Wakuu Jmosi inaendaje?
Tanzania tumebarikiwa kuwa na makabila mengi yenye tamaduni mbalimbali ambazo kiasi chake zinaanza kupotea kutokana na miingiliano na wageni pamoja na sababu nyinginkede kede.
Mimi ni katika wale tumekulia mjini, tunaokoteza huku na huko na kujifunza kila siku kutokana...
"Bunge linaazimia kwamba Serikali ihakikishe inakarabati uwanja wa Benjamin Mkapa ifikapo April 2025, Serikali iandae mikakati ya kuanzisha chombo maaulumu cha kusimamia uwanja wa Benjamin Mkapa na viwanja vingine vinavyojengwa na Serikali ili kuhakikisha kuwa vinatunzwa na vinakuwa katika ubora...
Huu uwanja tuupige vita, yaani wanalinda wanajeshi usku na mchana, hata taratibu zetu za jadi tumeshindwa kuziingiza na kuzichimbia uwanjani...
Hawa jamaa usiku kucha wanalinda kwa mabunduki. Tusikubali timu nyingine itumie uwanja huo kama nyumba ni, hatutachukia ubingwa
Wasotho wana tamaduni zao tofauti, ikijumuisha aina za kipekee za muziki na lugha yao, Sesotho.
Shughuli za kitamaduni ni pamoja na kucheza, kupiga makofi, kuimba, na kuimba. Shughuli fulani za burudani pia ziliendelezwa katika utamaduni wa vibarua ndani ya Wasotho, kwani wengi walifanya kazi...
Miezi michache iliyopita kumekuwa na hoja nzito ikielekezwa kwa uislam. Hasa suala la kutumia lugha ya Kiarabu katika ibada. Mpaka ikaonekana kwamba uislam siyo dini, bali ni chombo au mpango wa waarabu wa kueneza tamaduni, mila na desturi zao.
Pia lingine ambalo watu wengi wameanza kulimulika...
Yaani kabisa mtu mzima na heshima yake (anaitwa mama nyumbani na hata boss ofisini) anapita kwenye tope linalonuka chakula kilichoharibika (kinyesi pia labda kipo maana harufu mbaya) kwenda kununua chakula ambacho analisha watoto, ndugu na marafiki
Ukiridhika kupata chakula chako katika...
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa (Mb) ametoa wito kwa Wazazi, Walezi na Walimu kuwalea, kuwaandaa na kuwafundisha Wanafunzi katika misingi ya nidhamu bora na tamaduni za kitanzania ili iweze kufaa katika jamii na kuwa na mchango kwa Taifa kupitia taaluma zao.
Bashungwa ameeleza hayo Novemba...
Wakuu, habari za mihangaiko
Aisee Kwa wenyeji wa Buza bila shaka mnaelewa Hili.
Hii bar inaitwa New Savoy Iko Buza kanisani, Shughuli zinazoendelea hapa zimevuka utamaduni wetu, Sawa Kila mtu ana uhuru lakini kweli ndio hivi? Ifikapo saa 2 jioni hii njia unaogopa hata kupitia, ni mwendo WA...
Nawasalimu ndugu zangu! Nimejiwazisha tu kwa sauti.
NJOO NA MAWAZO YAKO KAMA MENGINE HUKUBALIANI NAYO. I stand to be corrected
Daktari ANATIBU nini kama mwenyewe na jamii yake HAJAJISOMA? why nimewaza hivi.. Kuna mahala pakubwa sana sisi kama waarifka tumekuwa corrupted 100% na mifumo ya...
Jamani, hapo kabla sikuwahi kusikia haya mambo. Na kama yalikuwepo basi ni wachache sana. Ila kwa sasa hata ndugu zangu akina muraa, nao wanamezwa na mabadiliko.
Mwanaume kumtegemea zaidi mwanamke atafute kipato cha kulisha familia, kwa sasa imekuwa kawaida kabisa
Mtoto wa kiume kukaa nyumbani...
