 Wiki hii nilipeleka mtoto wangu shule uko Arusha nikiwa na rafiki yangu naye akimpeleka mwanae shule zipo tofauti ila mkoa mmoja Baada ya kufika pale shule tukaandikisha nikaenda kumtafuta mwalimu wa darasa ni mkabidhi mtoto na nichukue ripot yake baada ya kuja kupata ripot ndio...
  19. Hyrax

    Tabia za wizi husababishwa na Kutokuwa na Kiasi, Tamaa pamoja na Uvivu wa Kufikiri na Kutenda

    Utu wa mtu unapimwa kwa kazi tena iliyo halali, kinyume na hapo wewe huna tofauti na wanyama waishio mwituni. Kwa muda mrefu sana nimejitahidi kufanya chunguzi mbalimbali, maana ni mambo ninayopenda hasa nikiwa sina vitu vingi vya kufanya. Katika hili nililoandika kwenye kichwa cha uzi...
  20. M

    Wahenga hawakukosea, tamaa mbele mauti nyuma: Huyu boss wa Wagner alipewa tenda yote kulisha majeshi ya Urusi, bado hakutosheka!!

    Fikiria jamaa alikuwa anapata mabilioni mangapi kwa kupewa tenda ya kulisha majeshi yote ya Urusi!! Lakini bado akawa hajaridhika na kuwa na bifu na waziri wa ulinzi na mkuu wa majeshi wanaoidhinisha tenda yake!! Bila shaka alitamani yeye ndio awe top kwenye jeshi la Urusi!! Sasa atakula jeuri...
Back
Top Bottom