The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 9,205
- 22,219
GT
Tamaa ya madaraka.ni kitu mbaya sana. Nawashangaa sana hawa wanaomwita Samia kuwa ni rais. Binafsi simtambui hadi mwisho wa dunia
Unajua kwamba.
1. Lissu yupo gerezani kwa sababu watu hawataki kuuachia madaraka?
2. Wajua kwamba CHADEMA inateseka kisa watu hawataki kuachia madaraka?
3. Je wajua kwamba Mamia ya Vijana wamekufa kwa sababu CCM haitaki uchaguzi huru ambao utawanyima kula?.
4. Je wajua kwamba Mawakala.ndiyo.walikuwa wapiga kura October hii. CCM ni wauaji wale vijana Dodoma hawakukosea kuimba.