Nimekutana na tangazo la dawa za nguvu za kiume huko Instagram lililotolewa na Wema Sepetu. Katika tangazo hilo lenye lengo la kujiingizia kipato kupitia biashara hiyo ya dawa za nguvu za kiume, kuna mtu ametolewa kama mfano, wanamuita CK wa ikulu sijui kwa jinsi nilivyosikia humo, lengo likiwa...
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Shirika la Reli Tanzania (TRC) kwa Kushirikiana na Taasisi ya Sekta Binafsi (TPSF) inapenda kuwaalika wafanyabiashara, watoa huduma, wakandarasi, wasafirishaji wa mizigo na wadau wote katika Kongamano la wadau utakaofanyika jijini Mwanza katika...
Habar wanaJF,
Aliyesema kuwa wanawake na mama zetu tusiwaamini hakukosea leo kwani huenda wazazi wetu wa kiume walio tulea sio baba zetu.
Leo Rikardo Momo amesema kuwa mzee Abdul sio baba yake Diamond na kusema kuwa yeye na Diamond wanachangia baba na baba yao anaitwa Mzee Salim Nyange.
Haya...
Naomba ujumbe huu uwafikie Chuo Kikuu Huria cha Tanzania ambao wameweka Tangazo kwenye tovuti yao kwa ajili ya wanafunzi wapya, lakini tangazo hilo halipakuliki (Undownloadable).
Hii ni hata baada ya kutumia browsers tofauti tofauti. Tunaomba wafanyie kazi ili wanafunzi wapya wapate kujua ni...
Kwa sasa anaeongea ni spika wa Bunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na anasema kikatiba wabunge wanaotakiwa ni 393 jumla na waliopo ni 359 wakisubiri wabunge watano kutoka baraza la wawakilishi, wateule 10 wa Rais, viti maaum kutoka vyama vingine.
Kwa sasa spika anamkaribisha Rais Magufuli...
Behewa, Kontena, Mataruma ya reli, Reli, Magari na vifaa mchanganyiko chakavu katika Mikoa ya Dar es Salaam, Pwani, Morogoro, Dodoma, Singida, Tabora, Shinyanga, Mwanza, Kigoma, Katavi, Kilimanjaro na Tanga
https://www.trc.co.tz/tenders
Mbona kitaa tuna ULINZI SHIRIKISHI? Kwanini wananchi wasishirikishwe kulinda kura? Kwani Tume ya Uchaguzi si ya kwao?
Kitendo cha Nec kupiga makelele kwamba hakuna ruhusa kulinda kura, kinawafanya wananchi wahisi kuwa NEC wanataka kuiba.
Na wanazidi kukosea kwa kumuandama mgombea anayetetea...
Leo tarehe 5 Oktoba, katika Kongamano la Kuadhimisha Siku ya Walimu Duniani lililoandaliwa na CWT, Dodoma, Rais John Pombe Magufuli alipiga simu 'live' na kuongea na washiriki wa kongamano na pia kukanusha kufutwa kwa ualimu wa ngazi ya cheti.
Rais Magufuli amewataka walimu kupuuza taarifa hiyo...
NEC najua hapa JamiiForums mpo na 'mnanikodolea' zenu huku wengine hata mkiwa 'mnaninunia' pengine kwa 'Kuwasema' Kwangu ila nina bahati mbaya moja tu Mimi ni kama Bahari ambayo daima huwa haikai kamwe na Uchafu hivyo 'mnivumilie' tu na 'mnizoee' vile vile. Msiposemwa hamtobadilika na...
Hili tangazo ni hatari sana. Linashawishi watu kufanya kazi pasi na kuchukua tahadhari stahiki za kiafya, eti kwa sababu ya brand yako ya maziwa.
Unaruhusuje tangazo kama hili liende hewani? Tangazo ambalo linawashawishi watu kufanya kazi bila kufuata kanuni bora za afya eti tu kwa sababu...
Habari za sasa jf?
Taasisi ya mamlaka ya elimu Tanzania, TEA, imetoa fursa ya ufadhili wa miradi ya kuendeleza ujuzi kwa makundi maalum ya vijana wanaoishi katika mazingira magumu
Fungua PDF hii na tembelea mitandao mbalimbali kwa taarifa zaidi
Tangazo la coca cola kwenye kombe la dunia la mwaka 2010 (sina hakika sana)
Jamaa (mchepuko) yuko ndani na mke wa mtu, mwenye mke karudi ghafla, akajificha kwenye kabati la nguo, mwenye mke akakaa chumbani anaangalia mpira, Goli limefungwa jamaa akaanza kushangilia, mara gafla anaona mtu...
Jamani, ni kweli tuko kwenye utandawazi lakini haya matangazo yamezidi ukali utasikia Kondomu ina vidoti inanukia inaongeza utamu au yule binti yuko chooni analia damu zimemtoka ghafla hana Pedi mambo hayo yanatia ukakasi au ni ushamba wangu tu ndo unanisumbua.
Waandamanaji nchini Afrika Kusini wamewalazimisha wenye maduka ya dawa na vipodozi kufunga maduka yao, baada ya kurushwa kwa tangazo la nywele ambalo wanadhani kuwa la ubaguzi wa rangi.
Tangazo hilo linaonesha picha za nywele za kiafrika zikiwa kavu na hazina muonekano mzuri wakati nywele za...
TBC katika taarifa yao kwa maelekezo kutoka Tume ya Uchaguzi ya Taifa wametoa maangalizo mengi lakini mimi moja ambalo nimeliona kama mgombea Urais kupitia CCM analikiuka sana.
Lile tangazo linasema kuwa kama mgombea atakuwa jukwaani anamwaga sera basi atumie lugha ya Kiswahili tu, kama...
Hello wana bodi!!
Naomba kuuliza hivi hawa 'Haki Elimu' na Tangazo lao la Mwanafunzi hataki kwenda shule kwakuwa anatongozwa na mwalimu wake lina 'credibility' na 'validity' kiasi gani?
Moja, hivi sample size yao kwenye huo utafiti ilikuwa ni walimu wangapi wenye tabia hiyo kiasi kwamba liwe...
Takribani wiki NNE au TATU zilizopita waziri wa OR - TAMISEMI Ndg Selemani Jaffo alizungumza na waandishi wa habari...
Kati ya mambo mengi aliyozungumza, aliutangazia umma pia kuwa, serikali imeshatangaza AJIRA MPYA ZA UALIMU 12,000 kwa shule za Msingi & Sekondari...
Ukiingia katika website ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.