tanesco

TANESCO
Shirika la umeme Tanzania(TANESCO) ni shirika la umma nchini Tanzania lililoanzishwa November 26, 1931 na liliitwa 'Tanganyika Electric Supply Company Limited' kazi yake kubwa ikiwa ni kuzalisha na kusambaza umeme nchini Tanzania.
  1. M

    TANESCO mtatuunguzia vitu

    TANESCO ni wa kushtakiwa. Tangia jana usiku wanakata umeme wanarudisha wanakata wanarudisha zaidi ya mara 10. Hii ni kuunguziana vitu. Ufundi gani huo. Kama kuna mtoto anachezea switch.
  2. Jidu La Mabambasi

    Maharage ana uwezo kweli kuendesha shirika la kitaalam kama TANESCO?

    Maharage Ally Chande amekuwa MD wa TANESCO kwa takriban miaka miwili sasa. Kama kuna vigezo vya kumpima utendaji, basi kwa sasa vimekuwa juu kwa MD wetu maana utendaji unapimwa na output, umeme kwa wananchi, jamii na biashara kwa ujumla. Wakati wa miaka ya Magufuli, umeme haukuwa unakatwa ovyo...
  3. Richard

    Je, umeme unokatwa nchini na Tanesco wajumuisha ofisi zote nyeti, balozi na sehemu zingine kama Oysterbay? Au ni kwa watanzania wa hali ya chini tu?

    Kero ya kukatwa umeme na Tanesco imekuwa kubwa na sasa umeme wakatwa nchi nzima katika mikoa mbalimbali. Lakini ningependa kufahamu kama umeme huu wakatwa katika sehemu zote nyeti, ofisi za kibalozi, viwandani, maeneo ya uzunguni na katika makazi ya watu muhimu katika nchi hii? Je, umeme huo...
  4. M

    TANESCO inakata umeme kutwa viongozi wamekaa kimya. Nchi hii sasa ipo tu hamna dereva

    TANESCO sasa hivi wanakata umeme bila ya kutoa taarifa. Halafu hakuna kiongozi anayefuatilia wala kuzungumzia ili suala. Ingekuwa Magufuli angeenda kushuhudia mwenyewe iko kina cha maji kama kweli kiko chini. Sasa hivi hata Waziri haendi sijui kazi yake ni nini yeye anapewa taarifa kama sie na...
  5. Huihui2

    Ushauri kwa Waziri Dotto Biteko: Kama Makamba Ametolewa, Basi na MD wa TANESCO na Bodi nayo itoke

    Kwa hili linaloendelea kuanzia last week linalohusu mgawo wa umeme ambao Maharage Chande anasema haupo bali kuna ratiba ya umeme ni dhahiri matarajio ya Rais Samia aliyoweka kwa Waziri Makamba, Bodi ya Wakurugenzi na MD wao YAMEFELI. Rais kamtoa Makamba baada ya kumuidhinishia fedha kwa...
  6. MUBIKU

    TANESCO ibinafsishwe kwa muwekezaji maana haina tija kwa taifa na msaada kwa Watanzania

    Mada hii ianzishwe maalum kwa manufaa yetu sisi wananchi toachane na bandari ambayo inaweza pia ikawa inatusadia au haitusadii, tuachane na mchakato wa katiba, tujikite kwenye mchakao wa kubinafsisha TANESCO na Shirika la maendeleo la petroli TPDC, uchumi wowote wa nchi duniani unaanza na sekta...
  7. Chachu Ombara

    TANESCO: Tuna upungufu, siyo mgao wa umeme. Wananchi endeleeni kuvumilia

    Akizungumza leo September 18 katika kipindi cha #Supa Breakfast cha East Africa Radio, Mkurugenzi Mkuu wa TANESCO ndugu Maharage Chande amedai kuwa Tanzania hakuna kabisa mgao wa umeme bali kuna upungufu Wateja na wananchi watuvumilie katika kipindi hiki najua ni kigumu kuvumilika na...
  8. R

    TANESCO watoa ufafanuzi kuhusu Bwawa la kufua umeme la Mwl. Nyerere kuwa na nyufa

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI HALI YA UBORA WA MRADI WA JNHPP NA UHIFADHI WA WANYAMA PORI Jumapili, 10 Septemba 2023. Kuna taarifa zinasambaa kwenye mitandao ya kijamii kuhusu mradi wetu wa Bwawa la Kufua Umeme la Mwalimu Nyerere (JNHPP). Taarifa hizo zinaelezea na kuleta hofu kuhusu Ubora...
  9. M

    Tangu asubuhi hakuna umeme. TANESCO wanataka Hayati Magufuli akumbukwe

    Muda mwingine inafikia hatua mtu unawaza huenda ni hujuma za baadhi ya watengaji wakuu na wanasiasa wanaotaka wananchi waichukie serikali ya sasa na kumkumbuka Hayati Magufuli. Mama yetu Samia tunakupenda sana lakini Mwenyezi Mungu akujaalie kuwabaini watendaji na wanasiasa wenye HILA NA...
  10. BARD AI

    Upelelezi wakwamisha Kesi ya Watumishi TANESCO wanaodaiwa kuhujumu Tsh. Bilioni 2

    Ni Kesi ya Uhujumu Uchumi inayowakabili Watumishi wa TANESCO Mkoa wa Mwanza, Abdukadri Lwassa (Fundi) na Respicius Rwegoshora (Afisa Bohari) imeshindwa kuendelea kutokana na upelelezi kutokamilika. Watumishi hao wanakabiliwa na mashtaka 125 yakiwemo ya Kughushi Nyaraka, Ubadhirifu wa Mali ya...
  11. P

    TANESCO inawajibika kwa nani?

