tamisemi

  1. P

    TAMISEMI angalieni Jiografia ya mgawanyo wa Wilaya na Halmashauri

    Katika hilo Mh N/Spika kuna shida kubwa sana TAMISEMI kuhusu matumizi mabaya ya fedha bila kuangalia changamoto. Mfano: Kuna tamko lilitolewa awamu iliyopita kuwa Halmashauri ziende kwenye maeneo yao ya kiutawala. Sasa utakuta wapo nje ya jiografia ya huduma na pia unaanza gharama za ujenzi wa...
  2. B

    Waziri wa Elimu na Waziri wa TAMISEMI liangalieni hili ni tatizo

    Baadhi ya shule za private wanawasumbua wazazi dakika za mwisho mwisho Mtoto anasoma kidato cha kwanza - cha tatu anapoingia kidato cha nne akipata div two au three anaitwa mzazi anaambiwa amuhamishe mtoto sababu inasemekana shule inataka division one tu ili iweze kuongoza kwenye matokeo ya...
  3. beth

    TAMISEMI: Watumishi wa Sekta ya Afya ni 41% ya mahitaji halisi

    Akiwa Bungeni Dodoma, Naibu Waziri wa TAMISEMI, Dkt. Festo Dugange amesema Sekta ya Afya ina upungufu wa Watumishi na hadi kufikia Mei mwaka 2021, Watumishi waliokuwepo ni 41% ya mahitaji halisi Ametaja baadhi ya sababu za upungufu kuwa ni kustaafu kazi, kufariki dunia na kuongezeka kwa idadi...
  4. Kijana ushe2

    TAMISEMI, pesa za fidia ya ada idara ya sekondari hazitoshi; elimu ya bajeti ya mwaka kwa kila shule inahitajika

    Wanajamvi habari za leo, Poleni kwa majukumu na mihangaiko ya kulipambania taifa letu pendwa la Tanzania. Mnaomba niende moja kwa moja kwenye lengo la kuandaa huu uzi kuhusu elimu katika sekondari. Naomba wizara zinazohusika ziweke mikakati imara ili waweze kuzidhibiti shule za serikali: Moja...
  5. beth

    TAMISEMI: Zipo Shule ambazo Wanafunzi hawajawahi kuwaona Walimu wa Physics na Hesabu

    Waziri Ummy Mwalimu amesema kuna Shule takriban 1,000 za Sekondari ambazo Wanafunzi hawajawahi kukutana na Mwalimu wa somo la Physics uso kwa uso. Akiwa Bungeni leo, pia amesema zipo Shule zipatazo 400 ambazo Wanafunzi wa Sekondari hawajawahi kuona Mwalimu wa Hesabu akiingia Darasani. Ametoa...
  6. BABA Dillish

    Nawejaze kuonana na Katibu Mkuu Ofisi ya Rais TAMISEMI?

    Wakuu naomba mrejeeTitle ya uzi Wangu huu mfupi sana. Binafsi nahitaji kuonana Na Katibu Mkuu Ofisi ya Rais TAMISEMI kwa muda muafaka na kwa uhakika zaidi juu ya ratiba zake za kikazi kabla sijafika . Naogopa usumbufu wa kufika Ofisini kwake na kupewa jibu la kutokuwepo kwake. Nia yangu ni...
  7. mcfm40

    Malalamiko kwa Shule Binafsi: Wizara ya Elimu na Tamisemi waliangalie na kulitolea muongozo

    Tunaomba serikali na hasa Wizara ya Elimu na ike ya Tamisemi waliangalie sana hili na kulitolea muongozo mapema. Malalamiko yenyewe ni kwamba kumekuwa na utaratibu kwa shule za binafsi hasa zile za English Medium kuzuia wanafunzi wa madarasa ya mitihani kwenda likizo hasa ya mwezi wa sita...
  8. Analogia Malenga

    TAMISEMI: Serikali inatoa elimu bila ada sio elimu bure

    Naibu Waziri wa Ofisi ya Rais – TAMISEMI, David Silinde amesema serikali inatoa elimu bila ada sio elimu bure hivyo wazazi washiriki katika kutoa michango mbalimbali kwa ajili ya maendeleo ya shule. Aidha Waziri wa Elimu, Joyce Ndalichako amesema waraka wa serikali namba 3 wa 2016 ulieleza...
  9. wankuru nyankuru

    TAMISEMI iwajibishwe kwa kuzua taharuki kuhusu suala la chaguzi za kidato cha tano

    Kutokana na taharuki kuzidi kuendelea hapa nchini kuhusiana na ile issue ya kidato cha tano ni vyema wizara husika ikawajibika kwa hilo. Vile vile ni vyema ikafumuliwa kabisa kama ilivyofanyika kwa NBS, Wizara ya Fedha. Lakini Waziri Ummy inabidi aache tabia ya kuzisemea ofisi za Ma-RC eti...
  10. Kibosho1

    Ilichofanya TAMISEMI ndio demokrasia ya kweli kwa sasa, Shukran Ummi Mwalimu na mama Samia

    Dah!! Haya mambo tumeyazoea kuona kwenye nchi kama Marekani, Uingereza n.k Kitendo alichofanya huyu dogo Josephat kama ungekuwa utawala wa mwendazake sasa ungekuta wazazi wanamtafuta huyu kijana. Kwanza angepotezwa kwa kuidhalilisha serikali bila kusikilizwa hoja zake,angepigwa na kuvunjwa...
  11. kunena

