Shirika la umeme Tanzania(TANESCO) ni shirika la umma nchini Tanzania lililoanzishwa November 26, 1931 na liliitwa 'Tanganyika Electric Supply Company Limited' kazi yake kubwa ikiwa ni kuzalisha na kusambaza umeme nchini Tanzania.
Shirika la Umeme nchini (TANESCO), limesema kuwa limebaini mapumziko ya miezi ya Disemba na Januari ambayo watu wengi wanakuwa nyumbani katika mapumziko ya mwisho wa mwaka ndio sababu ya umeme kuisha haraka kwa watumiaji wa mita za LUKU.
Kwenye mitandao mbalimbali wananchi wanalalamika kuhusu...
Ukiajiriwa hizi Taasisi . Wewe umeuaga umaskini mazima au uwe Zombi na mlevi au mpenda ngono kupitiliza. Posho kama zote pia ya kubrashia viatu nje nje
Huu umeme wa TANESCO kumbe unazitambua sikukuu?
Kwamba huwepo kwenye sikukuu na kuwa zikiisha tu, ile kazi pendwa ya awamu #6 inaendelea!
Bila shaka hapa tulipo sasa itakuwa bila bila, hadi mwaka mpya.
Ipo haja ya kuingia chimboni kutafuta namna ya kutunza umeme kwa matumizi ya baadaye pindi...
TANESCO hawana jina zuri kwa sasa mbele ya wananchi kutokana na kukatika ovyo kwa umeme lakini hawa TTCL ni wa ovyo na wazembe kupindukia. Maeneo ya Oysterbay takriban mita miatatu hivi kutoka ofisini kwao kuna nguzo ya simu ilianguka yapata siku kumi hivi zimepita.
Hii nguzo imeangukia kwenye...
Wamedharau maombi ya CCM na Viongozi wengine wote na wakijuwa kwa dhati yanatoka kwa Rais.
Bora wangewapa Waarabu TANESCO na sio Bandari.
Na wakawafukuza watu wote wa TANESCO, WOTE naamaanisha wote hasibaki ata dereva.
Tatizo la umeme lilianza January Makamba aliitisha kongamano kubwa la matajiri na viongozi mbalimbali kwa fedha nyingi za serikali.
Tatizo la TANESCO lilipanuka pale ambapo wanasiasa akiwemo Naibu WAZIRI Mkuu Biteko alipoanza kufanya siasa na kuacha kusema kweli kuhusu undani wa tatizo
Tatizo...
Ninakupenda sana na kukuhitaji kila wakati,ingawa wewe unihitaji kihivyo,ninakulipa kwa wakati kukuonyesha mimi ninakujari sana sijari kama utanilipa kwa wakati,mwaka mzima ninavumulia mateso yako unajua sina ujanja wa kuachana na wewe,ueleweki mchana uuleweki usiku penzi lako aliniweki kwenye...
Wakati January na Maharage wakipambana kuleta suluhisho la kudumu TANESCO maneno yalikua mengi, tunajua waliokosa tenda na waliokuwa wanufaika wa TANESCO walilipa machawa kuendesha vita na January kupitia mitandao ya kijamii ilikua kila siku hukosi makala tano za kumsema makamba.
Rais Samia...
wana real estates nyingi tu, wana machines, hata Mabwawa ya kuzalisha umeme na hata hili jipya la Nyerere nafikiri ni Mali ya tanesco yetu pia na vyote hivi tumejenga kwa kodi zetu hata kama tulichukuwa mkopo lkn tunalipia kwa kodi zetu, sasa mali za tanesco zitakwenda kwa mnunuzi wa tanesco pia...
Ni wazi shirika hili limeshindwa kazi yake. Wiki hii nilipo umeme umewaka mchana siku moja tu. Hatuwezi kuendelea namna hii.
Shirika livunjwe. Kuwe na shirika la uzalishaji umeme ambalo litasimamia mitambo yote ya kuzalisha umeme ya serikali, na kuwe na mashirika ya usambazaji wa umeme kwa kila...
Kuna Mikataba mingi ambayo Tanesco imeingia toka alipo teuliwa Maharage Chande haikulenga kabisa uzalishaji wa umeme.
Ililenga matumizi na matanuzi na miundombinu.
Kwahiyo kutuaminisha kuwa mabwawa hayana maji kwa Mvua hizi hakuna mtu atawaamini.
Mimi kwa miaka mitatu nimemfuatilia sana vyombo...
Hivi hili shirika lina tija kwa Tanzania na watanzania? Miaka nenda rudi sarakasi za TANESCO haziishi.
Ahadi za watendaji na wanasiasa kuhusu TANESCO zinatolewa kila mwaka. Lkn hakuna jipya.
Swali la msingi ni kwann halifutwi shirika hili?
Chadema wameamua kumpuuza Makonda. Hakuna kiongozi wa CDM anayeangaika na maelekezo yake. Matokeo yake hata mazungumzo yake na vyombo vya habari hayana comments wala hakuna aliyeyapa attention .
Je hii ni style mpya yakutoshirikiana naye wala kumpa mada zakupambana nazo? Tumemsikia leo...
Hakuna umeme hata dar es salaam, viwanda, majumbani na kwenye biashara hakuna umeme, ni shida na hasara ya matrilion inapatikana: Mvua zinanyesha nchi nzima, mabwawa yamejaa na mafuriko kila kona ya nchi. Kwanini umeme hakuna?
Kipindi cha ukame mnasingizia mabwawa yamekauka na mabwawa yakijaa...
Waziri wa nishati tembelea Wilaya ya chunya Kwa ziara ya kushtukiza kuna kitu utajifunza kuhusu ukatwaji wa umeme chunya.
Kwa siku umeme unakuwepo Kwa nusu saa au usiwepo kabisa!
Umeme umekuwa anasa!
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Kufuatia Balozi Meja Jenerali Paul Kisesa Simuli aliyekuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la umeme Tanzania (TANESCO)kuteuliwa kuwa Balozi wa Tanzania nchini Uganda tarehe 18 Desemba,2023, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu...
Rais Samia Suluhu Hassan amevunja Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) ikiwa ni baada ya aliyekuwa Mwenyekiti wake, Meja Jenerali Paul Kisesa kuteuliwa kuwa Balozi wa Tanzania nchini Uganda.
Kufuatia uamuzi huo, Rais amemteua Dkt. Rhimo Simeon Nyasabo kuwa Mwenyekiti wa...
Inawezekana yasemwayo ni ya ukweli kuwa Maharage aliondolewa Tanesco na Siasa za wafanyakazi wa ndani, ambapo mifumo ya Maharage ilirahisisha kupata huduma na kupunguza bureaucracy hivyo kufanya mianya ya rushwa baina ya mteja na TANESCO kupungua.
Toka Maharage ameondoka TANESCO kitengo Cha...
TANESCO imeshindwa kabisa kujiendesha kwanza sehemu kubwa ya nchi iko gizani umeme unakatika Zaid ya masaa manane kwa siku na kuna sehemu transformer imeungua watu wako gizani wiki ya 3 hiii sasa na hakuna hata matarajio,na kuna maeneo watu wanakatiwa umeme Zaid ya saa 24 na bado ukirudi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.