tamisemi

  1. R

    Tamisemi huyo mkurugenzi wa Pangani ni mpigaji na wasaidizi wake asiachwe kabisa, mpaka leo ajira mpya hawajalipwa pesa za kujikimu

    Naibu Waziri Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Deogratius Ndejembi amemtaka Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Pangani, Isaya Mbenje na Watendaji walio chini yake kujitafakari juu ya mwenendo wa utendaji kazi wao kutokana na kushindwa kusimamia miradi inayotekelezwa kwenye Halmashauri hiyo ikiwemo...
  2. Z

    Waziri TAMISEMI fuatilia posho za mafunzo ya maafisa tarafa na watendaji kata mkoa wa Lindi

    Tunaandika haya kwa uchungu, na masononeko baada ya kufanyiwa ukatili wa kutudhulumu stahiki zetu za posho kwa maafisa tarafa na watendaji wa kata. Mh. Waziri Manispaa ya Lindi inaundwa na majimbo mawili ya Lindi mjini na Jimbo la Mchinga ambayo zamani ilikua ipo Halmashauri ya Lindi vijijini...
  3. NUMAN

    Waziri Mchengerwa wasaidie watumishi umma, wanahamishwa vituo vya kazi bila kulipwa, wakihoji wanatengenezewa zengwe!

    Najua wewe ni mchapa kazi sana, kuna watumishi wa mamlaka ya serikali za mitaa na halmashauri ambao wanahamishwa kutoka kituo kimoja kwenda kingine na wanastahili kulipwa kwa mujibu wa taratibu za kiserikali. Sasa cha ajabu watumishi hao wanahamishwa bila kulipwa kinyume kabisa na Sheria ya...
  4. Msanii

    TAMISEMI kushughulikia miundombinu ya shule za umma liangaliwe upya

    Hujambo ndugu? Nimetafakari kwa kina uamuzi wa serikali kuziweka shule za umma chini ya usimamizi wa TAMISEMI hususan miundombinu yao ninaona ni uamuzi unaohitaji kupitiwa upya. Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) kwa mujibu wa ibara 1415 na 146 za Katiba ya JMT (nimenakili hapa...
  5. Mjukuu wa kigogo

    Mkuu wa Shule ya Sekondari Nyiendo wilayani Bunda jitafakari kama kiti kinakutosha

    God is Good ndio salamu yako maarufu unayoitumia wakati wa kufungua vikao vya shule utafikiri ulizaliwa altareni!Dalili zako za kufeli zilianza mapema sana na bado unaendelea tu kufeli japo uongozi wa juu pengine unakuonea huruma. 1. Baada ya taarifa za awali kuonyesha mwalimu wa kiume...
  6. Stephano Mgendanyi

    Naibu Waziri TAMISEMI Dkt. Festo Dugange: Utoaji wa Taarifa kwa Wananchi Uwe Endelevu

    UTOAJI WA TAARIFA KWA WANANCHI UWE ENDELEVU - Dkt. Dugange Naibu Waziri TAMISEMI Dkt. Festo Dugange: Utoaji wa Taarifa kwa Wananchi Uwe Endelevu Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Festo Dugange amewataka Wakuu wa Mikoa na Wakurugenzi wa Mamlaka za Serikali za...
  7. T

    DOKEZO Nkasi, Rukwa: Watumishi Ajira Mpya hatujalipwa Fedha za Kujikimu

    Habari wana JF,leo napenda niongelee ubabaishaji wa halmashauri zetu kwenye kuwapa stahiki zao waajiriwa. Tunakumbuka mwezi wa 6 mwaka huu 2023 serikali iliajiri watumishi wapya kada ya afya na elimu na pia ikasisitiza wapewe fedha za kujikimu. Napenda nipongeze kwa halmashauri zote ambazo...
  8. Stephano Mgendanyi

    NAIBU Waziri TAMISEMI, Mhe Dkt. Festo Dugange - Tsh. Bilioni 8 Zimepelekwa katika Mkoa wa Njombe kwa ajili ya Ununuzi wa Vifaa Tiba

    NAIBU Waziri Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Mhe Dkt.Festo Dugange amesema ndani ya uongozi wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan zaidi ya Sh. Bilioni 8 zimepelekwa katika Mkoa wa Njombe kwa ajili ya ununuzi wa vifaa tiba. Mhe. Dugange ameyasema hayo akiwa katika ziara ya Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango...
  9. Mhafidhina07

    Wanaoomba kazi kupitia Tamisemi ni ualimu tu au hata kada nyingine?

