tanga

Tanga is both the name of the most northerly port city of Tanzania on the west of the Indian Ocean, and the surrounding Tanga Region. It is the regional headquarters of the region. With a population of 273,332 in 2012, Tanga is one of the largest cities in the country. It is a quiet city compared to, for example, Arusha or Moshi with a comparable number of inhabitants.
The city of Tanga sits on the Indian Ocean, near the border with Kenya. Major exports from the port of Tanga include sisal, coffee, tea, and cotton. Tanga is also an important railroad terminus, connecting much of the northern Tanzanian interior with the sea. Via the Tanzania Railways Corporation's Link Line and Central Line, Tanga is linked to the African Great Lakes region and the Tanzanian economic capital of Dar es Salaam. The city is served by Tanga Airport.
The harbour and surrounding is the centre of life in Tanga. It has several markets in several neighbourhoods.

View More On Wikipedia.org
  1. S

    TAKUKURU Tanga, vipi kesi inapomaliza zaidi ya mwaka?

    Ipo kesi moja mkuu wa shule alichukua fedha, vifaa na alishirikiana na mkurugenzi wa Jiji na afisa elimu katika wizi huo. Mkuu wa shule alianzia wizi kwenye utangazaji wa zabuni na anamiliki mihuri feki na TAKUKURU wanajua. Walioshiriki kubeba vifaa vya serikali wametoa ushahidi. Wizi...
  2. Zum

    Wazo la biashara mtaji wa Milioni 5 hadi 6 Mkoa wa Tanga au Dar

    Habari Naomba wazo la biashara kwa mtaji wa milioni 5 mpaka 6. Biashara gani itakidhi kwa kiwango hiki cha pesa? Uzoefu nilionao, katika maswala ya ICT kwa level ya kawaida na kazi za stationery. Shukrani.
  3. U

    Dkt Philip Mpango Mgeni Rasmi Ufunguzi Mkutano Mkuu wa BAKWATA Tanga

    Wadau wa JF Makamo wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Philip Isdory Mpango atakuwa mgeni rasmi kwenye ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) Mkutano huo mkuu utafanyika siku ya Jumapili Juni 27,2021 Mkoani Tanga Taarifa imetolewa na Katibu Mkuu wa...
  4. T

    Mwalimu aliyewahi kunyanyaswa na Mkurugenzi wa Tanga Jiji amefariki dunia

    Mwalimu ambaye aliwahi kudhulumiwa fedha zake za uhamisho na akajibiwa vibaya na mkurugenzi wa Tanga Jiji amefariki dunia juzi na amezikwa leo mkoani Arusha. Mwalimu huyo alinyimwa fedha za uhamisho na alipofika kwa mkurugenzi alijibiwa vibaya na kupoteza fahamu kisha kupelekwa hospitali kwa...
  5. S

    Rais Samia, unda tume huru ya kuchunguza madhila wanayopitia wananchi wa Tanga

    Waziri wa TAMISEMI Ummy Mwalimu amekua akizunguka maeneo mbalimbali akisisitiza ukusanyaji wa mapato na matumizi sahihi ya fedha hizo, amewataka viongozi waliopo chini ya wizara yake kuzingatia taratibu zote katika utumishi wa umma. Mbaya zaidi alipokua ziarani Tanga alimtolea mfano Martin...
  6. S

    NSSF Tanga badilikeni, wahudumu mnaonesha chuki kwa wateja

    Nimefika pale kuulizia huduma fulani lakini hakuna wahudumu wa kutosha (dirishani yupo mhudumu mmoja tu) foleni ni ndefu mno. Chumba kimejaa wateja lakini wahudumu wanajipitishatu na visuruali vyao, majibu yao ya hovyo. Watumishi wa hiyo ofisi wanachukulia wateja kama ombaomba. Hamjui kama kuna...
  7. T

    Katibu Mkuu CCM weka alama Tanga

    Mh. Daniel Chongolo Katibu Mkuu wa chama tawala,ninakusalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ukiwa ziarani Tanga ninajua sipo nje ya ajenda zako lakini ninakupa dondoo kidogo kwamba kero zilizopo Tanga ni. Migogoro ya ardhi iliyosababishwa na Shigela,Mayeji na kikosi kazi chao cha...
  8. Miss Natafuta

