tanesco

TANESCO
Shirika la umeme Tanzania(TANESCO) ni shirika la umma nchini Tanzania lililoanzishwa November 26, 1931 na liliitwa 'Tanganyika Electric Supply Company Limited' kazi yake kubwa ikiwa ni kuzalisha na kusambaza umeme nchini Tanzania.
  1. KERO TANESCO badilisheni mita za umeme kausha damu mnatuumiza sana

    Kuna hizi MITA tukiweka luku ya 10,000 tunapata units 28 badala ya 56, Hivi mlitumia vigezo gani kutuumiza hivi? Bora mtupatie mita mpya Ili tununue umeme wa kutosha na wateja waongezeke. Ongezeko la wateja litawaongezea mapato. Na Kodi ya majengo nayo Bado kizungumkuti, sisi wenye majengo...
  2. TANESCO NAO WAANZA KUTEKA WATU

    Familia imetoa habari kamili kuhusu utekaji niliyogusia jana Kijana Prosper Theonas Mjaly ametekwa Ijumaa tarehe 2 Agosti na kuna watu walifika na Land Cruiser Hardtop ya milango mitatu Walidai wametoka Tanesco na kwamba mita inaonyesha kuna deni kubwa na kwamba aende polisi kumaliza hili suala...
  3. Hivi ndivyo TANESCO wanavyotoa ajira kwa Upendeleo na kujiana

    Hivi ndivyo TANESCO wanavyotoa ajira kwa Upendeleo na kujiana. Hili ni shirika la Umma lakini linatoa mianya ya Upendeleo wakayi wa recruitment. Jambo hili husabisha vijana wenye sifa kukosa kazi huku vijana wasio na sifa kupata kazi, jambo linalipelekea Huduma mbovu na performance ndogo ya...
  4. K

    KERO Sinza A Umeme tunakatiwa kila siku

    Wadau, huku kwetu sinza A ni changamoto, siku haibadiliki bila umeme kukatika sio chini ya mara mbili, sasa hatuelewi ni mgao au ni uamuzi wa wenye nchi kutufanyia hivi.
  5. TANESCO kukata umeme baadhi ya maeneo Mkoani Dar tarehe 28 Julai 2024

    TAARIFA YA KUKOSEKANA KWA HUDUMA YA UMEME KUZIMWA KWA BUS BAR YA MSONGO WA KILOVOLTI 220 KATIKA KITUO CHA KUPOZA UMEME CHA UBUNGO 27 JULAI, 2024 Shirika la Umeme Tanzania, linawatangazia wateja wake wa Mkoa wa Dar es salaam kuwa kutakua na katizo la umeme katika maeneo yao. Sababu: Kuwezesha...
  6. B

    TANESCO hiki mnachofanya tuite wizi, ukwapuaji, unyang'anyi, au uhujumu uchumi

    TANESCO kwa nini mbona mnakwapua pesa za wanyonge bila huruma. Mwanzo wananchi walipiga kelele kuwa mmepandisha kodi ya jengo kutoka 15,000/= hadi 2,000/=lakini mlikuja kukanusha huku ukweli mkiujua. Sasa hivi kuna uhuni unaofanywa wakati wa kununua umeme kuliko hapo awali. Sasa hivi karibu...
  7. KERO Kwa nini mafundi wa TANESCO mmeacha nyaya chini kama zinavyoonekana kwenye picha?

    Nimerudi kazini umeme hamna, Watoto wanasema mafundi wa TANESCO walikuja kufungua nyaya kwenye nyumba ya jirani (tunashea nguzo) kisha wakaziacha chini kama hivi kwenye picha. Wakasepa zao , nimepiga simu na kuwatumia TANESCO whatsap wakanipa kumbukumbu namba kisha baada ya dakika mbili...
  8. Kampuni binafsi ya kuzalisha umeme ya Madope kukabidhi miundombinu ya umeme kwa TANESCO

    Kampuni binafsi ya kuzalisha umeme ya Madope iliyopo Wilayani Ludewa mkoani Njombe, imefikia makubaliano na Serikali ya kukabidhi miundombinu ya kusafirisha na kusambaza umeme kwa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) mara baada ya kusainiwa kwa mkataba. Hayo yamebainishwa na Naibu Waziri...
  9. N

    Tanesco kuendelea kukata Tsh 2000 kwenye LUKU kama tozo ya serikali ni wizi wa pesa za Watanzania.

    Hivi karibuni Watanzania kupitia mitandao mbalimbali walionesha ghadhabu juu ya ongezeko la kodi kwenye LUKU kutoka Tsh 1500 mpaka 2000 pasipo kutoa notice kwa umma. Baadae TANESCO walitoa maelezo kwamba ongezeko hilo ni deni la nyuma kwa baadhi ya wateja, cha kushangaza mambo yamekuwa tofauti...
  10. Naomba elimu kuhusu masuala ya kodi kwenye kununua na kuuza umeme

    Hivi nikinunua umeme natozwa VAT 18% je, Tanesco naye anawajibika kulipa TRA 18% ya umeme wote alio tuuzia sisi wananchi, kama ndio kwanini VAT inalipwa mara mbili kwa serikali kati ya watu 2 wanao fanyiana biashara. Je, hii sio double taxation? Au mimi nikilipa VAT kwenye umeme na ndio hiyo...
  11. KERO Serikali imeongeza tozo LUKU kutoka Tsh 1,500 mpaka Tsh 2,000 kimya kimya

    Kwa sasa makato ya kodi unaponunua LUKU yameongezeka kutoka TZS 1,000 mpaka TZS 2,000. Tunaomba maelezo kwanini gharama hizi zineongezeka? Kuna sababu gani ya kuendelea kufanya maisha ya watanzania kuwa magumu ili hali mabwawa ya umeme yaliyotumia matrilioni ya kodi za wananchi...
  12. I

