Nimejikuta nawaza kama mkristo anaweza kuvaa kanzu na Barghashia na kwenda ibadani kanisani na wakristo wenzake wakawa na amani naye.
Lakini nikawaza pia kama Muislam anaweza kumuadhinia mtoto wake Jina la Edward na waislam wenzake wakaona ni sawa.
Hivi tunaweza kuwa waislam ama wakristo huku...
Mama wa watoto kadhaa anahukumiwa zaidi ya miaka 20 kwa kukutwa na nyamapori kilomoja, ila kuna kundi la watu linafanya uwindaji haramu kwa kuua mamia ya wanyamapori kwa kisingizio cha tamaduni.
Ufugaji wa ng'ombe wa kienyeji umekuwa kama uharifu nchini kwa asilimia kubwa ya wafugaji, mifugo...
Kama ilivyozoeleka kwenye jamii nyingi kuwa ukiwa Rastafarian basi kwa asilimia kubwa utakuwa unatumia bangi/marijuana na majina mengine lukuki kama inavyojulikana.
Leo kwenye mitandao ya kijamii kulikuwa kuna meme inasambaa ikiwa na ujumbe "Wakati Lucky Dube anaimba "Born to Suffer" me...
Hakuna kiumbe chochote kisiyojua umuhimu wa makutano katika jamii zote za kiulimwengu pasipo kuwa makutano hakika wengi wetu tunageishi leo yetu ndani miaka 5 ijayo,tusengejua baadhi ya mambo muhimu ya kiuchumi katika matokeo chanya ya ukuwaji wa pato la mwananchi.
Bado tusingejua nini maana ya...
Kupitia mtandao wa kijamii X, Waziri Nape Nnauye amesema kuwa ameelekeza vyombo vinavyohusika kuchukua hatua za mfano dhidi ya wote waliozusha na kusambaza taarifa za uongo dhidi ya Makamu wa Rais.
Nanukuu
"Pole sana Mhe Makamu wa Rais. Tumekusikia. Kwakuwa tuna sheria zinazoelekeza mitandao...
"Anayesoma ana mengi sana asiyoyaelewa, asiyesoma hana asichoelewa".
Kama umewahi kusikia kuona au kukutana na mila ambayo kwako ilikuwa ni ya ajabu au haijakukalia sawa lakini ulipoiona au kuikuta ilikuwa ni kitu cha kawaida, itupie uzi huu.
Pia tupia hapa mila ambazo kwako au kwenu ni...
Niliangalia kipindi kimoja katika luninga, kilionyesha mila na desturi za watu wa Fiji, kwa kweli wale ni wenzetu kabisa.
Inasadikia miaka mingi iliyopita, Rufiji kuna watu walisafiri katika chombo kutumia Bihari. Katika safari ile, chombo kilipaigwa na dhoruba kali na kilipotea baharini. Kwa...
Tanga mtoto wa kike akizaliwa tu anavalishwa shanga.
Arusha kama huna meno ya dhahabu unatengwa.
Manyara usipoua simba we sio mwanaume kamili.
Mara demu akiwa hapigwi anaomba talaka.
Mwanza mtoto mchanga wa cku 1 anapewa ugali sio maziwa.
Kagera huko hata barabara ya vumbi wanaita flyover...
1. Kuvunja nazi njiapanda.
2. Kwa mama ntilie kupika chakula na maji yaliyooshea maiti / yaliyo tawaziwa.
3. Kuchukua watu misukule.
4. Kuwanga usiku.
5. Kufuga majini.
6. Kuhudhuria kwa waganga wa kienyeji.
7. Kugeuza watoto wetu mandondocha ili tupate utajiri.
8. Mwanamke kumlisha...
Baada ya Khali kutoa kebei kwa wanamziki wa Hip Hop ya Bongo kuwa hawana uwezo wa kushindana naye.
Khaligraph Jones alitoa masaa 24 kwa wasanii wa Hip Hop wa Bongo wajitokeze kum-challenge.
