tamisemi

  1. M

    Tamisemi kupewa Bashungwa , hii imekaaje?!

    hii wizara inaitaji MTU mzoefu na mfuatiliaji kwelikweli..kumpa ndugu Bashungwa ni kama kumtega kwa Bomu dizaini ya lile la Hiroshima na Nagasaki... MTU aliyekuwa wizara ya burudani umuweke Tamisemi.. anyway ngoja nijiandae kwenda kuuza supu ya makongoro muda umefika.!
  2. beth

    Serikali: Wanaoficha Watoto kuanza Shule wachukuliwe hatua

    Waziri wa TAMISEMI, Ummy Mwalimu ameagiza Mikoa kutosita kuwachukulia hatua Wazazi/Walezi ambao wanaficha Watoto walio na umri wa kuanza Shule Akizungumza leo Januari 06, 2022 amesema hadi kufikia Desemba 31, 2021 Wanafunzi 488,780 wa Darasa la Awali wameandikishwa katika Shule za Serikali, na...
  3. A

    Mh. Rais unahujumiwa na Ummy Mwalimu kupitia TAMISEMI. Sio mtenda haki

    Kupitia ukurasa wa ofisi ya Rais TAMISEMI,imeripotiwa kwamba waziri wa TAMISEMI amatoa maelekezo kwa katibu tawala mkoa wa Tabora kumshusha cheo mwalimu mkuu wa shule ya Makazi iliyopo wilaya ya Uyui mkoani Tabora. Ummy amedai kwamba mwalimu huyo ana hana maadili na sio muadilifu. Ninaviarifu...
  4. polokwane

    Waziri TAMISEMI tunaharibu elimu siasa zisiharibu utaratibu uniform zina sababu ya kuwepo tikiruhusu hilo mabint wataishia kwenye magheto

    tusipeleke mambo kienyeji na kuharibu mifumo iliyo kuwepo itatugharibu baadae kuirudisha pale itakapo bainika inaharibu utaratibu waziri TAMISEMI nikuombe sana mifumo ya shule iliyopo ilisha tengenezwa, siasa zisifanye tuanze kuivuruga tena sare za shule zina umuhimu sana kwa usalama wa...
  5. S

    Wizara za TAMISEMI na Elimu liangalieni hili, watu wananyanyaswa

    MHESHIMIWA UMMY MWALIMU: UNAJUA KUWA WITNESS MAKOTI ALIYEPIGWA NA MWALIMU MKUU NA KUVUNJWA JINO SASA AMESIMAMISHWA KAZI KULE MOROGORO? Mheshimiwa Waziri Ummy Mwalimu! Amani iwe kwako! Miezi michache iliyopita, Ofisi ya Haki ya Askofu Mwamakula, ilifichua taarifa za kupigwa kwa Witness...
  6. Njaa kali30

    Tumelisikia Tangazo la Waziri wa TAMISEMI kuhusu michango ya wananchi kwa ujenzi wa madarasa na zahanati

    Habari wadau, Nimemsikia waziri wa TAMISEMI akitoa angalizo kuhusu michango ya wananchi kwa ujenzi wa madarasa na zahanati. Akisitiza wananchi wasitozwe pesa katika ujenzi wa zahanati na madarasa. Ni kweli ni wazo zuri lakini litatukosesha ulaji sisi watendaji wako wa chini. Kwani kuna...
  7. polokwane

    TAMISEMI: Haiwezekani kuandaa mfumo kuhama wa tumishi wakubadilishana vituo wakafanya online transfer

    Napendekeza TAMISEMI wangeanzisha mfumo wa kubadilishana vituo vya kazi yaan kuwe na mfumo ambao unawatambua watumish wote na vituo vyao vya kazi kwa kila idara halafu watumushi waweze kuutumia Mfano:mfumo unakuwa na transfer request hivyo mtumishi anaye taka kuhama ana request wilaya au kata...
  8. K

    Tamisemi kuweni makini na yanayoendelea kwenye mgawanyo fedha za ujenzi za kujengea Hospitali na Shule

    Habari wanajukwaaa. Mimi ni mdau wa elimu na pia wa maendeleo ya wananchi kwa nimekuwa mfatiliaji mzuri wa maswala ya ujenzi hasa kipindi hiki ambacho tamisemi kupitia Rais wetu Samia Suluhu wamezamilia wanafunzi wote watakaoanza kidato cha kwanza mwakani waripoti wote.Lakini nimegundua...
  9. M

    Ushauri: Rais avunje wizara za TAMISEMI na Utumishi ili kupunguza matumizi

    Wadau Salam kwenu Moja kwa moja kwenye mada Katika uchunguzi wangu nimebaini kuwa kuna wizara kadhaa ambazo lait kama leo hii Mh. Rais Samia angeniomba kumshauri kuzifuta kwa lengo la kupunguza ukubwa wa serikali ili kubana matumizi ya serikali yasiyokuwa na ulazima basi ningemshauri kuzifuta...
  10. M

