Tembea uone mambo usingoje kuambiwa.
Hii nchi wengi wakipenda kusema ni ngumu, kwa kweli ni ngumu sana. Ama kwa hakika huenda hata sheria zinazotumika kunakoitwa mjini ni tofauti mno na za huko shamba.
Nimeyaona ushirombo ambako labda Waziri Bashungwa hata hajui wizara yake kuwa imeshikwa...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi na uhamisho kwa Naibu Makatibu Wakuu kama ifuatavyo:
Amemteua Dkt. Charles Enock Msonde kuwa Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa – TAMISEMI (Elimu). Bwana Msonde amechukua nafasi...
Mawazo aliyoyatoa mbunge wa ubungo kilita mkumbo kuhusu kufuta cheo cha afisa elimu kata ni mazuri na yana tija kwani shughuli wanazofanya hao watu zinaweza kufanywa na mwalimu mkuu, au mkuu wa shule na tena serikali ikaokoa kiasi cha pesa kwani wanalipwa posho ya madaraka laki mbili na nusu...
Wakuu kulingana na Madudu yanayoendelea Tamisemi, Hii wizara ya TAMISEMI ilitakiwa kuwa na mawaziri WATATU.
.
Hoja yangu ni kwamba TAMISEMI TECHNICALLY INAUNGANISHA WIZARA ZOTE.
.
SO Inahitajika mtu mwenye CAPACITY KUBWA SANA YA KUFANYA COORDINATIONS YA VITU VYOTE.
.
Otherwise MAWAZIRI WATATU...
Mhe. Edward Lowasa alipokuwa Waziri Mkuu alikuwa msimamizi wa TAMISEMI na alitumia vyema nafasi hiyo kujijenga kisiasa na kuwa na network Kila Kona. Mzee Pinda na Mawaziri wengine wakuu waliowahi kuhudumu nchini awakufanya kama Mzee Lowasa. Lowassa alifanya vile Kwa sababu alikuwa amejipanga...
Nitoe ushauri kwa upande wa ajira hizi za ualimu na wataalamu wa afya
Mpaka sasa kada ya ualimu nafasi ni 9800 na waombaji wa hiyo nafasi ni laki moja na elfu kumi na tisa (119000). Roughly ni kwamba nafasi moja inagombaniwa na watu 12, pia upande wa afya naona hali sio mbaya saana kama kwenye...
Kwenu watendaji wa Tamisemi.
Kuna vijana wengi wameomba ajira za ualimu ambao sio walimu na mfumo umewakubali kabsa bila shida
Sasa kwa ushauri tu muanze na mchujo wa vyeti vya chuo kabla ya kitu kingine mtanishukulu badae
Kuna jamaa tuko naye home kashadharaulika sana mtaani yeye ni Clinical officer kamaliza 2017 ana miaka 30 na kaambatanisha barua ya kujitolea toka kwa Daktar mkuu wa wilaya kakitolea takriban miaka mi3 lakn safar hii ndo Dr mkuu wa wilaya akaamua kumpa barua sababu kasota sana pale hospital bila...
Wanabodi salaam!
Serikali kupitia Tamisemi wametangaza ajira tar 20 mwezi huu kwa kada ya afya na elimu.Tunaishukuru serikali kwa hizi ajira kwani kimsingi hali ya ukosefu wa ajira imekuwa janga nchini.
Tatizo lililopo ni mfumo(system) kwenye uombaji hizi ajira unamatatizo yanayopelekea watu...
Katika vitu ambavyo Katibu Mkuu wa TAMISEMI anakosea kulifanya suala la uhamisho wa wafanyakazi kwa matakwa yake amekuwa hatoi uhamisho majina ya wanaohama kwa wakati.
Mfano sasa hivi kigezo cha mtumishi kuhama ni kwa kubadilishana lakini hata hivyo amekuwa akitoa majina ya uhamisho...
Kuna yoyote humu amefanikiwa ku apply nafasi za ualimu kupitia huu mfumo wao ?
Kama yupo naomba anipe mbinu ni muda gani system inakua imetulia mana me kila nikijaribu naona mapichapicha tu
Nilipata changamoto ya kukataliwa Registration namba yangu tangu juzi lakini nimejaribu leo ikanletea neno kua Registration number verification failed nilipo bonyeza option ya ok nikarugusiwa kuapload transcript pamoja na cheti na wakanijazia 100. Wasiwasi wangu ni neno Registration number...
CHANGAMOTO KATIKA SYSTEM YA AJIRA ZA TAMISEMI
Mwenge catholic university vimeingizwa vyuo viwili hali ya kuwa kipo kimoja tu
hivyo vyuo viwili vinavyoyumia jina moja la mwenge catholic university kimoja kina course nne (4) ambazo ni
(1) ordinary diploma in holder certificate of secondary...
CHANGAMOTO KATIKA SYSTEM YA AJIRA ZA TAMISEMI
Mwenge catholic university vimeingizwa vyuo viwili hali ya kuwa kipo kimoja tu
hivyo vyuo viwili vinavyoyumia jina moja la mwenge catholic university kimoja kina course nne (4) ambazo ni
(1) ordinary diploma in holder certificate of secondary...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.