Kwanza naomba nikupongeze kwakuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na kumteua Waziri mpya TAMISEMI najua uchapaji wake kazi sio wa kitoto.
Naomba mama ikikupendeza tendea haki uhamisho wa watumishi waliokamilisha uhamisho na kusubiri vibali kutoka tamisemi, maana kuna màmbo ambayo sio...
BARUA YANGU YA WAZI KWA MHESHIMIWA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN KUHUSU KATIBU MKUU WA TAMISEMI INJINIA JOSEPH NYAMHANGA.
Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa mama Samia Suluhu Hassani, naomba kwa heshima na unyenyekevu mkubwa nitoe ombi langu kwako juu ya Katibu Mkuu wa...
Mama Samia Suluhu Hassan ameshtuka mapema. Ninamsifu sana. Ukweli kabisa Msela Jafo hakuwa na impact kabisa katika awamu ya tano. Aliyafanya yale ambayo alifikiri yanampatanisha Rais wa Awamu ya Tano na Serikali na wananchi. Ona Msela huyu alivyoharibu kabisa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Mwaka...
Wabunge wapya walioteuliwa kuwa wabunge ni pamoja na Aliyekuwa Katibu Mkuu Kiongozi, Dkt. Bashiru Kakurwa Ali, Mbarouk Nassor Mbarouk na Liberata Mulamula.
Rais Samia Suluhu akitangaza Baraza la Mawaziri amesema...
''Kuondoka kwa Mpango kumefanya nifanye mabadiliko kidogo kwenye Baraza la...
Mh. Rais amesema Wizara ya Tamisemi ina matumizi ya ovyo ya pesa za Serikali, yenyewe haikusanyi ni mwendo wa matumizi kwa kwenda mbele hivyo kamwagiza Waziri Jafo afuatilie vizuri matumizi ya wizara yake na kama akishindwa Basi asaidiwe(atumbuliwe)
Ushauri.
Mh Seleman Jafo jipange...
Kumekuwa kuna mambo mengi yanafichwa fichwa lakini madhara yake ni makubwa na miongoni mwa mambo ambayo mhe: Rais wetu aliyoyaongea alisema wizara hazi-communicate.
Unajua kila kitu kikimsubiri rais ndo aje afanye maamuzi kuna hakuna haja ya kuweka mawaziri kwani kazi yao kubwa imekuwa ni...
Nimefuatilia ziara ya Naibu waziri Silinde wa Tamisemi na hasa mkoani Mtwara, kwa kweli madudu ni mengi sana.
Najiuliza tu mbona waziri Jafo alikuwa anatamba sana kwa kujenga madarasa na zahanati kwa kutumia fedha za ndani, kumbe zilikuwa mbwembwe tu.
Huyu Silinde akiendelea hivi na huu...
Leo asubuhi nimesikia tangazo la mkuu wa mkoa wa DSM akitangaza kuanza kutumika rasmi kwa stendi mpya ya mabasi yaendayo mkoani iliyopo Mbezi Luis.
Hadi sasa hivi sijaona tangazo la orodha ya Wafanyabiashara waliopata sehemu za kufanya biashara kwenye stendi hiyo. Ingekuwa ni vyema kwa Wizara...
Naibu waziri-Tamisemi, mhe. David silinde akiongea na kituo kimoja cha redio huko Lindi ametoa agizo kwa walimu wakuu kuorodhesha majina ya walimu wanaojitolea kwenye shule zao ili wapatiwe kipaumbele cha ajira kila zinapotangazwa na serikali. In fact ni agizo ambalo linahitaji tafakuri ya kina...
Kama kichwa hapo juu kinavyojieleza.
Mtakumbuka Rais magufuli alitoa kibali cha kuajiri walimu 13,000 ili kukabiliana na tatizo la upungufu wa walimu nchini.
Katika kibali hicho, serikali iliamua kutoa ajira hizo katika awamu mbili ambapo katika awamu ya kwanza zilitolewa ajira 8,000 zikasalia...
Ndugu wana Jf ,habari za wakati huu na hongereni kwa kuuona mwaka mpya 2021.Nami pia ninawatakieni kheri ya mwaka huu!
Hili ni chapisho langu la kwanza kwa mwaka huu 2021 tangu nilipoonekana humu kabla ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2020.
Kama mada yangu inavyojibeba kupitia jina lake,ningependa...
Posho za Kujikimu kwa Ajira Mpya za Walimu
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tamisemi Mhe. Selemani Jafo amewaelekeza Wakurugenzi wa Halmashauri zote nchini kuhakikisha wanawalipa walimu wote wa ajira mpya walioripoti kwenye Halmashauri zao posho za kujikimu ndani ya muda wa wiki moja kuanzia leo...
Ajira mpya za walimu mlizoajiri mwishoni mwa Mwaka jana mtu amepata ajira na ameripoti , mnamuandikia barua tena ya kusitishwa ajira sababu ikiwa hajasoma General studies huku mkijua kuwa Vyuo vyote vya Kitanzania General studies inasomwa kama Development studies chuoni na kwenye Transcript...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mhe. Selemani Jafo amechefuliwa na kitendo cha ucheleweshwaji wa miradi katika Wilaya ya Chemba huku akimwagiza Mkurugenzi kuhakikisha anampelekea maelezo ni kwanini wasichukuliwe hatua kwa uzembe huo.
Hali hiyo...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mhe, Selemani Jafo amesema ndani ya miaka mitatu ijayo matamanio yake ni kuona Halmashauri zinajitegemea zenyewe kupitia mapato ya ndani na kwamba ifike muda ziwe zinalipa watumishi wake mishahara.
“Nikiangalia hoteli...
TAMKO LA WAZIRI WA NCHI NA KATIBU MKUU OFISI YA RAIS -TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA
Walengwa wa Mwongozo huu ni Mamlaka za Serikali za Mitaa, Taasisi mbalimbali za Serikali zinazoshughulika na Ujenzi wa majengo, waendelezaji, wawekezaji wa ndani na nje pamoja, wananchi na wadau wengine...
Habarini ndugu
Naomba nifikishe hili suala maana nina wasiwasi sana na Ajira yangu mpaka sasa kwasababu nilisubiri sana mpaka kuipata.
Siku ya Jumamosi tarehe 19 Dec nilipokea simu kutoka kwa Afisa Ajira wilaya ya Tandahimba (kwa mujibu alivojitambulisha), akisema kua Ajira yangu imesitishwa...
Sote tunafahamu kwamba Katibu Mkuu wa TAMISEMI alitangaza majina ya waalimu wapya mwishoni mwa mwezi Novemba mwaka huu. Akatoa maelekezo kwa waajiriwa wapya kwenda kuripoti kwenye Halmashauri walizopangiwa kuanzia tarehe 1 hadi 14 Desemba.
Katibu Mkuu huyu alikwenda mbali zaidi na kuwaelekeza...
Leo nimepigiwa simu eti kamati inaomba nichangie pesa za simenti au matofali ili wafanikishe kujenga vyumba vya madarasa, mimi kama mdau wanahitaji mchango wangu.
Kama mwana JF hata mmoja haja hamasishwa au kufuatwa nyumbani basi subirini ni mkakati wanakuja. Kusema ukweli nimewapa lugha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.