tamaduni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. julaibibi

    Serikali iwape motisha waandaaji wa maudhui waandae vitabu vyenye maudhui ya Kitanzania

    Baada ya kushuhudia vitabu vilivyopigwa marufuku kwa kweli ipo haja ya serikali kuanzisha kampeni kuwapa motisha wasanii hawa, vijana wa IT watutengenezee katuni za Kitanzania na pia magazine nzuri za rangi rangi kama miaka ile magezeti ya Sani. Ili kupambana na vitabu hivi ni lazima kuingiza...
  2. V

    Kuna siri gani kati ya Wachaga na Mwisho wa Mwaka?

    1: Hivi kuna kabila lengine linaloongoza kwa kwenda vijijini kwao mwezi desemba kama wachagga? 2: Ni kwanini kila mwaka mwezi huu desemba, unakuta wachagga wanapeleka magodoro nyumbani(vijijini), yale mwanzo walopeleka huwa yanakuwa yameenda wapi? 3: Ushajiuliza kwanini wachagga wengi na...
  3. JanguKamaJangu

    Waziri Mkuu wa UK adumisha tamaduni kabla ya kuingia ofisini

    Katika kudumisha tamaduni na asili yake, bila kujali umaarufu wa jina la taifa analoongoza au umaarufu wake mwenyewe binafsi, Waziri Mkuu mpya wa Uingereza, Rishi Sunak alifanya tukio hili la kitamaduni kabla ya kuingia katika ofisi yake mpya. The new UK PM performing his spiritual/traditional...
  4. DMmasi

    Tamaduni zetu za kisasa kwenye jamii na madhaifu yake

    SEHEMU YA KWANZA Habari zenu wana jamii wenzangu natumai muwazima wa afya, kwa walio na changamoto mbalimbali poleni sana niseme tuu ikiwa tunaishi tumaini lipo tusikate tamaa. Baada ya salamu ningependa kutoa ufafanuzi mfupi juu ya uzi ninaokwenda kuushusha. Kwanza huu ni mtizamo binafsi...
  5. Let_Clarity

    SoC02 Kuthamini Sanaa ya Tanzania kwa ajili ya maendeleo ya Jamii na Uchumi

    Mwaka 2019 ulionesha ya kwamba asilimia 13.6 ya pato la Tanzania (Kitomari, 2019) lilitokana na sekta ya sanaa na burudani. Hii ni kujumulisha sanaa ya kuigiza, muziki, uchoraji na michezo. Katika robo ya kwanza ya mwaka huo huo wa 2019, nchi ya Nigeria ilipata asilimia 0.27% ya pato la taifa...
  6. Neemawalterr

    SoC02 Fikra sahihi na tamaduni hii mpya itainua uchumi wa familia na taifa letu kwa ujumla

    Ni ukweli kabisa usiopingika kwamba serikali na mashirika ya siyo ya kiserikali yamejikita mno katika kuongeza fursa za wanawake ili waweze kujikwamua kiuchumi. Jambo hili ni faida kubwa kwa nchi yetu, kwani takwimu zinasema kampeni hizi zimepunguza umaskini Tanzania kutoka 34.4% kwenda 26.4%...
  7. S

    SoC02 Kiapo cha Daktari na ukakasi wa kutoa huduma; Je, ni wakati sahihi wa sisi kama taifa kuja na kiapo chetu kulingana na tamaduni zetu?

    Usiri wa taarifa za mgonjwa atoapo akiwa maeneo ya kutolea huduma za afya Leo napanda jukwaani na andiko langu kuhusu kero inayotupata wagonjwa hasa tunapotoa maelezo kuhusu maradhi yanayotusumbua pindi tuendapo hospitalini Kikawaida taarifa atoazo mgonjwa inabidi ziwe za siri baina yake na...
  8. Jerry Farms

    SoC02 Jenga tamaduni ya kusoma maelezo ya bidhaa kabla ya kuitumia

    BIDHAA BANDIA NA HALISI KATIKA SOKO HURIA: Wajibu wa mlaji kabla ya kununua, kutumia na kuharibu mabaki ya bidhaa. Katika zama hizi za soko huria kauli hizi si nadra sana kusikika miongoni mwa wanunuzi katika masoko yetu huko tuishiko; kauli kama, "Hii ni ya kichina hivyo sidhani kama...
  9. britanicca

    Nimeishi Urusi najua Tamaduni zake, pamoja na Ukubwa wa Jeshi lake Rushwa ndiyo inawafanya wasikamilishe malengo kwa muda

    Nimekuwa Russia tokea mwaka 2008 hadi 2011 alafu nikaenda Peru Na baadae kurejea Russia 2013 Russia ina rasilimali nyingi sana, ardhi hakika imebarikiwa. Russia ina historia, Russia ina utamaduni. Russia ina watu washindani wenye kuichangamsha dunia kwa kuipa ladha. Tatizo kubwa linaloiumiza...
  10. K

    Mwaka huu hakukua na mkono wa chrismass wala salamu za chrismass: Tamaduni zimekiukwa?

