Selection za mwaka huu sijui wamezingatia nini, unakuta mtoto alijichagulia masomo yake ya Arts mara anapelekwa Science, na aliyechagua masomo ya science.
Mdogo wangu hana raha hapa alichagua masomo ya Arts ila amepelekwa PGM Songea Boys.
Mods please msiunganishe Uzi wangu 😭 , huu Uzi unajitegemea
Kwa niaba ya Graduators wote wa Degree za ualimu kuanzia 2017, 2018, 2019, tunakuomba Mheshimiwa Rais Dr. Samia na mamlaka zote zilizopo chini yako zinazo-deal na ajira za walimu, ikikupendeza tunaomba utumalize wote tuingie kwenye ajira.
Maana uzee unagonga hodi na sisi hatujaonja keki ya...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mhe. Mohamed Mchengerwa (Mtu Kazi) asubuhi hii ya leo Alhamisi Mei 30, 2024 atakuwa na Mkutano na Vyombo vya Habari katika Ukumbi wa Video Conference katika Jengo la Sokoine- TAMISEMI Dodoma. Mkutano utaanza saa 5...
Ni moja ya mawaziri wako smart sana kichwani kuanzia decision mpaka Social life.
Kwa muda mrefu nimemfuatilia huyu bwana kazi zake ama kwa hakika namuona mbali sana.
TAMISEMI imekuwa bora sana chini ya huyu bwana.
Weka like kama unamkubali.
TAMISEMI ndio imebeba mfumo mzima wa uendeshaji wa nchi kuanzia ngazi ya nyumba kumi mpaka ofisini kwa Rais.
Madudu yanayoibuliwa na viongozi mbali mbali katika ziara mfano za mkuu wa mkoa wa Arusha Paul Makonda nyingi kati ya hizo ni zinahusu wafanyakazi kunyanyaswa kazini...
Serikali iingilie manyanyaso haya Wilaya ya Uyui.
1. Wilaya ambayo watumishi wake hawajalipwa pesa zao za likizo. Ikumbukwe likizo hiyo watumishi hizo hiyo walioomba tangu mwezi wa 12. Imekuwa ni mizunguko mwanzo mwisho na mpaka sasa pesa hawajalipwa, imefikia hatua ya matisho kutoka kwa...
Hapo Mimi huwa sielewi kibali tayari, nini huwa kinakwamisha au bajeti na mchakato kuchambua maombi utachukua mda Gani na hao watumishi wapya mfano Walimu wataripoti lini au mwezi wa 9? Au Kuna nn kama Mhe. Rais ametoa kibali?
Hili ni andiko langu kwa wapenda soka nchini.
Bila shaka mtakubaliana nami, kwamba, tangu kuanzishwa kwa UMITASHMITA na UMISETA, kumekuwa na malalamiko mengi kwa walimu na wadau wengine kuwa, UMITASHMITA NA UMISETA hazijatusaidia sana kwenye sekta ya michezo hususani mpira wa miguu, hii...
Utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa banda la kupokelea samaki katika soko la kimataifa la samaki lilipo eneo la Katambe Magarini lililojengwa kwa fedha za mfuko wa ndani Halmashauri kiasi cha Tsh. Mil 50 lakamilika kwa 100%. OR TAMISEMI
Wadau wana jamiiforum kwa mwenye ufahamu wa huu mfumo wa uhamisho wa ess, Kuna mwalimu nabadilishana nae kutoka wilaya x ila kwangu mimi status inasoma tayari iko Tamisemi ila mwenzangu bado inasoma kwa supervisor na mkuu wak akiangalia halioni hilo ombi.
Sasa tunafanyaje hapo ili mkuu wake...
MHE. Edward Ole Lekaita Akichangia Bajeti ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Ofisi ya Rais TAMISEMI ya Tsh. Trilioni 10.125 Kwa Mwaka wa Fedha 2024/2025
"Namshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa heshima kubwa aliyotupa majimbo kupitia miradi ya maendeleo. Jimbo la Kiteto tumepata shule mpya...
Akuzungumza Bungeni, Mbunge wa Jimbo la Iramba Mashariki, Francis Mtinga amesema Utaratibu wa Utumishi kuajiri Watumishi Kada ya Mtendaji wa Kata umesababisha ufanisi umekuwa mdogo
Ameshauri badala ya Watumishi wa Kada za Utendaji wa Kata kupangiwa kazi na Utumishi, ajira hizo zirejeshwe...
MHE. Martha Mariki Akichangia Bajeti ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Ofisi ya Rais TAMISEMI ya Tsh. Trilioni 10.125 Kwa Mwaka wa Fedha 2024/2025
"Namshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa jinsi anavyofanya kazi kubwa katika Taifa letu la Tanzania na katika Mkoa wa Katavi kwa kuleta fedha...
Habari ya TAMISEMI inasema
"Wakuu wa Wilaya wanajukumu kubwa la kusimamia utekelezaji wa miradi ya maendeleo katika maeneo yao ikizingatiwa kuna fedha nyingi zimepelekwa kwenye Mamlaka za Serikali za Mitaa kwa ajili ya ujenzi wa miundombinu ya Elimu, Afya na Miundombinu.
Pia Wakuu wa Wilaya...
Mbunge wa Jimbo la Vunjo Dkt. Charles Stephen Kimei amekuwa miongoni mwa wabunge waliochangia katika mjadala wa bajeti ya wizara ya Ofisi ya Rais TAMISEMI ambapo ameeleza mambo kadhaa ikiwemo:-
Dkt. Kimei ameishukuru serikali na kumpongeza kwa wingi wa miradi katika jimbo la vunjo na...
Wizara ya Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), imeliomba Bunge likubali kuidhinisha Sh10.1 trilioni ambazo ni makadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka wa fedha 2024/25 kwa wizara hiyo.
Fedha hizo ni ongezeko la Sh981 bilioni ikilinganishwa na fedha zilizoombwa...
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mohamed Mchengerwa kesho Jumanne Aprili 16, 2024 atawasilisha Hotuba ya Bajeti ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara hiyo kwa mwaka wa Fedha 2024/25.
Hii ni Wizara ya Wananchi, basi kesho Watanzania wote...
Mfumo umefunguka vizuri. Ninaingiza taarifa vizuri. Kwa nini sehemu ya kuingiza namba ya NIDA nikibofya inazunguuka muda mrefu haiendeleei?
Msaada wanaujua hili suala.
Tumeshuhudia mapinduzi makubwa ya Huduma za Afya kwa Hospitali za Rufaa za Mikoa baada tu ya kuhamishiwa chini ya usimamizi wa Wizara ya Afya.
Sasa ili kuleta tija ya huduma Bora za Afya kwenye Hospitali za Wilaya nashauri Hospitali za Wilaya pia Zisimamiwe na Wizara ya Afya.
Hata baadhi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.