Kama mnavyo ona ndugu zetu waliopata ajira TRA hili tangazo ni la ukweli maana mwanzo walisema makao makuu TRA walioitwa kazini wanapaswa kufika leo Wanasema ITA Mikocheni na masharti km yote
Mwalimu yupo darasani anasema, which is talking? Wanafunzi wanaishia kushangaa.
Tangazo hili la haki elimu ni kama linadhalilisha kada ya ualimu. Je ni kweli walimu wengi hawajui Kiingereza? Sasa inakuaje mtu anafika hadi chuo kikuu hajui kimombo? Je kada nyingine nazo vipi kuhusu kujua...
Corona, Covid 19? Imeisha? Imeishaje ishaje? Mbowe si alikuwa mpaka anavaa gloves zile za waendeshea pikipiki? It was stupid.
Nliwahi sema aachane na hayo mambo ya kijinga mkanitukana sana.
Mimi nitasema ukweli fitna kwangu mwiko. Tunaona kwenye kikao hakuna aliyevaa Barakoa, hakuna social...
Mamlaka ya uendeshaji wa jengo refu zaidi duniani la Burji Khalifa lililoko Dubai hutoza kati ya dola 67,000 hadi 87,000 ambazo kwa ubadilishaji fedha kwa haraka haraka inafiki Tshs. Milioni 157 hadi 200 hivi kwa dakika 3 kuweka tangazo kwenye jengo lote la Burji Khalifa.
Fedha hii kwa nchi...
TANGAZO LA TUWAPISHE WAZEE WAHUDIMIWE KWANZA LIFANYIWE MABORESHO ILI LISILETE MIGOGOGORO
Anaandika Robert Heriel.
Jana nilikuwa moja ya Hospitali za hapa Jijini DSM, nikakuta tangazo limeandikwa MPISHE MZEE AHUDUMIWE KWANZA" Sasa nikawa najiuliza Hapa Mzee anayezungumziwa ni mtu wa Aina gani...
Kwa wale wataoweza mikoani Mimi nipo Dodoma nauza sponge za kutengeneza masofa wanaziiita SHEET kitaalamu hizi ni zile chakavu tunauza kwa kilo kama wewe ni fundi hii kutasaidia kukupunguzia matumizi makubwa ya pesa kwenye kukununua sheet special sisi tunauza kg sh 6000 kwa kilo popote...
Miaka zaidi ya 10 iliyopita Serikali ya Jamhuri ilikuwa inapambana kuboresha mazingira ya kufanya biashara nchini. Report ya world bank wakati ule ili rank Tanzania 121 kwa mazingira magumu zaidi ya kufanya biashara TPSF na wadau wake kupitia doing business Roadmap wakapambana mno. Kwa tathmini...
kuna ajira mmetangaza
kwenye nafasi ya kazi ya udereva zile sifa za
dereva mnayemtaka kwamba awe amesoma kozi ya mwaka mmoja basic certificate ya udereva , sijawai kusikia kozi hiyo ya mwaka 1
ni vyema mkasahiisha lasivyo mmewachanganya vijana
kuna mmoja kaniuliza bro kuna chuo hapa bongo...
Napenda kujua concept ya nafasi ya kazi kuwa re-advertised uwa inakuwa Mara ngapi kwenye kazi fulani.
Kuna nafasi Moja walitangaza utumishi mwezi wa saba wakairudia mwezi wa nanë na watu hawakuitwa kwenye usail, Mara zotë inakuaje kwanini wasiendelee kutangaza hilo tangazo kwani inakuaje...
Ni mara chache Jeshi letu la Wananchi kuja na tamko zito kama hili kunani? Je ni kuhusu ugaidi unawosemwa katika mitandao ya kijamii? ama tuvute subira hadi hiyo kesho saa nne (4) asubuhi kujua ni habari hiyo ya kustua.
Pia soma: News Alert: - Upanga, Dar: Yaliyojiri kutoka Ukumbi wa JWTZ...
Habari wadau,
Nimemsikia waziri wa TAMISEMI akitoa angalizo kuhusu michango ya wananchi kwa ujenzi wa madarasa na zahanati. Akisitiza wananchi wasitozwe pesa katika ujenzi wa zahanati na madarasa. Ni kweli ni wazo zuri lakini litatukosesha ulaji sisi watendaji wako wa chini.
Kwani kuna...
Soda na Soft drinks zote ni hatari kwa afya ya binadamu. Binadamu hakuumbwa kubugia sukari nyingi namna anayobugia leo. Sukari nyingi huleta unene wa kupitiliza, kitu ambacho huleta kisukari, magonjwa ya moyo nk.
Ni wakati sasa, kama ilivyo kwenye bia; Kwa matangazo yote ya vinywaji laini na...
Nisaidieni ndugu zangu nikashtaki wapi hawa jamaa wa Tigo, FCC au mahakamani? Wana tangazo lao la kina Mkude Simba kwamba wameongeza mzigo kiasi kwamba mtu anakaribishwa pilau ila anasema subiri kwanza namaliza kuangalia movie maana Tigo wameongeza mzigo wa dakika na mb's
Kwa nini tunafanyana...
Nisiwachoshe bure nitaandika kifupi sana. Kuna tangazo limepata airtime kubwa kwenye ITV kuhusu Vanilla International inayo promote kilimo cha vanilla wilayani Njombe. Bottom line ni bei ya soko ya kilo moja kuwa ni Tsh 850,000.
Wasiwasi wangu:
1. Kama faida ni kubwa hivyo kwa nini wasilime...
Kupitia ukurasa wao wa Twitter, klabu ya Yanga imetoa tangazo kuelekea Nigeria siku ya Ijumaa na Kurudi Jumapili baada ya mechi.
Yanga wamewaomba mashabiki wao kuwasapoti kwenda Nigeria kwa ajili ya mchezo wa marudiano dhidi ya Rivers United kupitia ATCL.
Sasa mtu atatoaje kiasi chote cha hela...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.