tamisemi

  1. Madiwani Meatu wamuangukia Waziri TAMISEMI, wataka ukaguzi maalumu wa matumizi ya fedha za Halmashauri, wahofia uwepo ufujaji wa fedha za wananchi

    HALMASHAURI ya Wilaya ya Meatu kama ilivyo maeneo mengine ya Serikali za Mitaa inasimamiwa na kuongozwa kwa kuzingatia Sheria mbalimbali za nchi ikiwemo Sheria ya Serikali za Mitaa ya mwaka 1982 na Kanuni za Kudumu za Halmashauri ya Wilaya ya Meatu za Mwaka 2014 ambazo zinaelekeza mambo...
  2. Wabadhirifu 3 tu kati ya 585 walifukuzwa kazi kwa ripoti ya CAG, 384 wakihamishwa vituo

    Waziri wa Nchi katika Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Angellah Kairuki amesema watumishi 116 wamechukuliwa hatua kutokana na ubadhirifu fedha za umma. Kairuki ameyasema hayo Jumamosi Novemba 5,2022 wakati akichangia taarifa za Kamati za Kudumu za Bunge za Hesabu...
  3. J

    DOKEZO TAMISEMI ingilieni kati sakata la walimu kutapeliwa na Afisa Elimu wao huko Katavi

    Walimu waliofanya kazi ya kusahihisha Mtihani wa Kidato cha Nne Kanda ya Nyanda za Juu mwezi Julai mwaka 2022 hawajalipwa pesa yao hadi leo na wamekuwa wakipewa ahadi hewa na bosi wao ambaye ni Afisa Elimu wa Mkoa wa Katavi. TAMISEMI wasaidieni walimu walipwe haki yao maana inaonekana kama bosi...
  4. DOKEZO Nyagabona ni Afisa Elimu Taaluma (W) mla rushwa wilayani Magu

    Ingekuwa ni amri yangu; huyu Afisa Elimu Taaluma (W) Magu angeondolewa mara moja kwa sababu ni mla rushwa aliyekithiri na ayependelea waalimu wa kabila lake (Wajita). Amekula fedha kwa walimu wengi sana aliowaahidi kuwapa ualimu mkuu (hao nao wanastahili kushughulikiwa kwa sababu kutoa rushwa...
  5. Kwako Waziri wa TAMISEMI, Angellah Kairuki

    Ndugu mheshimiwa hongera kwa kuteuliwa kuwa waziri wa TAMISEMI. Umepata cheo hiki wakati ambao vijana walioajiriwa mwezi wa saba mwaka huu wa 2022 wakiwa wanalalamika kila upande wa hili taifa kuwa wamedhulumiwa hela zao za kujikimu. Zipo wilaya zimewapunja waajiriwa kiasi Kikubwa kweli...
  6. C

    Ushauri kwa Serikali, TAMISEMI na Wizara ya Elimu

    Kwanza naishukuru sana serikali na wizara ya elimu kwa kujitahidi kuhakikisha kuwa kila mtanzania anapata nafasi ya kufikia walau elimu ya sekondari bila malipo. Nikiwa nimefundisha shule za umma kwa miaka 15+ na kujua na kuona changamoto za mashuleni nimeona niandike kile ambacho katika...
  7. DOKEZO Waziri wa TAMISEMI, miezi 3 sasa baadhi ya walioajiriwa ajira mpya hawajapata mishahara

    Baadhi ya walimu walioajiriwa mwezi Julai 2022 katika halmashauri mbalimbali nchini hawajapata mishahara yao, wengine hata hela ya kujikimu hawajapata. Maisha ni magumu kila mtu anatambua hilo. Waziri angalia Hizi Halimashauri, uwajibikaji hakuna. Mishahara ya mwezi wa 9 imelipwa ila baadhi ya...
  8. DOKEZO TAMISEMI na upendeleo uhamisho wa walimu Karagwe

    Naam! Nadhani inajulikana kuwa Innocent Bashungwa ni Waziri wa TAMISEMI. TAMISEMI iliweka utaratibu wa uhamisho wa watumishi wa umma, mfano walimu wanapotaka kuhama vituo vyao vya kazi, sharti wapate walimu wenzao wa kubadilishana nao. Sasa ni hivi, inakuwaje mmeruhusu watumishi hasa walimu...
  9. B

    Kwenu Wizara ya Elimu na Tamisemi

    Lengo la Serikali ni kusaidia wananchi wake kwa makundi mbalimbali na serikali yenyewe ndo nyinyi katika idara za Elimu. Naomba mlitupie macho swala la uhamisho wa mwanafunzi wa sekondari na yeye aweze kuwa huru kwenye kuhama shule kutoka shule ya private na kuingia shule ya serikalini. Kama...
  10. Walimu wanataka Katiba mpya kama sheria mama ili iisimamie maslahi yao na sio blah blah za Waziri wa TAMISEMI

    Waziri wa TAMISEMI ndugu Inocent Bashungwa, tumezisikia blah blah zako kuhusu walimu na matatizo yao ambayo ni sugu tangu Uhuru. Walimu ndio waasisi wa Taifa hili lakini serikali ya CCM ndio imewanyonga sana na kuifanya jamii iwatukane na kuwaaibisha hadi imefikia hatua hakuna mtoto anaetamani...
  11. Bashungwa: Tozo zimejenga vituo vya afya 234

