tamaa

Tammas is the first album by Samir Joubran duo with his brother Wissam Joubran, released in 2003 labelled "daquí", by Harmonia Mundi.

View More On Wikipedia.org
  1. Ukitaka kununua gari usije kuomba ushauri JF, kuna watu wana kauli za kukera, wanakatisha tamaa na hawajawahi kumiliki hata terminal ya betri ya gari.

    MTU anakuja kutafuta ushauri ili asiumizwe huko Uswahilini anakoenda kutafuta Gari ya kuendana na kipato chake, watu watamjibu kwa kejeli, dharau, matusi na kila aina ya uchafu. Jamani kabla huja comment hiyo negative comment yako, jitafakarini, je ni lazima niandike kukebehi? Je kama sina...
  2. Mussa: Mwakinyo alifungulia Mbwa wakanishambulia kwa zaidi ya Saa 1, nilikataa tamaa nikisubiri kufa

    Kijana Mussa Ally (21), Mvuvi na Mkazi wa Sahare Jijini Tanga anaendelea na matibabu Hospitali ya Mkoa wa Tanga Bombo na kwa sasa amepata nafuu baada ya kushambuliwa nyumbani kwa Bondia Hassan Mwakinyo alfajiri March 04,2025 na kufikishwa Hospitali akiwa mahututi na majeraha mwilini. Akiongea...
  3. R

    Ni sababu ipi iliyokufanya ukate tamaa kulitengeneza gari lako ukaliacha likusanye vumbi na kutu

    Huwaga inafikia steji watu wanayakatia tamaa magari yao wanaamua kutatelekeza magerejini, majumbani, n.k. Ni sababu ipi iliyokufanya ukate tamaa kulitengeneza gari lako ukaliacha likusanye vumbi na kutu
  4. Mambo yanayokatisha tamaa kuwapa lifti baadhi ya watu

    Unapotoa lifti kwa baadhi ya watu tegemea mambo haya, - Wizi/ukwapuaji - si ajabu umempakiza mkaka mtanashati au mdada mlimbwende lakini anaposhuka akaondoka na kitu chako hasa hivi vitu vya thamani mfano laptop. Umefika unakoenda unachungulia kitu chako ukawajibike unakuta holaah hamna kitu...
  5. Hii kwa wanaume wote

    Tabia ya tamaa imewaangusha wanaume wengi sana till date: Tamaa ya fedha, tamaa ya kutaka maisha ya juu kupita uwezo, tamaa ya wanawake, tamaa ya kutaka kuyafikia mambo makubwa kupita uwezo. Mpaka umri huu nilionao nimeshuhudia marafiki zangu 58 wakipata madhira mbalimbali kwasababu ya tabia ya...
  6. USIMKATIE MTU TAMAA, NI SUALA LA MUDA UNAWEZA KUA YEYOTE KWENYE MAISHA YAKO

    Maisha hayana formula, Mara nyingine kwenye Maisha yako omba Sana Bahati! Huwezi amini ndio huyu sasahivi anakaa meza moja na Wararabu kutoka Saudia, yeye ndio anaamua akate kipande kipi.
  7. Hii nyimbo ina ujumbe murua kabisa -ACHA TAMAA 🎶

    Acha tamaa mwangu yo Amenikanya Mama alienizaa Jichuuunge yeye amesema yeye yeyee Tukitafuta pesa eti tutaigaaa tabia mbaya Hakuna aliezaliwa ni mwizi Saviè Kandoro Papa Hakuna aliezaliwa ni kahaba Issa Mambombe Tip-fire Tabia hizo mbaya twaziiga tukitafutaa Pesa Binadamu hukubari afanye jambo...
  8. Ku collapse Clouds FM, Ni effect ya Ruge au tamaa ya Kusaga?

    Kwa miezi kadhaa sasa kama unafuatilia posts za Clouds FM utagundua kwamba watu wengi wanalalamika kupotea kwa redio hiyo kwenye mikoa yao kwa muda mrefu. Miongoni mwa mikoa ambako Clouds imepotea ni Morogoro, Shinyanga, Kagera, Kilimanjaro nk. Zaidi ya miezi 6 redio hiyo haisikiki humo. Kwa...
  9. Unawezaje kudhibiti tamaa zako za ngono?

    Nambari 3 na 4 zitakuokoa. Kama mwanaume au mwanamke, mara tu unaposhinda tamaa yako ya mwili, unakuwa mtu usiyeshikika. Hasa WANAUME. Tujadili njia chache zenye nguvu za kudhibiti tamaa: Kabla ya kuendelea, kuna jambo unapaswa kuelewa. Kuna aina mbili za wanaume katika dunia ya sasa...
  10. Mungu hawasaidie sana watoto wa kiume tamaa inawamaliza

    Unapomwaga mbegu, ndipo utagundua kwamba maisha siyo tu kuhusu NGONO. Kuanzia mwanzo wa mazungumzo hadi mnapofika kitandani, na hata mkiwa juu ya kila mmoja, kila kitu kinahisi vizuri. Lakini mchezo hubadilika mara tu unapomwaga mbegu. Unapomwaga mbegu, ndipo utagundua kuwa ulikuwa unafanya...
  11. Kutuhumiana ubadhirifu wa fedha na minyukano wa viongozi CHAKUHAWATA Mpanda inatukatisha tamaa Waalimu

    Nasikitika kwa kile kinachotokea kwa Chama chetu cha Kulinda na Kutetea Haki za Walimu Tanzania (CHAKUHAWATA), Manispaa ya Mpanda, Mkoa wa Katavi kwa baadhi ya viongozi kuona sasa chama hiki kugeuzwa kuwa mradi wa viongozi wa chama Manispaa ya Mpanda kujipatia fedha. Tumechagua viongozi kwa...
  12. Je ni kweli maisha ya Ulaya na Marekani ni magumu au ni mwendelezo wa ngozi nyeusi kukatishana tamaa?

