tanesco

TANESCO
Shirika la umeme Tanzania(TANESCO) ni shirika la umma nchini Tanzania lililoanzishwa November 26, 1931 na liliitwa 'Tanganyika Electric Supply Company Limited' kazi yake kubwa ikiwa ni kuzalisha na kusambaza umeme nchini Tanzania.
  1. A

    Mradi wa REA umekuwa ukitukosha, Lakini iweje TANESCO wanatuuzia nguzo Tzs 500,000 Arusha Vijijini?

    Rais wetu, unastahiki kila aina ya pongezi kwa maono yako ya kuondoa giza kwenye kila kona ya nchi kwa miradi ya umeme vijijini. Lakini kwa sasa TANESCO Arusha wanatoza zaidi ya sh. 500.000 iwapo utahitaji nguzo moja, na hadi 600,000 kwa umbali wa nguzo mbili. Sasa huyu maskini anayeishi...
  2. Logikos

    Tanesco na Miradi Lukuki ambayo Hata Pesa hatujui tutapata Wapi ?

    Sijakosea najua hili ni Jukwaa la Jokes na nimeweka hapa sababu yanayofanyika ni kama Utani... Nimemsikia Makamba leo katika utiaji wa Saini za mikataba lukuki ambayo itahitaji pesa lukuki za kuweza kufanya umeme kuwa Historia yaani anasema kwama vile Mkapa alivyofanya usafiri kuwa mzuri...
  3. J

    DOKEZO Baadhi ya Watumishi wasio waadilifu TANESCO wachukua rushwa ya laki tano

    Hakika ukicheka na nyani utavuna mabua! Mtu mmoja aliyefahamika kwa majina ya WILFRED FRANK NJAU amesikika akilalamika kuombwa rushwa na maafisa wa TANESCO Mbezi beach, kiasi cha Laki tano ili apatiwe huduma ya umeme! Watumishi hao walifika katika nyumba ya NJAU wakiwa gari la TANESCO na...
  4. exaud morrey

    Serikali itafute mbadala wa TANESCO

    Habari zenu wana jamvi natumai muwazima. Kama kichwa cha habari kinavyo sema mimi naona kiukweli TANESCO kuna sehemu wamekwama haiwezekani mvua kidogo umeme unakatika pia shirika hili linaonesha limeshindwa kumudu kwenda na wakati. Mimi maoni yangu kwa serikali nawashauri waliuze au waruhusu...
  5. B

    Wapiga dili waiandama TANESCO

    Kumekuwa na tabia ya baadhi ya watanzania kudharau mambo muhimu na ya kimsingi hasa yanayofanywa na watanzania wenzetu wazalendo, jambo linalopeleka kulikwamisha Taifa letu kwenye kupiga hatua za kimaendeleo. Tabia hii imekuwa ni ya kudumu na imeendelea kukua kwa miaka na miaka hali...
  6. F

    Hili la TANESCO kufumua mfumo mzima wa Gridi ya Taifa, halina dalili za upigaji?

    Nimemsikia Waziri wa Nishati Mh January Makamba alisema, wizara yake imepanga kufumua mfumo mzima wa Gridi ya Taifa. Anadai wataweka vifaa vipya. Hii hujumuisha pia Sub stations ya vituo vidogo vya uzalishaji umeme. Hii gharama ya kuufumua mfumo itakuwa kubwa mno. Atakayeumia ni mlipa kodi...
  7. Occupy

    Naenda kudhalilika, nisaidieni kupata huduma ya TANESCO kwa haraka

    Habari wakuu, Watu hatuna STATUS sawa kwenye jamii ndio maana nimekuja kuomba msaada. Mimi ni mjasiriamali baada ya kuhitimu chuo mwaka jana nilikuwa nimejibana nikasevu pesa kidogo nikanunua Mashine za kukoboa na kusaga Mahindi (Mota na vinu viwili) ni miezi minne sasa tangu ianze kufanya...
  8. BARD AI

    Mkurugenzi TANESCO atakiwa kujieleza mbele ya Kamati ya Bunge (PIC)

    Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji na Mitaji ya Umma (PIC), imewatimua vigogo wa Shirika la Umeme Nchini (Tanesco) kwa kushindwa kufika mbele ya kamati hiyo kwa Mkurugenzi Mkuu na Mwenyekiti wa Bodi wa shirika hilo. Mbali na hilo, kamati hiyo imewataka vigogo wa shirika hilo kuandika barua...
  9. hp4510

    Tanesco huu mgao ni wa nini tena?

    Makali ya mgao Kwa mwaka 2023 naona yamekuja na ukali zaidi. Jana tumezimiwa umeme Kwa 12hrs kuanzia saa 12 asubuh mpaka saa moja jioni, Leo tena saa 12 kamili umezimwa na mpaka muda huu hakuna umeme. Basi mtupe ratiba nyingine, mlisema mvua now mvua zinanyesha sasa shida ni nn? Kigamboni dar...
  10. S

    Msaada: Jinsi ya kuunganishiwa umeme

    Ndugu Wana jamvi naomba munisaidie, hivi iliuunganishiwe umeme na Tenesco unatakiwa kufanya nini? Mimi ni mwenyeji Wa Mwanza, nimefanya jitihada zote ili niunganishiwe umeme imeshindikana. Ndio maana nauliza wanaounganishiwa umeme wanatumia njia gani?
  11. saidoo25