    Nimesomea DIPLOMA ya utawala, je naweza kujiunga kwenye web yao na kuanza kuomba kazi?
  10. Black Butterfly

    TAMISEMI itusaidie Walimu tuliopandishwa Madaraja Halmashauri ya Moshi tupewe Barua za Uthibitisho

    Naomba kufikisha kero yangu ambayo inanigusa binafsi pamoja na Watumishi wa Kada ya Ualimu katika Halmashauri ya Wilaya ya Moshi huku Mkoa wa Kilimanjaro. Sisi Walimu ambao tulipandishwa madaraja tangu Mwaka 2021 hadi kufikia leo ninavyoweka malalamiko haya hatujapewa Barua za Uthibitishi wa...
  11. JanguKamaJangu

    TAMISEMI yatangaza Watumishi 5,740 wamekubaliwa kuhama Serikalini

    Katibu Mkuu Ofisi ya Rais TAMISEMI, Adolf H. Ndunguru ameridhia kufanyika kwa uhamisho wa Watumishi 5,740 walioomba kuhamia kwenye Halmashauri mbalimbali nchini ambapo amesema ofisi yake imefanyia kazi maombi yote ya uhamisho yaliyowasilishwa kuanzia January–July, 2023. Amewataka Watumishi...
  12. Redpanther

    Ubaguzi wa serikali juu watumishi wa Afya walioko TAMISEMI

    Habari za Asubuhi ndugu na wanajambi wenzangu. Ni muda sana sijaweka bandiko hapa JF. Majukumu na kazi za watu zinabana sana kusema ukweli. Naomba niende kwenye mada moja kwa Moja. Mimi ni mtumishi katika moja ya Taasis za serikali katika Manispaa "X" mkoa mmoja maarufu kama Kanda Maalum...
  13. Mwizukulu mgikuru

    Waziri Mchengerwa kazia hapo hapo, TAMISEMi ni shamba la bibi

    Waziri wa TAMISEMI endelea kuwatimua watumishi wa ovyo, hiyo Tamisemi ni shamba la bibi, imekuwa ni kawaida kwamba bila kutoa chochote hupati chochote, uhamisho kwa mtumishi ilikuwa ni suala na haki ya mtumishi lakini leo bila kutoa chochote mtumishi kuhama kutoka kituo kimoja kwenda kituo...
  14. R

    Serikali yatolea ufafanuzi taarifa ya nafasi ya masomo ya kidato cha 5 ya mwanafunzi Sifika Ruben kupewa mtu mwingine

    Serikali kupitia Ofisi ya Rais -TAMISEMI jana tar 25/9/2023 imetoa ufafanuzi wa taarifa zilizokuwa zinasambaa kwenye mitandao ya kijamii zikimuhusisha mwanafunzi Sifika Daniel Ruben aliyesoma Shule ya Sekondari ya Mkombozi Wilayani Same, Kilimanjaro kupangwa Shule ya Sekondary Namwai kwa masomo...
  15. Richie one

    Mke mtarajiwa anatafutwa

    Wanajf mimi ni kijana mkazi wa Arusha miaka 37, msomi kias na pia mjasiriamali, maji ya kunde na mrefu kiasi, mkiristo. Future wife awe na sifa hizi; ~ Miaka 32 kushuka. ~ Mweupe (weupe asili). ~ Asiwe mrefu sana wala mfupi. ~ Asiwe mnene sana. ~ Mkirsto. ~ Anayejielewa na kujua maana halisi ya...
  16. Nyanda Banka

    Nakosa Imani na nguvu ya kuomba Ajira za TAMISEMI

    Kila ninaposikia kuhusu suala la kutangazwa kwa ajira za TAMISEMI hususani katika kada yangu ya ualimu napata furaha, lakini mchakato unapoanza hadi kukamilika na matokeo yanapotolewa najikuta mtu mwenye huzuni kubwa sana kwa kukosa hiyo nafasi nimeomba ajira zaidi ya mara 4 tena kwa shauku...
  17. ChoiceVariable

    Simbachawene: Muda wowote kutoka sasa Serikali itatangaza nafasi za kazi kwenye utumishi wa umma

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, George Simbachawene amesema serikali imepanga kutangaza ajira mpya zaidi ya 47,000 ili kupunguza uhaba wa watumishi. Waziri Simbachawene ametoa taarita hiyo wakati akizungumuza na watumishi wa umma wilayani Chato...
  18. Roving Journalist

    TAMISEMI: Hatutapokea barua ya maombi ya uhamisho, watumishi waombe kwa njia ya Mtandao

    Baada ya Mdau wa JamiiForums.com kudai kuna changamoto ya Watumishi wanaoomba kuhama kushindwa kutekelezewa maombi yao pamoja na kutengenezewa mazingira ya rushwa, Ofisi ya Rais – TAMISEMI imesema imebainika kuwa wanaopewa fedha siyo Watumishi isipokuwa ni watu wengine wenye nia ovu katika...
  19. A

    DOKEZO TAMISEMI tufahamisheni, lazima Mtumishi alipie fedha ili apate uhamisho?

    Naandika andiko hili nikiwa ni mmoja wa watumishi wa Serikalini, na nimelazimika kuleta andiko hapa kwa kuwa nguvu kubwa inayotumiwa na wanaofanya mambo kwa mlango wa nyuma wana nguvu kuliko Watumishi wengi ambao ndio wanaokamuliwa hela bila kupenda. Inajulikana wazi kuwa Mtumishi anapokuwa na...
  20. Private investigator

    TAMISEMI na sarakasi za uhamisho wa Watumishi. Chaka jipya la kuwaibia Watumishi

    Baada ya sarakasi za kuahidi kuwa watatoa uhamisho mara 4 kwa mwaka, sasa wamekuja na ESS wakati watumishi wamepoteza nauli na usumbufu mwingi ili kukamitisha paper work ambazo tayari TAMISEMI wanazo. Kinachofanyika ni wizi na rushwa maana watu wanaotoa rushwa wanahama na vibali vinatoka. Huu...
Back
Top Bottom