Serikali imesema inaendelea kufuatilia kuhusu hali za Watanzania waliopo nchini Israel na kwamba taarifa zaidi zitatolewa pale itakapobidi.
Kauli hiyo imetolewa jijini Dar es Salaam leo, Oktoba 29, 2023 na Msemaji Mkuu wa Serikali, Mobhare Matinyi alipozungumza na wahariri na waandishi wa...