    TAMISEMI: Mwanafunzi Josephat John aliyevaa mabango hakuchaguliwa ECA na hakuwa na sifa za kuchaguliwa PCB

    Mwanafunzi Josephat John hakuchaguliwa ECA na hakuwa na sifa za kuchaguliwa PCB OR-TAMISEMI,DODOMA Mwanafunzi Josephat John aliyekuwa anasoma kidato cha nne shule ya Sekondari Kom iliyopo kwenye Manispaa ya Shinyanga alizua taharuki baada ya kujianika juani huku akiwa amevaa mabango yenye...
  12. C

    Waziri Ummy Mwalimu kuna Hujuma huku Tamisemi, Tusaidie

    Mh Waziri Ummy Mwalimu Yapata mwezi na nusu sasa mfumo wa makato ya mishahara ya watumishi wa manispaa ya Ilala na Temeke haifanyi kazi, kiasi kwamba watumishi walio katika hizo manispaa wanaotaka kuchukua mikopo wamekwama yapata mwezi na nusu sasa, tunaambiwa system ya RASSON imeharibika, hivi...
  13. R

    Elimu itolewe Tamisemi haraka, wizara imelemewa majukumu

    Nimekuwa naifuatilia Tamisemi na jinsi inavyofanya kazi, ni dhahili wizara hii imelemewa na majukumu. Haiwezekani Tamisemi ichuje ajira za walimu, afya, kilimo n. k wakati Kuna tume ya ajira. Hiyohiyo wizara ihusike na uhamisho wa watumishi, iratibu mitihani na ulipaji posho, ishughulikie...
  14. SN.BARRY

    TAMISEMI toeni vibali Halmashauri ziajiri walimu na manesi

    Huu ni ushauri wa bure. TAMISEMI shughulikieni matatizo ya msingi sio kujipa makazi mengi msiyoweza kuyamaliza. Toeni vibali Halmashauri ziajiri waalimu na watumishi wa afya kisha taarifa zao zitumwe huko kwenu/DODOMA. Halmashauri zina wasomi wa kila aina hivi kweli hawawezi kuajiri waalimu...
  15. beth

    Waziri Ummy: Kigezo kikubwa ambacho tutakitumia kuajiri walimu ni wale wanaojitolea. Alalamikia barua feki

    Waziri wa TAMISEMI, Ummy Mwalimu amesema yapo malalamiko kuwa baadhi ya Walimu wanaojitolea wanawasilisha barua feki zinazosema wanafanya hivyo wakati hawajitolei. Ametoa kauli hiyo leo Mei 25, 2021 Bungeni Dodoma wakati akimjibu Mbunge wa Longido Kiruswa aliyehoji ni kwanini Seikali isiajiri...
  16. K

    Waziri wa Tamisemi toeni vibali vya kuajiri kwa waliojitolea kwenye ajira za mikataba ndani ya Halmashauri

    Mh. Waziri wetu,tunaomba muliangalie hili kwa jicho la kipekee,Vijana wamekubali kulitumikia Taifa Lao kwa uzalendo wa hali ya juu.Vijana kila mwaka wanapata ajira za mikataba,hii inaonyesha Kuna uhaba wa wafanyakazi ndani ya Halmashauri zetu. Hivyo Kuna vijana wengi wanapewa ajira za mikataba...
  17. emmarki

    Registration number ya University of Iringa

    Katika kuomba kazi zilizotangazwa na Tamisemi kuna kipengele cha kujaza namba ya usajili wa chuo. Mhusika alisoma chuo cha Tumaini University-Iringa baadaye chuo kikajitegemea kikawa University of Iringa (Uol). Changamoto kwenye machaguo hakipo, naomba kama umepitia hiki chuo na umeomba kazi za...
  18. S

    TAMISEMI elezeni kwa uwazi hatua za kufuata ili kuwalalamikia Wakurugenzi

    Ninaomba kujua kwa uwazi hatua sahihi za kufuata pindi ninapotaka kufikisha malalamiko yangu dhidi ya Wakurugenzi na Wakuu wengine wa idara ambao wanafanya ofisi za umma kama kampuni zao. Waziri Ummy Mwalimu aliwasimamisha kazi Wakurugenzi baadhi kwa kauli kwamba wananchi walifikisha malalamiko...
  19. Boeing787-8

    Ni kweli application letter zinasomwaga TAMISEMI?

    Wakuu, hope mko poa. Nimekuta mjadala wa vijina walikuwa wanamponda dogo mmoja, eti anajikunja kuandika application latter kali uku, wakimuambia kuwa Tamisemi hawajiangaishagi kusoma application letter za waombaji wa ajira za ualimu. Last year waombaji walikuwa karibia zaidi ya 100,000 (zaidi...
  20. Course Coordinator

    TAMISEMI ongezeni category ya Ustawi wa jamii ,wengi wanalia maombi yao yanakwama.

    Kwenu TAMISEMI. Waombaji wa ajira wanahangaika kuwa mfumo wa kujisajili na ajira hasa upande wa Ustawi wa jamii unawakataa kwa sababu option iliyo ni ya Health (Bachelor degre ,diploma,advanced dimploma na certificate). Kwenye NTA level mmeeka level 7 pekee wakati kuna vyuo vinatoa NTA level 8...
Back
Top Bottom