Makali ya mgao Kwa mwaka 2023 naona yamekuja na ukali zaidi.
Jana tumezimiwa umeme Kwa 12hrs kuanzia saa 12 asubuh mpaka saa moja jioni, Leo tena saa 12 kamili umezimwa na mpaka muda huu hakuna umeme.
Basi mtupe ratiba nyingine, mlisema mvua now mvua zinanyesha sasa shida ni nn?
Kigamboni dar...