Tumeshuhudia wanavyonyukana kugombea nani awe na mamlaka ya mali ya umma
Hili ni janga la Afrika ndio maana hadi leo hakuna muungano unaoeleweka
Yale yale ya ukawa na siasa za Tanzania
Bora kubaki na CCM kuna aina fulani ya utu na uungwana kuliko kilichotokea Chadema
Lossu, Heche na...
GT
Tamaa ya madaraka.ni kitu mbaya sana. Nawashangaa sana hawa wanaomwita Samia kuwa ni rais. Binafsi simtambui hadi mwisho wa dunia
Unajua kwamba.
1. Lissu yupo gerezani kwa sababu watu hawataki kuuachia madaraka?
2. Wajua kwamba CHADEMA inateseka kisa watu hawataki kuachia madaraka?
3...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.