    Ni miaka sasa bado tunasumbuliwa na ukosefu wa umeme wa uhakika. Tatizo hili likekuwa sugu. Mamlaka husika imekaa kimya utadhani swala hili haliwahusu. Kuna fahari gani kwa wafanyakazi wa TANESCO kwenda ofisini/kazini kila siku, kupata mshahara kila mwezi na wakati kutoa huduma imekuwa...
  12. Mukulu wa Bakulu

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Biteko kuzungumza na wafanyakazi wa TANESCO

    Leo Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati bwana Biteko atakutana na kuzungumza na wafanyakazi wa TANESCO makao makuu Ubungo. Jamaa zangu ambao ni wafanyakazi hapo wanasema Makamba amekua waziri kwa miaka 2 lakini hajawahi kukutana na wafanyakazi na kuzungumza nao ili hali mawaziri wengine wote...
  13. Clark cian

    TANESCO mnachonifanyia sijapenda kabisa na sitopenda muwafanyie wengine

    Zimepita siku nne sasa tangu luku yetu tunayotumia ishindwe kuruhusu umeme kutumika kwenye nyumba yangu Nimetumia taarifa mapema kabisaa, pale tuuh luku Yao ilipojizima bila ya tatizo lolote. Nikawaambia kupitia huduma Kwa wateja kuwa""jamani luku yenu imezingua, umeme hauruhusiwi, luku...
  14. N

    TANESCO hawana uwezo wa kubadili tariff bila kumtaarifu mteja?

    Tanesco: Naomba niwaulize, katika sheria zenu kuna ibara au kifungu kinaeleza kuwa shirika linauwezo wa kubadilisha tariff ya matumizi ya umeme bila kumtaarifu mteja? Nimeuliza swali hilo kwasababu kwa kawaida matumizi yetu ndani ya saa 24 ni uniti 10 lakini 08 /09/ 2023 zimetumika uniti 22...
  15. B

    DAR: TANESCO mnachotufanyia mtatuunguzia vitu

    Sijui kuna tatizo gani, lakini leo Ijumaa Septemba 8, 2023, huku ninakoishi maeneo ya Kilungule A, Kimara, Dar es Salaam, umeme umekatika zaidi ya mara nane. Tangu asubuhi Tanesco wanafanya zoezi la kukata na kuwasha umeme, sijui wana mpango wa kutuunguzia vitu vyetu ambavyo tumenunua kwa...
  16. L

    Kero: TANESCO Mtwara wanakata kata umeme ovyo!

    Mtwara mjini umeme unakatika hovyo bila taarifa yoyote. Ni siku ya nne sasa toka huu mchezo uanze kufanyika. Tunateseka, baadhi ya vifaa vyetu vinavyotegemea umeme vinaharibika kwa kupata shoti kisa ya umeme kukatika hovyo hovyo. Umeme ukirudi haukai hata unakatwa tena. Tunashindwa kufanya...
  17. VUTA-NKUVUTE

    Tetesi: TANESCO 'kwazizima' Makamba kuhamishwa Nishati. Waendelea na 'mfungo'

    Katika hali ya kustaajabisha, maafisa na wafanyakazi wa kawaida wa Kampuni ya Umeme Tanzania (TANESCO) walirukaruka kwa furaha baada ya kusikia na kujua uhamisho wa aliyekuwa Waziri wa Nishati Januari Makamba. Maafisa na watumishi hao wa Makao Makuu ya TANESCO walionesha furaha yao ya wazi...
  18. Billie

    Serikali binafsisheni TANESCO sio Bandari

    Umeme,maji na internet ni nyezo zinazofanya vijana wengi wajiajiri na sector binafsi zikue. Cha ajabu mnaenda kubinafsisha Bandari ambayo raia wa kawaida haelewi atanufaikaje na ubinafsishaji huo. Raia tusio na upeo tunajiunga kupinga ubinfsishaji wa bandari yetu hata kama huo mkataba...
  19. BARD AI

    TANESCO kuzima Umeme siku 2 kwa saa 12 (Agosti 26 -28 2023), Mikoa 15 gizani

    Shirika hilo la Umeme limesema njia ya umeme itakayozimwa ni kutoka Kidatu kwenda Kihansi kwa siku mbili kuanzia Agosti 26 hadi 28 2023 Umeme utakuwa wa mgawo kwa Saa 12 kuanzia Saa 1 Jioni hadi 12 Asubuhi huku Mikoa ya Njombe, Ruvuma na Mbeya ikitarajiwa kuathirika Mikoa mingine ni Dodoma...
  20. Notorious thug

    TANESCO wameshindwa kujiendesha

    Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza naona ni muda muafaka wa kuuzia hili shirika wadau wa DP WORLD afu Bandari tukabaki nayo naona Tanesco wameshindwa kujiendesha. Bado tunawasha mishumaa na makoroboi 2023 kisa umeme hamna zaidi ya masaa 34 aibu TANZAGIZA.
Back
Top Bottom