Habari wakuu, naomba kwa anayeweza kujua hili tatizo anisaidie.
Nataka kufanya application ya hizi nafasi za ualimu zilizotangazwa, nakutana na changamoto moja, kila nikijaribu Ku log in naaambiwa unauthorized user, nikafili nakosea password.
Nikataka kubadili password ikashindikana, coz ili...
Ninawasalimu wanajukwaa wa JF
Wakati Mh.Rais akitembea na kauli mbiu ya kazi iendelee,wapo manaibu makatibu wawili wa Tume ya Utumishi wa Walimu(TSC) wa wilaya za Tanga Jiji na Mkinga Halmashauri kauli yao itakua wizi unaendelea. Wanafanya wizi wa dhahiri,unyanyasaji,uonevu na ukandamizaji wa...
Jamani watanzania wenzangu poleni na majukumu ya siku nzima ya leo. KM mnavyoweza kukumbuka ya kuwa ajira mpya zaidi ya elfu 6 zimetangazwa. Nimejaribu kuingia kwenye mfumo wa maombi ya ajira nimekwama mwisho.
Nimekuta zile command tatu za tengeneza akaunti, hifahdi na jisajili ziko dis-abled...
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tamisemi, Ummy Mwalimu ametangaza ajira za walimu 6,949 wa shule za msingi na sekondari pamoja na watumishi wa Afya 2,726
Nafasi hizi ni kujaza nafasi wazi kutokana na vifo, kustaafu, kuacha kazi au kuhamia sekta nyingine. Waombaji wanatakiwa kuomba kupitia tovuti...
Prof. Shemdoe atengua kitendawili cha uhamisho
Nteghenjw Hosseah, OR-TAMISEMI
Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Prof. Riziki Shemdoe amesema uhamisho wa watumishi wa Tawala za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa utafanyika mara nne kwa mwaka yaani kila robo ya...
Ndani ya siku hizi mbili imesemekana eti walimu waliokuwa wanajitolea katika shule mbalimbali za Serikali ndio watapewa kipaumbele kwenye ajira. Hivyo majina ya watu hao yametumwa Tamisemi.
Ukweli halisi ni kwamba walimu waliojitolea kwa mwaka mzima hawafiki hata 1% ya waajiriwa mia sita wa...
Waziri wa Tamisemi Madam Ummy, kama kuna wilaya inayoleta uchonganishi katika mkoa wa Tanga kati ya wafanyakazi na serikali yao basi ni wakuu wa idara ya wilaya ya Kilindi.
1. Wakuu wa shule wanalazimishwa kutoa pesa kwa kila mihutasari wanayopitisha, yaani lazima utoe kitu kidogo ili muhtsari...
Ni kweli kuna Wizara kubwa na ndogo kwa mfano Waziri Jaffo zamani alikuwa akisimama bungeni kuomba kupitishiwa bajeti ya zaidi ya tsh 3 trilioni lakini leo hii amesimama pale pale bungeni kuomba kupitishiwa bajeti ya tsh 28 bilioni.
Lakini mwendazake Magufuli alipounda baraza hili la mawaziri...
Bila kuwachosha wanajukwaa nitaandika kwa kifupi sana. Juzi waziri wa Tamisemi na mbunge wa Tanga alikuepo jimboni kwake. Kupitia mitandao ya kijamii nimeona eti akiwapongeza viongozi Tanga kwasababu hawagombani.
Naomba nimwambie hawagombani kwasababu lao ni moja (kuinyonya Tanga). Unadhani mtu...
DODOMA : AJIRA 6,000 bado, Achaneni na Matapeli
Atley Kuni na Veronica Simba- TAMISEMI
KATIBU Mkuu Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Prof. Riziki Shemdoe, ametegua kitendawili kuhusu ajira elfu sita za watumishi wa kada ya walimu kama ilivyoamriwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia...