WAZIRI DKT. NDUMBARO ATEMBELEA MAONESHO TAMASHA LA TAMADUNI
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro Septemba 22, 2024 amekagua mabanda ya maonesho katika Tamasha la Utamaduni la Tatu la Kitaifa linaoendelea katika Uwanja wa CCM Majimaji Mkoani Ruvuma.
Maonesho hayo...
Hii dhana kwamba wanawake huenda wasiwe na hofu kubwa ya kuwa kuuanika mwili kuliko wanaume inaweza kuathiriwa na mchanganyiko wa mambo ya kijamii, kitamaduni, kisaikolojia, na kibiolojia:
Mazingira ya Kitamaduni: Katika tamaduni nyingi, wanawake mara nyingi hufanyiwa ubaguzi au kuhukumiwa...
Hamas kupitia wasemaji wake imetoa takwimu ya uharibifu uliofanywa na mayahudi katika kipindi chote cha vita mpaka sasa,
Jumla ya misikti 610 ya Gaza na makanisa matatu yamebomolewa kabisa na kwa makusudi na majeshi ya IDF,
Miongoni mwa majengo hayo ya kiibada yaliyovunjwa yamo yenye historia...
Tanzania Tuitakayo: Kuleta Mawazo Mbadala kwa Miaka 5 hadi 25 Ijayo
Tanzania, nchi iliyobarikiwa na rasilimali nyingi na utajiri wa tamaduni, inakabiliwa na changamoto na fursa nyingi katika kipindi cha miaka 5 hadi 25 ijayo. Katika maono yetu ya Tanzania Tuitakayo, ni muhimu kuibua fikra...
Serikali kwa kushirikiana na sisi wananchi, kudumisha na kurejesha hadhi ya tamaduni za kitanzania na Afrika kwa ujumla, ili kuwaoko watu kutoka mateka wa kiutamaduni.
Tanzania tuitakayo baada ya miaka 20.
SERIKALI KWA KUSHIRIKIANA NA SISI WANANCHI KUDUMISHA,NA KUREJESHA HADHI YA TAMADUNI ZA...
Wakuu kwema?
Hivi Tamaduni Music ilianza mwaka gani na mwaka gani ikawa imekufa (japo sina hakika ndio maana nauliza)?
Kama ilikufa nini chanzo cha Tamaduni kufa?
Muanzilishi alikuwa nani wa Tamaduni? Nini chanzo kufa kwake. Members wa Tamaduni walikuwa kina nani?
Asante.
ILI KUWA NA FAMILIA IMARA NA VIONGOZI BORA WA BAADAE TANZANIA IFUNDISHE SOMO LA “UTAIFA” KUANZIA DARASA LA AWALI ILI KULINDA TAMADUNI ZETU NA KUJENGA JAMII YENYE MAADILI MEMA.
SHULE AU DAY CARE ZA MITAANI PIA ZISHIRIKISHWE MAANA WATOTO WANASHINDA HUKO.
Kabla sijaanza anaomba nitoe Maana ya...
Juhudi za mtu mweusi kujenga umoja na waarabu.
Mavazi ya kiarabu - kuvaa kanzu, kobazi, barakshia, n.k.
Majina - ni kawaaida kukuta jina la kwanza mpaka la ukoo la kiarabu
Lugha ya kiarabu - huipa uzito wa hali ya juu
Ndoa kwa tamaduni za kiarab - kuvaa jambia kiunoni kwenye siku ya kufunga...
Friends and Our Enemies,
Beautiful Islands Of Africa, Zanzibar...
Fahari pekee iliyobakia Africa na inayozidi kuwakilisha ubantu na TAMADUNI za heshima ni wewe Zanzibar.
Watu wengi wakitaka kujitambulisha Kwa wageni WASIO ifaham Tanzania basi utawaskia wakisema huko kuwaambia wageni kuwa Mimi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.