Japo wakazi alishauri wasanii wasimjibu chochote lakini bado Songa na One the incredible wameamua kumpitia.
Husika na kichwa cha habari cha mada hii. Ni kweli kuwa Tanzania ni nchi pekee duniani inayopuuza utamaduni wake na kuiga tamaduni za nchi nyingine za Afrika na ulimwenguni kwa ujumla.
Katika swala la utamaduni kwa upande wa Tanzania basi haishikilii chake inatupa na kushikilia ya wageni...
Yale yale tu, Waafrika wanakusanyika kusheherekea tamaduni na desturi za Kiafrika kisha Waislamu Waafrika wakaibuka na kuzuia na kusema zifuatwe tu tamaduni za Kiarabu yaani Kiislamu kwenye mkoa wa Yoruba, Nigeria, Afrika........
A Muslim group, Majlisu Shabab li Ulamahu Society, in Ilorin...
uarabu una mila na desturi zake na uislam una sheria zake lakini huku kwenye uislam tumekomba mpaka uarabu, nimeuliza swali uislamu ni uarabu?
Majina - yani mpaka jina la ukoo linanyofolewa.
Kutukuza waarabu - kuwa na dhana potofu kwamba waarabu ni ndugu zake Mwenyezi Mungu, kuiita ngozi ya...
Kabila la wazinza lipo sengerema, geita na sehemu mbali mbali za kanda ya ziwa
Ambaye anazijua tamadun za kabila la wazinza naomba anijuze
Note: wale watukanaji na wale wenye stress huu sio uzi wa kumalizia stress zenu
Kama ilivyo kwa kila nchi kuwa na sheria na kanuni zake ambazo ni ngumu kukuta kwa nchi nyingine basi hata jamii ina tamaduni zake ambazo zilikuwepo tangu hapo zamani enzi za mababu na mabibi zetu na hazikuwekwa tu bila sababu bali zilitokana ili kuilinda jamii na watu waliomo ndani take dhidi...
Hizi hazimo kwenye Biblia.
1: Sikukuu za Krismass na Easter.
2: Kunena kwa Lugha ambazo mnenaji na wasikilizaji wote hawaelewani.
3: Maombezi kwa maiti ili isamehewe dhambi alizofanya akiwa hai.
4: Sabato ya Jumapili.
5: Mchungaji au askofu wa kike. Katika biblia mchungaji ni Mume wa mke...
Utamaduni ni jinsi binadamu anavyokabili maisha katika mazingira yake. Hii pamoja na ujuzi, Imani, Sanaa, sheria , mila, desturi, ambavyo mtu anajipatia kama mwanajamii. Inapokuja kwamba mambo fulani yanakubaliwa na jamii fulani kutekelezwa basi huitwa utamaduni wa jamii hiyo. Tutakubaliana...
Hiki ndio chuo kikuu cha hiphop hapa bongo kwani tangu waanze harakati zao wanatoa vichwa vinavyofanya kweli kwenye kila angle.
Hawa ni baadhi ya waliopitia University of tamaduni music wakatoka na bachelor degree inayowasaidia kupata mkate wa kila siku,
*Kontawa
*Maarifa
*Toxic
*Pmawenge...
Short thread! Wadau nimezikumbuka sana ngoma za Lunduno zilizokusanya wasanii wengi sana rappers katika movement ya Tamaduni music 2005-2015. Ngoma zao nyingi zilikuwa zinatoa darasa na kumpa mpambanaji hope kubwa katika kupambana.
Wasanii manguli kama Nikki mbishi, One the incredible...
MHE. MARY MASANJA - WATANZANIA WATAKIWA KUENZI MASHUJAA WA VITA VYA MAJIMAJI KWA KUHIFADHI MILA NA TAMADUNI
Watanzania wametakiwa kuendelea kuwaenzi Mashujaa wa Vita vya Majimaji kwa kuhifadhi mila na tamaduni zao kwa kufanya kazi kwa bidii, kulinda rasilimali za Taifa, kupambana na kuzuia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.