    "Hatuangalii sura mtu tunataka umeme upatikane katika Bwawa la Mwalimu Nyerere" Mbunge Manyanya

    MBUNGE wa Jimbo la Nyasa, Injinia Stella Martin Manyanya ameweka wazi kutoridhishwa na utekelezaji wa Mradi wa Bwawa la Kufua Umeme la Mwalimu Nyerere na kuweza wazi msimamo wake kuwa Tanzania lazima tujitambue na hatutaangalia sura ya mtu bali umeme upatikane Bwawa la Mwalimu Nyerere. "Na...
  12. Sambinyakwe kitololo

    Hivi TANESCO huu umeme ambao mmesema hamtakata sikukuu hii mmeutoa wapi

    Nazidi kuamini baadhi ya maneno kuwa hapa Kuna watu wachache wanahujumu taifa kwa faida zao wenyewe Inakua haina tofauti na kauli ya jamaa mmoja aliewahi sema mo atapatikana siku flani na kweli akapatikana Hawa ndugu zetu tanesco kwa kweli wanatutesa Sana nawaza huu umeme ambao haukatiki na...
  13. Mystery

    Mkurugenzi Mkuu wa TANESCO, Maharage Chande asema pamoja na kukamilika kwa mradi wa Bwawa la Nyerere, watanzania tutegemee migao zaidi!

    Nilishangazwa Sana na kauli aliyoitoa Mkurugenzi Mkuu wa TANESCO, Maharage Chande, eti pamoja na mradi wa Umeme wa Bwawa la Nyerere, kukaribia kukamilika, watanzania tutegemee mgao zaidi wa Umeme, Kwa kuwa mahitaji ya Umeme wa nchi hii ni Megawatt 60,000😎 Maneno hayo aliyatoa katika mjadala...
  14. T

    TANESCO wamepata wapi umeme wa kuiuzia Zanzibar Tshs 30 kwa unit?

    Nimemsikia waziri kutoka Zanzibar akisema kwamba Kuna kero moja kubwa imeondoshwa kwa tanesco wamekubali kuiuzia Zanzibar umeme Kwa shs 30 Kwa unit. Huu umeme wa bei hiyo umetoka wapi?
  15. Roving Journalist

    Rais Samia akishiriki shughuli ya kuanza kujaza maji Bwawa la Julius Nyerere (JNHPP), 22/12/2022

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akishiriki shughuli ya kuanza kujaza maji kwenye bwawa la Julius Nyerere (JNHPP) leo Desemba 22, 2022 Maharage Chande, Mkurugenzi wa TANESCO Maji yanayopita katika mashine moja ya kufua umeme ni lita 225,000 kwa sekunde, wakati kwa...
  16. saidoo25

    Kongamano la Wahariri limeacha maswali mengi. Nani yuko nyuma?

    Kongamano la Wahariri naweza kusema limeacha maswali mengi sana kuliko mafanikio tuliyotarajia tuyaone kutokea hapo. 1. Nani aliyewalipa posho na malazi kwa siku zote walizokaa Iringa(Yeye mlipaji ananufaikaje kwa fedha zake alizotoa) 2. Wametajwa wabunge, majaji, mawaziri kuwa ndio...
  17. Roving Journalist

    Bwawa la Mwalimu Nyerere kuanza kujazwa maji Desemba 22, 2022

    Ujenzi wa Bwawa hilo (JNHPP) ambao hadi Novemba 2022 ulikuwa umefikia 77.15%, unatazamiwa kufikia 80% wakati mchakato wa kujazwa maji utakapoanza. Meneja Mawasiliano wa Shirika la Umeme Tanzania TANESCO, Elihuruma Ngowi amesema “Ujazaji maji utaanza wiki ijayo Desemba 22, 2022 na siyo leo...
  18. Roving Journalist

    Rais Samia kuzindua zoezi la ujazaji maji katika Bwawa la Julius Nyerere, Disemba 22

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika tukio la kushuhudia ufungaji wa lango la handaki mchepuko (diversion tunnel) ili kuruhusu maji kuanza kujaa katika bwawa la kufua umeme la Julius Nyerere litakalofanyika siku ya Alhamis, 22...
  19. BARD AI

    Maji yatakayojazwa Bwawa la Nyerere (JNHPP) yanaweza kuzalisha Umeme kwa mwaka mmoja bila kutegemea mvua

    Akizungumza na waandishi wa habari kutoka eneo la mradi huo uliopo katika bonde la mto Rufiji, Waziri wa Nishati, January Makamba amesema mpaka sasa ujenzi wa bwawa hilo umefikia asilimia 78.68 ambayo ni hatua ya awali ya kuanza kujaza maji na inategemewa kuchukua misimu miwili ya mvua iliyo...
  20. M

    Makamba: Itachukua misimu miwili ya mvua kujaza Bwawa la Nyerere

    Waziri wa Nishati, Januari Makamba amesema itachukua misimu miwili ya mvua kulijaza bwawa na kuanza kujaribu mitambo kwani Bwawa la Mwalimu Nyerere linahifadhi lita 33.2 bilioni za maji na kama zikitumika na mitambo yote itaweza kuendesha mitambo kwa kipindi cha mwaka mmoja. Waziri Makamba...
Back
Top Bottom