Shirika la umeme Tanzania(TANESCO) ni shirika la umma nchini Tanzania lililoanzishwa November 26, 1931 na liliitwa 'Tanganyika Electric Supply Company Limited' kazi yake kubwa ikiwa ni kuzalisha na kusambaza umeme nchini Tanzania.
Rais Samia Suluhu Hassan amesema ifikapo Januari 2024, kinu cha kwanza kati ya tisa vilivyopo katika bwawa la kuzalisha umeme la Mwalimu Nyerere (JNHPP) kitawashwa na kuruhusu uzalishaji wa nishati hiyo kuanza.
Rais Samia amesema baada ya kuwashwa kinu cha kwanza, cha pili kitawashwa kabla ya...
Lakini pamoja na majibu haya, Biteko atoke.
Biteko hafai.
Biteko ni tatizo.
===
FACTS: Rais Samia amezungumza suala la kuwa ukilaumiwa jua unafanya vizuri Desemba 16, 2023, hata hivyo kauli hiyo ilitolewa kuhusu elimu na sio taasisi nyingine za serikali. Alichosema Rais ni
"Sio kwenye mitihani...
My Take
Hongera sana Serikali ya awamu ya 6 na Tanesco Kwa sababu hii ni mapema zaidi kabla ya mwezi June ambao ulipangwa kabla.
Kufuatia uwepo wa mgao wa umeme nchin Serikali kupitia Wizara ya Nishati imeuarifu Umma kuwa Februari 25,2024 mashine namba 9 ya kufua umeme kwenye bwawa la mwalimu...
Tulidhani ujio wa verified USER ID ya TANESCO italeta neema kwetu, kumbe ni bora isingeanzishwa.
Tulijua TANESCO wangekuwa wakitujulisha mambo mbalimbali ili tujiandae lakini wapi.
Leo tumeshindwa kununua umeme wa Luku, TANESCO wako kimya, wangeweza kabisa kutujulisha mapema kwamba tununue...
Mfumo huu utawezesha kuwa na real time data feed ya nguzo zote za Tanesco kwa kujua mahali zilipo na kama zinaumeme.
Mtendaji wa Tanesco akiingia kwenye hii Geomap, nguzo zote zitaonekana kwa rangi nyekundu kama sensor zinasoma moto, na rangi ya kijivu kama sensor hazisomi moto. Hivyo moja kwa...
Haya mambo watu walikuwa wanadhani ni kwenye movie tu mnaweza jikuta nchi nzima mpo gizani watu washafanya yao. Nchi kama hizi huwa tunajisahau sana. Haya mashambulizi katika hii karne yanakuwepo sana.
Sasa sijui ni Chadema wamehusika au sijui wapinzani gani . Ila watafutwe. Leo toka asubuhi...
Habari wanajamvi,
Leo tangu saa moja asubuhi najaribu kununua umeme kwa simu inashindikana, baada ya kujaribu mara kadhaa bila mafanikio kwa kutumia Vodacom, nikasema labda Voda wanazingua network.
Nikaopt kununua kwa Tigo, still imeshindikana. Nimepiga simu huduma kwa wateja Tigo wamenambia...
Haya mateso tunayopata kama wananchi ni makubwa mno, umeme unakatika hujui unakatwa saa ngapi wala unarudi saa ngapi, tofauti na nchi za wenzetu hata kama kuna tatizo basi ratiba ifahamike na wahusika hao wakata umeme waifuate sio wanajiamulia tu, sisi kama wateja tuna haki ya kufahamu ili...
Mungu hamfichi mnafiki.Msemo maarufu wenye miaka mingi. Wataalam wa shirika la ugavi wa umeme TANESCO wamejibiwa na Mungu mwenyewe pale walipojibu shutuma kwanini umeme haupatikani huku mvua zikinyesha. Wakasikika wakisema zinanyesha katika mikoa mingine mbali kabisa na kule Mtera ambapo kuna...
Salamu,
Huenda tutegemee matokeo chanya toka kwa msemaji huyu wa TANESCO Mha. K BOYMANDA
Ikimpendeza afuate nyayo za Yule wa Chama tawala huenda watendaji wazembe katika ngazi za wilaya, mikoa, kanda na vituo vya kufua umeme wataamka Kwa uchapaji kazi.
Habari members,
Huyu Mhandisi Nyamo-Hanga tangu amepokea kijiti toka kwa Maharage ameshindwa kuhaminisha umma wa Tanzania ya kwamba anafaa kuendelea kuikalia nafasi hiyo adhimu kwa mustakabali wa maendeleo ya Taifa licha ya kupewa kipindi cha uangalizi cha miezi sita na Mh. Raisi Samia...
Naona kama mama nae anaenjoy tuu wala haoni kama hili ni tatizo kwake anakula tu good time na machawa wake huko DUBAI.
Yani tunashinda mchana bila umeme, usiku ndio umeme unarudi hakafu asubuhi unakatika tena, mambo gani haya! nani unamuhudumia huo usiku huo.
😜😜😜😜😜😜😜Ila hata UNIT za LUKU...
Habari Wanajukwaa wa JamiiForums ?
Natumai mko salaama.
Leo ni nina kero ya muda murefu sana kutokana na umeme wa huku Bariadi Mkoani Simiyu ambao umekua ukikatika na kurudi kila wakati kutwa nzima usiku kucha kama ka mchezo flani hivi.
Yaani umeme umaweza ukawaka kama dakika 30 hivi au lisaa...
Ndani ya dakika 5 umekatwa umeme na kurudi mara 3 TV yangu Imeungua.
Mnajichukuliaje?
Maji mpaka mafuriko ila mnakata umeme.
MREJESHO BAADA YA MADHARA
nimeshauriw nitumie kifaa kinaitwa AVR/surge protector japo alieniuzia TV anasem haijaungua ni imezima cjui nn uko kun kakifaa kipo kw TV...
Wakuu , heshima mbele.
Niende moja kwa moja kwenye mada.
Kiukweli TANESCO hili shirika unaweza kudhani pengine tukibadili viongozi wa juu ndio inaweza kuwa mwisho wa matatizo ila pengine naona labda tuanzie kwenye "grassroots"
Ipo hivi, baada ya kufanya ombi la umeme kupitia mfumo surveryor...
Mama Samia akitoka Dubai kuna taarifa ya yeye kutua moja kwa moja Mwanza kisha kuelekea Tanesco Nyakato Mwanza.
Hii inafuatia kutokupata majibu anayoyataka kwa miezi kadhaa sasa.
Ikumbukwe kuwa kituo hicho kina uwezo wa kuzalisha MW 60 kikifanya kazi kwa asilimia mia, lakini kwa miezi kadhaa...
Nadhani muda umefika tufikishane kwenye vyombo vya sheria.
Hii migao ya umeme haijaanza leo. Hili tatizo lipo kila mwaka na sababu zinazotolewaga ni zile zile. Kusudio langu halihusu kuhoji uhalali wa mgao bali taratibu zinazotumika kuendesha mgao wenyewe.
Hatua hii itajikita kuwahoji na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.