    Chrismass ya mwaka huu haikuwa na mkono wa serikali katika maeneo matatu naomba niyataje 1. Hakukuwa na mkesha wa kitaifa wa chrismass 2. Serikali haikutoa mkono wa chrismass 3. Siku ya chrismass umoja wa makanisa ya kikiristo, Roma uandaa misa ya kitaifa ambapo mara nyingi katika Misa hiyo...
  11. VinJoe

    Je, kimaadili, mila, desturi na tamaduni zetu za kiafrika ni sawa kua na mahusiano na binamu?

    Miaka mingi iliyopita nikiwa bado mdogo sana familia zetu yaani baba mkubwa baba baba zangu wadogo shangazi yangu walikua wana utaratibu wakukutana kila mwaka mwezi wa 12 ambambo walikua wanasherekea birthday ya baba yao na sikukuu za xmas na mwaka mpya hivyo hata sisi binamu na ndugu wengine...
  12. The Assassin

    Hizi tamaduni za Kizulu, acha tu

    Wakuu mliowahi kuishi South haya maisha ya wazulu mnayaonaje? Ndio maana wazungu waliamua kutufunga waafrika spidi gavana kutuletea magonjwa ya ajabu ajabu, tungeuana kwa kweli. Wazulu jamani mtakuja kuniua.
  13. JACKLINE CELESTINE KITALE

    SoC01 Upotevu wa tamaduni zetu ni janga kuu tusilichukulie poa

    Ni kitu ambacho kisicho fichika ya kuwa utamaduni wetu zinaendelea kutoweka kadri siku zinavyozidi kwenda. Kutokana na taarifa zilizotolewa na UNESCO ni kwamba kila baada ya wiki zaidi ya lugha mia sita (600) hutoweka. Ukiangalia kwa sasa Ni watu wengi hatutumii wala hatujui tamaduni zetu...
  14. J

    SoC01 Tamaduni inavyochangia ukandamizaji wa mwanamke

    Mwenendo wa mwanadamu katika maisha huchangiwa kwa asilima mia moja na mchango wa tamaduni, kwani hakuna mwanadamu asiyetokana na utamaduni fulani. Utamaduni unatofautina kutoka kwenye bara moja na lingine, nchi moja na nyingine na sehemu moja na nyingine katika nchi husika. Hivyo tamaduni...
  15. Mshana Jr

    Jamvi la wageni

    Kikalio ni kitu cha kuheshimiwa sana kwenye tamaduni nyingi.. Unapofika kwa mtu cha kwanza unachopewa ni kikalio... Kikalio chaweza kuwa kiti, jamvi au mkeka! Kiti ni mjumuisho wa kochi, stuli ama kigoda! Kwa tamaduni za pwani ni nadra kukuta viti ndani ya nyumba .. Na hii inatokana na ama...
  16. MR LINKO

    Mila na utamaduni: Tanzania wanakozikwa watu wakiwa wameketi hadi Cameroon wanakopiga matiti pasi, angalia tamaduni za ajabu Afrika

    Muacha mila ni mtumwa lakini kuna baadhi ya mila zinazoendelezwa Afrika ambazo ni nzuri na zinawafanya Waafrika kutambua urithi wao kitamaduni lakini nyingine ambazo zitakushangaza. Baadhi ya mila hizo zimetajwa kama dhalilishi au zinazokiuka haki za kimsingi za binadamu. Leo tunaangazia...
  17. Chizi Maarifa

    Zanzibar bora ingeungana na Mombasa kwa kuwa tamaduni zinafanana sana

    Khalifa Said mmoja ya waandishi huru ambaye amekuwa akindikia magazeti mbalimbali ya nje. Amekuwa na mtizamo tofauti kuhusiana na Muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Kwa wengi nadhani mmekuwa na Ufahamu hasa wa tamaduni za Mombasa ikiwepo moja ya Ukarimu kwa wageni pasipo kujali jinsia zao...
  18. T

    Uzi wa kushare nyimbo za Kisukuma

    Bhanamhala mhu le mhola hene? Uzi huu mahususi wa kushare ama kushirikishana nyimbo zozote za kisukuma ili kudumisha mila na tamaduni zetu. Kwa sababu wasukuma tunasifika kwa kuwa wapole na wakarimu. basi uzi huu unaruhusu pia makabila mengine kuweka nyimbo zilizoimbwa kwa lugha zao ili tuweze...
Back
Top Bottom