Tangu Serikali kupitia ofisi ya Rais-TAMISEMI itangaze kutoa kipaumbele kwa walimu wanaojitolea na kuwataka wakuu wa mikoa na maafisa elimu kutuma taarifa za walimu hao ofisi ya Rais Tamisemi, kuna template ya excel inazunguka mitandaoni ambapo waombaji wanajaza taarifa zao na kuzituma kwenye...
Wizara ya TAMISEMI bajeti yao siielewi kwani inaonekana bora ya jafoo kuliko alieopo ni hatari nyumba zinajengwa kwa mamilioni ya pesa mfano kuna nyumba nimeona inajegwa kwa 830m nyingine uzio tu 170 M hivi mnatutendea haki vijana wa kitanzania na wananchi kwa ujumla. Mlidanganya ajira za...
Tamisemi kushirikiana na Shirika la Benjamin William Mkapa wametangaza ajira za mda:sifa za muombaji asizidi miaka 35 ,je hawa wenye miaka 36 nakuendelea kuna sheria ipi inayofanya muwe na kigezo cha umri? Miaka 5 na miez 4 Watu wako mitaani sasa mnapokuja na kigezo cha umri mnamanisha nini?
Wanasema wajuzi, "Charity begins at home"
Mh. Ummy Mwalimu umebebeshwa majukumu mazito kuliko uliyokua nayo awali. Hongera sana
Changamoto ni nyingi hata mtangulizi wako anajua.
Umeanza vyema kwa kupaza sauti dhidi ya wabadhirifu walio ibuliwa na CAG.
Nimeona eti kuna mke wa kigogo mmoja...
AJIRA 5000 ZA WALIMU AMBAZO KIBALI CHAKE KILITOLEWA NA HAYATI DR. JPM ZIMEISHIA WAPIII?swali kwa TAMISEMI chini ya waziri UMMY MWALIMU!
#Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan,
#Katibu mkuu kiongozi muheshimiwa Katanga,
#Waziri Mkuu wa JMT, Mh. Kassim Majaliwa Majaliwa...
OR - TAMISEMI kwa heshima kubwa nawashauri mumuondoe mara moja Mke wa Spika Y. Ndugai kuwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya BAHI, MKOA WA DODOMA. Mama huyu, Dr. Fatuma Ramadhan Mganga anatumia uhusiano wake wa kifamilia na Job Ndugai kukwaza utendaji kazi wa Serikali. Mama huyu kwa sababu...
Lengo la huu uzi ni kutaka tu kuwakumbusha ndugu zangu wa Tamisemi. Baada ya Mh. Rais kuiagiza Wizara ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi) kuajiri walimu 6000 kutokana na uhitaji ulio sababishwa na vifo na kuacha/kufukuzwa kazi kwa baadhi ya walimu, natarajia zoezi linalo fuata ni...
Wakuu hamjambo,ni matumaini Yangu kuwa hamjambo,mnaendelea na ujenzi Wa taifa kama kawaida.
Naomba twende kwenye hoja Yangu,nimekuwa nikifatilia swala la uhamisho kwa watumishi Wa umma na urasmu uliopo,ni ukweli usiopingika kuwa kuna haja ya Serikali kutoa tamko kuwa uhamisho umefungwa na...
Hivi karibuni mmebuni utaratibu wa hovyo wa kuajiri walimu kimya kimya kupitia mawasiliano ya simu za mkononi.
Huu utaratibu sio rafiki hasa katika zama hizi za maendeleo ya sayansi na teknolojia ambapo utapeli wa mitandaoni umeongezeka, hivyo matapeli wanaweza kutumia mwanya huo kutapeli watu...
Ni nafasi za zilizoachwa na Walimu waliostaafu,walioacha kazi Serikalini na waliofariki.
Rais Samia Suluhu amesema haya....
"Natambua kuna Walimu wengi tu karibu Elfu 6 au zaidi ambao wamestaafu, wamefariki n.k na kunahitajika wa kuziba nafasi hawa sio ajira mpya ni wa kuziba nafasi, Utumishi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.