Shirika la umeme Tanzania(TANESCO) ni shirika la umma nchini Tanzania lililoanzishwa November 26, 1931 na liliitwa 'Tanganyika Electric Supply Company Limited' kazi yake kubwa ikiwa ni kuzalisha na kusambaza umeme nchini Tanzania.
FUNDI UMEME.(Wiring za umeme)
-Tunafanya Wiring za umeme kwa gharama nafuu sana.
-Ikiwa umefikia stage ya kuweka miundombinu ya umeme kwenye Jengo lako wasiliana nasi, Kumbuka stage ya kwanza ni kabla ya kupiga plasta ambapo ni kuweka box za switches na kuchimbia conduit pipes ukutani.
Tuna...
Tatizo sio Kuwakaribisha wawekezaji bali ni aina ya mikataba, mfano hii mikataba ya waarabu kama wa bandari hauvunjiki hadi wao watake uvunjike ndio maana unaitwa wa milele.
1. BANDARI - Na sasa kuna mkataba huu wa bandari ambao ndio unazungumziwa zaidi sababu kipengere cha kuuvunja ni mpaka...
Wakati tukijadili kuhusu DP World na TPA, tusisahau kwamba kampuni nyingine ya falme za kiarabu ya UAE inayoitwa MASDAR ilisaini mkataba wa ushirikiano na kuzalisha umeme na TANESCO.
Tusisahau pia kwamba Shirika la Posta limeanzisha ushirikiano na kampuni ya posta ya Falme za Kiarabu.
Sio hilo...
Lengo la uzi huu ni kuitaka serikali iwe makini na utendaji wake, na pia kuwataka wananchi wazinduke na kupinga matendo maovu yanayoendelea nchini.
Shirika la umeme Tanzania (TANESCO) kule mkoani Arusha limekuwa na historia kwa muda mrefu sasa ya kutojali wafanyakazi wake pamoja na maslahi yao...
Kwa kifupi Mashirika yote ya umma yanayofanya Biashara yanapaswa kupigwa bei, tubakie na mashiria kama TANAPA basi.
Kama Bandari inakodishwa then TTCL, ATCL, wakina TANESCO wanaachwa basi kuna shida au kuna walakini, mashirika ypte ya umma yaingie sokoni na Serikali inachana na Biashara...
Mwezi wa tano tumelipia 150,000 kodi ya jengo mwezi huu tena nataka kununua Luku naambiwa nadaiwa tena 30,000 Tanesco watueleweshe nini kinaendelea.
Nchi ngumu sana hii
Dodoma. Mbunge wa Iramba Mashariki (CCM), Fransic Mtinga ametaka Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) kuweka gharama za kuunganisha umeme kwa Sh27, 000 kote nchini ili kukusanya makusanyo mengi kutokana na mauzo ya umeme na kodi ya majengo.
Ameyasema hayo leo Jumatano Mei 31, 2023 wakati...
SHIRIKA la Umeme Tanzania (TANESCO) limesema reli ya kisasa (SGR) haitokosa umeme wala kukwama kufanya kazi kwa sababu ya kukatika au kutokea hitilafu katika miundombinu ya umeme.
Kauli hiyo ilitolewa jana na Mhandisi wa Idara ya Mipango ya TANESCO, Lucas Magero, alipozungumza na waandishi wa...
TANESCO ilisema imeondoa service line lakini Cha kushangaza nimenunua umeme kwa miezi miwili wananikata Tsh. 6000, sijajua shida Nini, Ina maana siku hizi TANESCO haifuati miongozo ya wizara inafuata mambo yake?
Unajua Kuna vitu vingine tunaweza tukasema Magufuli alikuwa Bora upande wa matumizi...
Kwa Hali ya maisha ilivyo ngumu bado TANESCO mkoa wa Mbeya, wanazima umeme kila siku wilaya ya Chunya bila kujali kuna watanzania wala bila kujali ni Jimbo lilliloko mikononi mwa CCM.
Katika hali ya kushangaza wananchi wameamua kumjulisha Maharage Chande, kuwa ana mbinu Za kuing’oa CCM...
Mkurugenzi Mtendaji wa TANESCO, Maharage Chande amesema mjadala umefikia mwisho kuwa Zanzibar isamehewe deni ili waanze upya kwa “tariff” mpya pia.
Kwa taarifa za ndani za uhakika ni kuwa maagizo kutoka ikulu ya Dodoma kupitia Waziri January ndiyo yamepelekea afute deni hilo. Maagizo hayo...
Niende moja kwa moja kwenye mada. Jana nilinunua umeme kwa kupitia simu yangu ya mkononi. Sikujua kuwa kulikuwa na tatizo la kimtandao katika mojawapo ya kampuni ya simu za mkononi ya Tigo au Tanesco wanaouza umeme.
Kibaya zaidi, baada ya kununua umeme, pesa ilikatwa kwenye Tigopesa lakini...
Umeme ni sehemu muhimu ya maisha ya kisasa, unawezesha kila kitu kuanzia majumbani, biashara, hospitali, shule nk. Hata hivyo, katika nchi nyingi zinazoendelea, upatikanaji wa umeme ambao unategemewa sana bado ni changamoto kubwa. Ndani ya Nchi yetu ya Tanzania kuna shirika moja tu linalohusika...
Kila kukiwa na mechi nzuri lazima umeme ukate nusu saa kabla ya mechi au nusu saa baada ya mechi. Huu ni uhujumu uchumi.
Tf wanakata umeme sahz wakati game ndo inaanza second half.
Naibu Waziri wa TAMISEMI Mh Deogratius Ndejembi amewataka watendaji wa Halmashauri kuwa wabunifu ukiwemo wa kutumia rasilimali ya takataka kuwa fursa ya kuzalisha nishati ya gesi na umeme hatua ambayo licha ya kusaidia kudumisha usafi itaongeza ajira na kuwarahisishia wananchi maisha...
UWAJIBISHWAJI WA SHIRIKA LA UMEME TANZANIA - TANESCO
Bila shaka tunatambua na kuona jinsi shirika letu la Umeme Tanzania ambavyo limekuwa likiendelea kutanua wigo wake wa kutoa huduma na kuja na mpango wa kuwafikia wakazi/wananchi waishio vijijini katika mpango wake wa ugawaji wa nishati ya...
Nimefika TANESCO kati ya saa saba naambiwa hakuna huduma mpaka saa nane.
Nadhani hii si sawa hili ni shirika la huduma huduma huwa haikatishwi. Hii ni huduma kama Benki, Hospitali, Fire, Police, kwa kifupi hizi huwa zinaitwa ‘essential service’ hata kama mtataka kugoma kuna utaratibu maalumu...
Itakumbukwa 28 Machi, 2023 kulikuwa a mechi baina ya timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) dhidi ya timu ya Taifa ya Uganda (Uganda the Cranes) kuwania kufuzu Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON). Siku hiyo umeme ulikatika wakati mechi hivo inaendelea katika Uwania wa Benjamin Mkapa...
kukatika kwa umeme
kukatika umeme
lawama
meneja
mkapa
radhi
saba
serikali
tanesco
umeme
uwanja
uwanja wa mkapa
uwanja wa taifa
viongozi
wasimamishwa
watendaji
watumishi
yanga
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.