    Dismas Massawe, Mkurugenzi wa Huduma za Ufundi-ETDCO: Miundombinu duni vijijini inachangia baadhi ya Miradi kutokamilika kwa wakati

    Katibu Mkuu Wizara ya Nishati, Felchesmi Mramba ametoa wito kwa Kampuni ya ETDCO ambayo ni kampuni tanzu ya Tanesco kuongeza ubunifu zaidi katika utekelezaji wa majukumu yao ikiwemo kutumia vifaa vyenye teknolojia bora vinavyoenda na Dunia ya sasa. "ETDCO mnaendelea vyema na jitihada za...
  13. A

    KERO TANESCO kuna shida gani mpaka niambiwe nina deni la Tsh 18,000 kwa mita iliyofungwa Septemba 2023?

    Nimejaribu kununua umeme Leo wa TSH 5000 naambiwa nadaiwa deni kubwa kuzidi hiyo pesa siwezi pewa tokeni Na mwezi uliopita nimenunua wamekata pesa yao ya jengo 1500. Nimepiga huduma kwa wateja naambiwa nadaiwa deni la MIEZI 12 sawa na Tsh. 18,000 hivyo ni nunue wa elfu 20. Mita yenyewe haina...
  14. KERO Nimepiga simu Tanesco kuhusu makato kodi ya Jengo, hata wenyewe hawajui kwanini wamenikata. Huu wizi!

    Nimepiga simu Tanesco, wamesema mita yangu ilikuwa inadaiwa 18,000 kwa mwaka wa fedha ulioisha(2023/24) hivyo wamekata pesa hiyo niliponunua umeme leo. Nikawauliza mbona wamekuwa wakinikata kila mwezi, hili deni wanalosema sijalipa mwaka mzima limetokea wapi? Majibu(TANESCO ): Hizi taarifa...
  15. TANESCO imeshindwa kupata suluhu ya tatizo la umeme kukatika ovyo?

    πš‰πšŠπš’πšπš’ 𝚒𝚊 πš–πš’πšŠπš” 60 𝚒𝚊 πš„πš‘πšžπš›πšž 𝚠𝚊 πšƒπšŠπš—πšπšŠπš—πš’πš’πš”πšŠ πš‹πšŠπšπš˜ πš”πšžπš—πšŠ πšŒπš‘πšŠπš—πšπšŠπš–πš˜πšπš˜ 𝚒𝚊 πš—πš’πšœπš‘πšŠπšπš’ 𝚒𝚊 πšžπš–πšŽπš–πšŽ πš”πšŠπšπš’πš”πšŠ πš—πšŒπš‘πš’ 𝚒𝚎𝚝𝚞. π™ΉπšŽ, πš‚πš‘πš’πš›πš’πš”πšŠ πš—πšŠ πš πš’πš£πšŠπš›πšŠ πš‘πšžπšœπš’πš”πšŠ πš πšŠπš–πšŽπšœπš‘πš’πš—πšπš πšŠ πš”πšžπš™πšŠπšπšŠ πš–πš πšŠπš›πš˜πš‹πšŠπš’πš—πš’ πš”πšŠπšπš’πš”πšŠ πš‘πš’πš•πš’?
  16. TANESCO: Hakuna kodi iliyoongezeka kwenye Majengo, pesa iliyokatwa ni deni la Julai 2023

    Baada ya Mdau wa JamiiForums.com kuhoji kuhusu makato ya Tsh. 2,000 kwenye LUKU, Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limesema hakuna ongezeko la Kodi ya Majengo isipokuwa pesa hizo zimekatwa kufidia madeni yaliyotakiwa kulipwa 2023/24. Pia Soma: -
  17. Magufuli aliondoa 'Service Charge' Tanesco ya 7,000 lakini Serikali ya sasa inazirudisha tozo kidogokidogo kupitia mfumo wa Luku

    Watu wengi wanaweza kuwa wamesahau, wakati Serikali ya awamu ya tano inaingia madarakani ilikuta shirika la umeme nchini(TANESCO) wanakata 7000 kila mwezi kama gharama ya kuhudumia laini. Ilikuwa pesa flani ya mtelezo kwa Serikali na shirika la umeme, 7000 ukizidisha na wateja wote wa kawaida...
  18. Tanesco kodi ya jengo imepanda?

    Wanajamvi leo nimenunua umeme wa 25,000/= na makato yalikuwa kama ifuatavyo: MAKATO 1. VAT 2,803 2. EWURA (1%) 155.74 3. REA (3%) 467.21 4. DEBT COLLECTED 6000 TOTAL 9,426 BALANCE FROM MY 25,000 = 15,574 Sasa hii 6000/= ni ile kodi ya majengo imepanda?
  19. Mikoa 15 kukosa umeme Julai 3 na 4 kutokana na umaliziaji njia Umeme wa SGR Msamvu - Dodoma

    NISHATI: Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limetangaza kuzimwa kwa huduma katika Njia Kuu ya Kusafirisha Umeme wa Msongo wa Kilovoti 220 kutoka Msamvu hadi Dodoma ili kuruhusu umaliziaji kazi kwenye vituo vya Treni ya Reli ya Kisasa (SGR) vya Msongo wa Kilovoti 220/33 Mikoa itakayoathirika...
  20. L

    TANESCO mmeanza mgawo Arusha?

    Mmekata umeme toka saa mbili asubuhi bila taarifa yoyote hadi muda huu hamjarudisha tuelewe vipi ?Mgao umeanza au?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…