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Innocent Bashungwa amesema Serikali imejenga vituo vya afya 234 kutokana na fedha za tozo ya miamala ya simu ndani ya mwaka mmoja tangu kuanzishwa kwake. Bashungwa ameyasema hayo leo Septemba Mosi wakati...
  12. Waziri Bashungwa, kuhusu Stendi Kuu ya Dar es Salaam, Tusaidie Watanzania

    Mhe. Innocent Bashungwa (MB) Waziri wa Nchi OR - TAMISEMI, Hongera kwa kazi nzuri unayofanya ya kuendelea kumsaidia Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, Mhe. Waziri abiria waliolalamika au kukataa kushuka pale stendi ya mkoa wa Dar Es Salaam wana hoja ya msingi...
  13. TAMISEMI kuweni na utu japo kidogo

    Leo nikiwa zangu Maeneo ya Mtaa wa Isevya mjini Tabora nimekutana na mlinzi mmoja wa shule ya sekondari ya serikali akaniambia ya kwake ya moyoni kuwa ana miezi miwili sasa hajalipwa yaani wa Saba na wa nane. Akasema mhasibu wa shule Kila akimpigia anajibiwa mfumo haujafunguliwa wa kuwawezesha...
  14. N

    Mabilioni yanaibiwa TAMISEMI, hazina, magari 2022 models bado mnadai tozo zina faida kwa raia

    Ukweli ni kwamba pamoja na kwamba mnatawala maiti na ma dunderheads makondoo grade A duniani ila mna roho mbaya nyie ni SADDISTS kama wale kwenye movies ambao huwa wanamuuua mtu kifo cha taratibu na victim anapopiga kelele kwa maumivu basi huwa ni furaha kubwa sana ya mtesaji Kama vile paka...
  15. E

    SoC02 Njia/Mbinu za molekuli ya baiolojia ni kiboko ya majanga ya Dunia mfano Ugonjwa wa virusi vya korona. Ni muhimu katika Sekta ya Afya nchini

    Afya ni inajumuisha utimamu wa kiakili, kimwili na ustawi wa jamii, na ni nyenzo muhimu kuhakikisha uwepo wa nguvu kazi itakayosaidia katika maendeleo au mapinduzi ta kiuchumi. Nchini Tanzania sekta ya Afya inakumbwa na changamoto mbalimbali ikiwemo ukosefu wa vifaa tiba na wataalamu katika...
  16. N

    Majizi yang’ara TAMISEMI ila tozo zitafidia

    Naam It' another day another dollar kwa wapigaji wa jamhuri ya Tozonia, mambo ni bull bull sana,lete maneno dj kama kuna zilizopigwa tutafidia na za tozo bwana weeee, tozo oyeee Gazeti la juni 2022 miezi miwili iliyopita wadanganyika washasahau kila kitu kimepita its business as usual majizi...
  17. F

    TAMISEMI toeni ufafanuzi wa kuhama ambao huwa unakataliwa na Halmashauri

    Kuna vitu sivielewi yaaani halmashauri ya wilaya inaweza kukaidi maelekezo yanayotolewa na tamisemi. Yaani kibali cha kuhama tamisemi kinatoka wilayani wanakwambia uhami mpk ubadilishane? Sijajua chain of command inakuwaje?! Nisaidiiane wana jamvi
  18. S

    DOKEZO TAMISEMI imulike wilaya ya Songwe

    Tamisemi iimulike wilaya Songwe kwani wilaya hii inajiongoza kama taasisi yenye kujitegemea. (independet Ogani).Imetuhumiwa katika mambo mengi ya ovyo ovyo. Haya yafuatayo: 1. Haifuati miongozo kutoka serikalini wala ya wizara ambayo iko chini yake. Imeweka miongozo yake na sheria zake...
  19. T

    Ombi: Rais Samia, mteue Dkt. Bashiru Kakurwa kuwa Waziri wa TAMISEMI au Nishati

    Kwako mkuu wa nchi yetu Mhe.Samia Suluhu Hassan kijana wako nina ombi mahususi si kwa ajili yangu ila kwa maslahi mapana ya taifa letu, kwa heshima na taadhima naomba nichukue muda wako kulifikisha mbele yako. Ombi langu ni moja tu nalo ni kumteua Dkt.Bashiru kuwa waziri wako wa TAMISEMI au...
  20. Sasa ni rasmi, TAMISEMI imemshinda Bashungwa, imebidi Waziri Mkuu aingilie kati, ndio wizara yenye kelele za uozo

    Bashungwa, Waziri kijana, ambaye ilitarajiwa "damu iwe inachemka" awe anapanda na kushuka,anakaba huku na kule, ameonekana Mzee kuliko Waziri Mkuu. Waziri Mkuu anaenda Arusha, anaenda Singida, anajua mambo ambayo alitakiwa Bashungwa awe ameshayajua na kuchukua hatua....hamna kitu. Alikuwa na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…