    Natafuta binti wa kazi kutoka Tanga anayejua kuendesha bodaboda

    Naitaji binti mdogo kutoka Tanga Sifa zake Ajue kuendesha Bodaboda Ajue kupika bites zote Ajue kusoma na kuandika Majukumu yake Kusafisha nyumba na mazingira Kufua na kupika sometimes nyumba ina mke na Mume tu Kulisha mbwa na kuku sio wengi na Bata bukini 4 tu Kutengeneza bites za kuuza maduka...
  9. T

    Aisome RAS wa Tanga

    Wiki mbili zilizopita iliripotiwa habari ya uvunjwaji wa kanuni katika matumizi ya fedha kwa manaibu makatibu wa Tume ya Utumishi wa Walimu(TSC) wa wilaya za Tanga na Mkinga. Wahusika hao wamekuwa wakisainiana hela bila kushirikisha watumishi wengine ndani ya ofisi hizo jambo ambalo ni kinyume...
  10. the numb 1

    Onyo kwa Wadada: Usifikiri kumpa mpenzi wako kinyume na maumbile ndio atazidi kukupenda au kuzidisha upendo

    Ndugu zangu kwa miaka ya sasa hivi ukihitaj mwanamke wa maisha(future) hakikisha inakupasa umshirikishe Mola wako. Kwasababu sikuhizi wanawake wengi wameharibika wengi wanafanywa kinyume na maumbile mwanamke ameshakaa geto na mchizi zaidi ya mwezi magetoni jamaa anajilia vyombo na nyumbani kwao...
  11. R

    Msaada: Wanaoijua Mgambo JKT Tanga ikoje mazingira yake?

    Mwenye kuifahamu Mgambo anisaidie mazingira yakoje> Panafaa kwenda? au ni mateso? Haya makambi yanatofautiana ingawa kote ni mitulinga ya Jeshi.
  12. Q

    Ni mara ya 6 tunashuhudia utiaji saini bomba la mafuta Hoima - Tanga

    Aug 5. 2017 Museveni alikuja Tanga kuweka jiwe la msingi, baadaye JPM alienda Uganda kusaini, September 2020 Museveni alikuja Dar kutia saini, Museveni akaja tena Chato kusaini, April 11, 2021 Rais Samia akaenda Uganda kusaini, jana Mseveni kaja tena Dar kusaini. Dah! Kazi iendelee...
  13. Linguistic

    Ikulu Dar: Rais Yoweri Museveni na Rais Samia Suluhu washuhudia utiaji saini wa mikataba ya utekelezaji wa mradi wa bomba la mafuta

    Rais wa Jamhuri ya Uganda, Mhe. Yoweri Kaguta Museveni leo tarehe 20 Mei, 2021 atafanya ziara ya kikazi ya siku 1 hapa nchini kwa Mwaliko wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan. Akiwa hapa nchini Mhe. Rais Museveni na Mhe. Rais Samia watashuhudia utiaji saini wa...
  14. S

    Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU afande Hamduni anza na Tanga

    Afande Hamduni hongera sana kwa kuaminiwa. Takukuru Tanga inakila sababu ya kumulikwa kwani inaungana na wanaotuhumiwa. Wapo watumishi wasio waadilifu pale zikitolewa taarifa za rushwa wanawapa taarifa wale waliotuhumiwa. Takukuru Tanga wananunulika kwa uwazi kwani mlalamikaji anawekwa...
  15. M

    TAMISEMI njooni muondoe wezi Tanga Jiji na Mkinga

    Ninawasalimu wanajukwaa wa JF Wakati Mh.Rais akitembea na kauli mbiu ya kazi iendelee,wapo manaibu makatibu wawili wa Tume ya Utumishi wa Walimu(TSC) wa wilaya za Tanga Jiji na Mkinga Halmashauri kauli yao itakua wizi unaendelea. Wanafanya wizi wa dhahiri,unyanyasaji,uonevu na ukandamizaji wa...
Back
Top Bottom