    CWT, TAMISEMI, Hazina na Utumishi husikeni hapa

    Niende moja Kwa moja kwenye hoja. Mh. Rais wa JMT Madame SSH amakuwa akitoa maelekezo Kwa wizara na idara za serikali ya jinsi ya kutatua kero zinazowakabili wafanyakazi wa Serikali. Moja ambalo alishalielekeza na kuliidhinishia fedha za malipo ni like kundi la wafanyakazi waliopanda madaraja...
  11. polokwane

    TAMISEMI hili suala la vifaa vya ujenzi wa madarasa kununuliwa na Halmashauri wakati pesa zimeingizwa kwenye account za shule tupieni jicho

    Kuna Halmashauri nyingi hapa nchini zimetoa maelekezo kwamba vifaa vya ujenzi watanunua wao wakati huo pesa imeingizwa kwenye accounts za shule, TAMISEMI kama mmetoa maelekezo haya basi wekeni utaratibu mzuri kabisa ili wasije wakazidisha bei ya vifaa maana halmashaur zetu huko kuna shida sana...
  12. Njaa kali30

    Afisa Elimu Mkoa wa Songwe na Afisa Elimu Wilaya waache kujifanya Miungu watu

    Habari wakuu za usiku, Kama kawaida naomba nielezee kwa masikitiko makubwa jinsi huyu Afisa Elimu Mkoa wa Songwe anavyojifanya Mungu mtu akishirikiana na Afisa Elimu Wilaya ndugu Bhange. Kwa bahati nzuri nilikuwa kwenye semina ya usimamizi wa mitihani, nikamsikia akimzungumzia mwalimu mmoja...
  13. Greg50

    Ajira Mpya Serikalini ( TAMISEMI) watu 233

    Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Ofisi ya Rais- Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) anakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi mia mbili thelathini na tatu (233) kama zilivyoainishwa katika tangazo...
  14. covid 19

    Nahitaji kuonana au kuwasiliana na Waziri Ummy Mwalimu

    Ndugu wana-Jamiiforums wenzangu nahitaji kuonana au kuwasiliana tu na mhe. Ummy Mwalimu Waziri TAMISEMI naamini nikionana nae jambo letu kwenye kuinua elimu yetu tunaamini litakwenda hasa katika kipindi hiki cha utandawazi. Nimefanya jitihada nyingi ila nimeshindwa wakuu vizingiti ni vingi...
  15. beth

    Mitambo ya kufua oksijeni kusimikwa katika Halmashauri 5

    Waziri wa TAMISEMI, Ummy Mwalimu amesema Serikali itasimika mitambo mitano ya kufua Oksijeni katika Halmashauri za Karatu, Mlele, Bunda, Masasi na Nyasa ambapo kila moja itapata Milioni 600 Akizungumza leo akiwa Dodoma ameeleza, "Wataalamu wameangalia maeneo yenye mlipuko wa magonjwa ya mara...
  16. M

    Uhamisho na TAMISEMI unatoka lini?

    Imezoeleka kila ikifika mwezi wa 10 mwanzoni majina yanatoka naona tamisemi mpo kimya au tumerudi enzi zile hakuna kuhama wala nini?! Ndoa yangu ipo matatani. Jamani toeni majina haraka. Naaachwa mie
  17. msovero

    TAMISEMI na wizara ya elimu igeni hili kutoka wizara ya afya

    Katika jitihada za kupunguza tatizo la upungufu wa watumishi wa afya, serikali kupitia wizara ya afya imezindua mpango maalum wa kuajiri kwa muda wahitimu wa kozi mbali mbali za afya ambao watakuwa wanafanya kazi kwa kujitolea katika hospitali na vituo vya kutolea huduma Ni mpango mzuri kwani...
  18. msovero

    Walimu kuajiriwa na TSC badala ya Wizara kunaenda kutengeneza rushwa, undugu na kujuana kwenye ajira. Rais litazame hili linaenda kukuharibia

    Waziri wa nchi, ofisi ya Rais-Tamisemi ameiagiza tume ya utumishi wa walimu 'TSC' kuandaa utaratibu wa kuanza kuajiri walimu kupitia halmashauri kwa niaba ya wizara ya ofisi ya Rais-Tamisemi. Japo utaratibu wa kuomba hizo ajira bado haujafahamika lakini nadhani maombi yatakuwa yanatumwa moja...
  19. U

    TAMISEMI: Tume ya Utumishi wa Walimu, fanyeni msawazo wa walimu katika Mamlaka za Serikali za Mitaa ili kuweka uwiano

    Waziri Ummy - Fanyeni msawazo wa waalimu nchini Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Ummy Mwalimu ameielekeza Tume ya Utumishi wa waalimu nchini kuhakikisha wanafanya msawazo wa waalinu katika Mamlaka za Serikali za Mitaa ili kuweka uwiano sawa wa waalimu...
  20. Hivi punde

    Kwanini TAMISEMI haitoi hela ya usimamizi wa miradi yake?

    Sote tunashuhudia mabilioni ya fedha za miradi ya TAMISEMI kwenye Halmashauri kadhaa hapa nchini. Ni hatua kubwa sana kwa maendeleo ya nchi. Tuna miradi ya shule, mabweni, vituo vya afya, Hospitali, nyumba za watumishi, majengo ya utawala n.k n.k Unakuta TAMISEMI Makao Makuu wanaleta fedha...
Back
Top Bottom