Waziri wa TAMISEMI, Mohamed Mchengerwa jana alikuwepo katika Viwanja vya Mnazi Mmoja Jijiji Dar es Salam wakati akizindua sare maalum (uniform) na mfumo wa kidijitali (kanzidata) wa Madereva bodaboda na Bajaji wa Jiji la Dar es salaam.
Sare hizi zina picha ya Rais Samia kama zinavyooneka...
Dar es Salaam. Tarehe 29 Juni 2024: Katibu Mkuu wa Ofisi ya Rais – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Adolf Ndunguru ameipongeza Taasisi ya CRDB Foundation kwa jitihada zake za kuwafungulia fursa vijana na wanawake na kuzitaka taasisi nyingine kuiga mfano huo ili kuongeza ujumuishi...
Baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com kulalamika kuwa kuna utaratibu mbovu unaendeshwa na watu wanaohusika kukusanya madeni ya maegesho ya magari, mamlaka zimetolea ufafanuzi malalamiko hayo.
Mdau huyo alidai wahusika wanatega njiani, wanasimamisha gari na kumfuata Dereva wakiwa wengi katika...
Hivi karibuni TAMISEMI wametoa chaguzi za kidato cha tano, na za Vyuo vya Elimu ya Ufundi.
Kwa upande wa kidato cha tano, tarehe wametoa mapema, sijajua upande wa joining instruction, ila upande wa walio pangiwa Vyuo vya Elimu ya Ufundi, ni mtihani.
Waziri wa TAMISEMI aliyasema haya wakati...
WAZIRI MCHENGERWA: HATUTASITA KUCHUKUA HATUA KWA KIONGOZI ANAYEWANYANYASA WANANCHI
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais - TAMISEMI, Mhe. Mohamed Mchengerwa amesema Ofisi ya Rais TAMISEMI haitasita kuchukua hatua kwa kiongozi yeyote anayewanyanyasa wananchi kupitia ukusanyaji wa ushuru wa mazao kwani...
TAMISEMI imekua na mtindo wa fake promise kuhusu ajira kila uchwao na hakuna kutekeleza yani hakuna ajira.
au wakiajiri basi wataajiri idadi ndogo kuliko waliosema.
mwaka huu walisema wataajiri lakini hola wanacheza na akili za wasomi kirahisi tu haLafu watu wasomi wamelala.
kwa sababu ya...
Jamani nauliza tu Kwa mwenye fununu kuhusu ajira *note Kwa motivation speakers na wenye akili nyingi jibuni swali msianze mambo ya mara ujiajiri mara acha uvivu
Mabadiriko yanatakiwa kufanyika katika utendaji wa Takukuru na CAG ili kuzuia ubadhirifu na ufisadi katika miradi na fedha za uma zinazotolewa na serikali. Kama sheria ya 2007 inayoipa takukuru mamlaka ya kuzuia rushwa, ufisadi, ubadhirifu na matumizi mabaya ya fedha ya serikali.
Awali ni...
Wanataka uchaguzi huo usimamiwe na Tume ya Uchaguzi.
Taarifa ya Katibu Mkuu wa Chama hicho John Mnyika hii hapa .
======
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimependekeza kuwa uchaguzi wa Serikali za Mitaa usogezwe mbele ili upatikane muda wa kutosha wa kufanya maandalizi ya kuwezesha...
Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Dkt. Festo Dugange amesema uchaguzi wa serikali za mitaa utazingatia ‘R-4’ za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ili kila chama kipate nafasi sawa.
“Uchaguzi wa serikali za mitaa...
Nimelia sana, nilipoiona hii taarifa.
---
Kuna upotoshaji umeenea kwamba Tume ya Taifa ya Uchaguzi ndiyo ina wajibu wa kuendesha Uchaguzi wa Serikali za Mitaa.
Ukisoma Katiba ya Jamhuri ya Muungano ya Tanzania ibara ya Tano Ibara ya Tano, ibara ndogo ya tatu D, inasema, Bunge litatunga...
Habari wakuu, kama title inavojieleza....tunaelekea mwaka mpya wa kiserikali(kibajeti)
Hofu yangu kuu ni kua tamisemi hawajafungua ajira za walimu na watu wa afya hadi mda huu naandika uzi
swali la kujiuliza
a) Tuna sufficient za hao watu katika hizo sehemu nyeti kabisa katika maendeleo ya...
Serikali imenuia kupunguza mzigo wa gharama za michango kwa wazazi wa wanafunzi wanaojiunga na masomo ya kidato cha tano. Serikali imeweka ukomo wa michango kuwa Sh80,000 kwa shule za bweni na Sh50,000 kwa shule za kutwa. Hatua hii ni sehemu ya utekelezaji wa sera ya elimu na mafunzo ya mwaka...
TAMISEMI inacheza na maisha ya watumishi wa umma , kwamba hawato pata stahiki zao za kupanda madaraja kwa kisingizio cha PEPMIS mfumo ambao unahitaji mda kuuelewa na unahitaji vitendea kazi ni kuwafanyia ukatili mkubwa watumishi
Kwa taarifa zilizopo ni kwamba mfumo huu kwenye simu na vishkambi...
Watumishi waliohama kada mbalimbali wanakutana na usumbufu hasa katika mfumo wa ESS katika kupangilia malengo ya utekelezaji na hivyo kuwa kikwazo katika utendaji kazi wao wa kila siku.
Kwa mujibu wa taratibu za sasa wenye jukumu hili la kuhamisha taarifa za watumishi na mishahara ni...
Anonymous
Thread
malengo ya utekelezaji
mfumo wa ess
tamisemi
uhamisho watumishi wa umma
Mtumishi mwenye Mkataba namba Na. SMC/CW/PF.113/3 amefika Ofisini kwetu na ameomba tupaze sauti kwa niaba yake. Hii hapa historia fupi ya malalamiko yake.
Wakati wa zoezi la uhakiki wa Watumishi wa Umma 2016/2017 mwajiri wake Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Sumbawanga alizuia...
Habari ndg zangu, kuna kijana mmoja alikuwa anaishi na mama yake Jijini Dar salaam,baba yake alifariki muda mrefu,mwaka jana kabla ya kufanya mitihani ya kidato cha nne mama yake nae alifariki, kijana huyo Mungu amemsaidia amefaulu na amepangiwa Temeke sekondari, kwa bahati mbaya shule ile ni ya...
Kumekuwa na malalamiko ya wanafunzi na Wazazi wengi kupangiwa Tahasusi (Combinations) ambazo hawajazichagua hata kama wana vigezo vya kusoma tahasusi walizochagua.
Soma:
- KERO - Serikali mliangalie hili, inakuwaje mtu anachaguliwa kozi ambayo hajaomba?
- Serikali kuweni makini; inakuaje mtoto...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.