Leo tarehe 01/07/2023, nilienda kutembelea shule ya sekondari yenye kidato cha I-vi Nasibugani high school , shule hii ipo tarafa ya Kisiju, kata ya Msonga halmashauri ya wilaya ya Mkuranga mkoani Pwani, ipo km 48 toka halmashauri ya wilaya ya Mkuranga, kijana wangu amechaguliwa kusoma tahasusi...