    Wakuu mengi yanazungumzwa kuhusu uzuri na changamoto za maisha ya Ulaya na Marekani. Wengi wetu tunaamini huko ndo watu wanaishi na sisi wengine huku ni wasindikizaji tu ila kuna wengine wanadai eti maisha ya huku bongo ndo mazuri kuliko huko ng'ambo. Wakuu ukweli uko wapi maana mwenzenu...
  13. B

    Nimekata tamaa ya maisha

    Nimekata tamaa ndoa inatesa sana. Nyumbani hakuna mtu baba alishafariki, mama ni mgonjwa kapata stroke yupo kwa ndugu anatibiwa. Kwangu kunawaka moto, hapa nipo Mjamzito miez 8. Nawaza usiku silali natamani nijiondoe tu duniani nawaza ninawatoto 2 nawaacha wapi ambapo watanisahau kwa haraka?
  14. L

    Wanasimba Tuache kuwakatisha tamaa wachezaji wetu,tuwe na subira,mmemuona Kibu?

    Leo hii KIBU D kawa mchezaji Bora kabisa katika Klabu yetu.kawa muokozi,mleta faraja,mkombozi na mfunga magoli muhimu. Lakini Kibu huyuhuyu miaka miwili iliyopita hakuna tusi aliacha kutukanwa. Kibu alilaumiwa na analaumiwa kwa kufunga goli moja TU msimu mzima na kutofungq kabisa katika...
  15. Nilifanya hivi kwa mpenzi mwenye tamaa, je, ni sahihi?

    Uyu demu ni material oriented Kuna siku tunaenda nae sehemu Kwa kutembea tumepanga twende Kwa mguu nilikuwa namsindikiza unfortunately akatokea boda akapanda wakasepa Na Huwa namjali kumhudumia nilijisikia vibaya mno Nikaanza kuwa Kila nikimuona demu mzuri kumzidi tukiwa nae demu wangu...
  16. Mbowe ameingiwa na hofu. Nini kimempa Hofu na kukata tamaa?

    Habari za Sabato! Nimeona Mbowe Akihojiwa na Kikeke. Kwa kweli hofu ipo dhahiri machoni mwake. Hata body language yake inamkataa akijaribu kuficha hofu yake. Ni kama amekata tamaa pakubwa. Ingawaje wafuasi wake wanahangaika kupambana, na kumtia moyo lakini jitihada Zao zimefua dafu kuondoa...
  17. Hotuba binafsi ya Tundu Lissu mbele ya wanaombackup huko ulaya ni ya kinyonge sana na ina dalili zote za kukata tamaa

    Ni wazi muungwana ameenda kuomba milioni 30 alizotakiwa kuchangia na kamati kuu, kama sehemu ya gharama za mkutano mkuu wa chadema taifa na uchuguzi wa Chadema ngazi ya taifa. Hata hivyo ni kama vile hana uhakika wa kuipata. Ieleweke bayana kwamba, mgombea huyu mbinafsi sana wa uenyekiti...
  18. J

    Recep Tayyip Erdoğan wa Turkey, tamaa yake ya kurudisha Ottoman Empire huenda ikamgharimu

    Kwa wale msiojua Rais wa Turkey Recep Tayyip Erdoğan ni Islamist kindakindaki. Kwa sasa Rais huyo kupitia chama chake cha Adalet ve Kalkınma Partisi, (AK Parti) ni muumini mkubwa wa Muslim brotherhood na hapo ndipo wanapokutana na Serikali ya Qatar ambayo ndiyo mfadhili mkubwa wa mbinu zote...
  19. M

    Wanasiasa wa Tanganyika ni tamaa ya madaraka na wanakosa subra tofauti na Zanzibar

    Tamaa ya vyeo, mfuragano nakukosa subra ktk vyama vya siasa 1. NCCR 2. TLP 3. CUF bara 4. Hivi sasa chadema Siasa wanaona mchakato wa siku 1 , 2 au 3
  20. Watu ambao mmekata tamaa nawapa njia hii ya uhakika ya kuzifungua njia zako .

    Habari yenu wadau wa JAMIIFORUM. Leo hii nataka kuwapa dondoo kuhusu MAISHA . Watu wengi najua wanapitia magumu Sana wameomba sana Kwa MUNGU Ila wametoka 0-0 na wengine wameroga Sana Ila wametoka 0-0. Siri iliyopo katika haya MAISHA ni (shukrani ). Anza kuwaambia watu neno Asante na anza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…