Shirika la umeme Tanzania(TANESCO) ni shirika la umma nchini Tanzania lililoanzishwa November 26, 1931 na liliitwa 'Tanganyika Electric Supply Company Limited' kazi yake kubwa ikiwa ni kuzalisha na kusambaza umeme nchini Tanzania.
Hilo transformer kila siku TANESCO wanapigiwa simu, wakija wanataka pesa kulitengeneza fuse yake, wanaitegesha tegesha kihuni huni tu ili ifanye kazi kidogo, ikifika kesho yake inazima tena, ukiwapigia simu wanakuja ila wewe uliyewapigia inabidi uwape pesa watengeneze, wanachokonoa chokonoa fuse...
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) Mkoa wa Tanga limemlipa Mkazi wa Mwamboni, Tanga, Mwamvua Maliki fidia ya Tsh. 778,000 baada ya kuunguliwa vitu vyake vya ndani August 31,2022 kutokana na hitilafu ya umeme iliyosababishwa na waya wa umeme kukatika na kudondokea nyumba yake.
Baada ya Zimamoto...
Hakuna Haja ya Salaam Maana naona kama hili swala halijakaa sawa sana..
Kila nikifungua TV au Redio nasikia nakuona Serikali ikieleza Athari za Mvua ya Elnino na Athari zote zikielekezwa kwa Wananchi..
Na serkali ikifika mpaka kutishia wananchi wanaoishi Bondeni kwamba hakutakuwa na Malipo wala...
Ningependa kujua ni nani mwenye wajibu wa kulinda transfoma za TANESCO dhidi ya wezi wa mafuta ya machine hizo? Imetokea mara kadhaa (zaidi ya mara nne kwa mujibu wa wahanya/ wateja) transforma iliyowekwa kwenye pori na TANESCO katika mtaa wa Vespo Kihonda Morogoro kuibiwa mafuta yake nyakati za...
Kwa muktadha wa mabadiliko ya hali ya hewa nakubaliana na wadau wanaosema TANESCO ndiyo taasisi yenye nguvu za giza kuliko taasisi nyingine zote.
Nguvu za giza zimeondoka na mawaziri wengi, wakurugenzi na makatibu wakuu. Zinaendelea kuondoka na wengi kupitia miradi chechefu.
Tunapopambana na...
Naomba kuuliza swali mimi nakaa kwenye nyumba ya taasisi ila nyumba yangu ina umeme ya jirani yangu ipo kama mita 70 hivi haina umeme ila nataka kutoa waya kutoka kwenye extension yangu mpka kwake ili aweze kutumia kwa matumiz madgo madgo kama kuchaj simu n.k
JE, HII INARUHUSIWA MAANA NI...
Kwanza wamenibadilishia mita bila ya kunijulisha mteja wao, pili dharau kejeli na uongo nilipowasiliana nao, tatu ahadi za uongo, inne huduma mbovu.
Majina ya customer care ninayo, muda na namba na tiketi za report ninazo, namba za simu za mafundi walioniahidi wanakuja ndani ya saa 24 ninayo...
Leo tarehe 02 October 2023 nimenunua umeme wa sh.11,000/= ambapo nilitegemea kupata unit 28.0 lakini nimepata unit 26.6! Je, umeme umepanda bei au ni tabia nchi tu!
Naibu Waziri Nishati, Judith Salvio Kapinga ametembelea vituo vya Kuzalisha Umeme, Ubungo 1 na Ubungo 2 ili kuona hali ya uzalishaji wa umeme katika vituo hivi kwa maelekezo ya Naibu waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko.
Naibu Waziri anazungumza
Kwenye Kituo cha Ubungo 2, mashine...
Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), Mhandisi Gissima Nyamo-Hanga ametambulishwa mbele ya waandishi wa Habari leo Septemba 27, 2023 na kuelezea kuhusu mipango ya shirika hilo na kugusia kuhusu changamoto ya umeme.
Kuhusu changamoto ya umeme Nchini, amesema “Tunatarajia...
GENTAMYCINE namuomba huyo Mtu wao wa PR / Communication aachie Ngazi kwa Taarifa ile ya Kipuuzi yenye Pumba nyingi na iliyotuachia Maswali mengi Sisi Great Thinkers wa Kutukuka.
Hata salamu sitoi.
Kiukweli hii sio sawa aisee mmeamua kutushindisha bila ya umeme na kutulaza bila ya umeme sawa haina shida, ila kwa asubuhi angalau mgekuwa mnakata japo saa 2 kamili wazee.
Kuna sehemu zina baridi na watu wanatumia heater kuoga, sasa mtu ameshajipaka sabuni hata hajaanza...
1. Zesco ni shirika la umeme Zambia kama ilivyo TANESCO ya Tanzania.
2. Zesco wana umeme ama wanazalisha umeme unakaribia Megawati 3700 ama 3.7GW huku Tanesco ikizalisha umeme uziozidi megawati 1700.
3. Zambia ina watu wasiozidi 20M, Tanzania ina watu zaidi ya milioni 61.
4. Zesco ama Zambia...
Aliyekuwa MD Tanesco ndugu Maharage nimesikiliza redioni mida hii akimshukuru rais kumteua kuwa boss mpya Posta.
Amedai kuwa anaenda kufanya maajabu Posta Kama alivyobadilisha Tanesco katika kipindi kifupi alichokuwepo.
"Tanesco nimeiacha salama zaidi kuliko nilivyoikuta, ufanisi...
Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan leo September 26,2023 amewaapisha Viongozi mbalimbali Wateule Ikulu jijini Dar es salaam ambapo pamoja na mambo mengine amempa miezi sita ya matazamio Mkurugenzi Mkuu mpya wa TANESCO, Mhandisi Gissima Nyamo-Hanga na kumwagiza kuwa baada ya hiyo miezi...
Shirika la umeme Tanzania liko hoi kutokana mgawo mkubwa unaoendelea. wafanyakazi wake wamekuwa wanapenda rushwa kupitiliza.
wakati Nchi ikiwa kwenye mgao mzito wa umeme mpaka kero wenyewe wanawaza kuiba tuuu.
Mfano wilaya uyui kila kitu lazima utoe rushwa ukitaka kupimiwa utoe rushwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.