Habari za mchana wana JF,
Moja kwa moja. Ninavyojua tokea elimu ilivyoanza rasmi kutolewa hakuna ada yeyote inayolipwa mpaka mwanafunzi anafanya mtihani na kumaliza kila kitu bure kasoro kidato cha tano na cha sita sasa kilichofutwa leo ni kipi?
#UziTayari
SIFA ZA KING'AMUZI CHA CANAL+
1. Bei ya decorder pekee ni Tsh 130,000/=, bei ya decorder na dish(complete) ni Tsh 165,000/=.
Vyote hivi vitakuwa na kifurushi cha Tsh 40,000/= kwa mwezi mmoja bure.
2. Kupitia hicho kifurushi cha kuanzia utafanikiwa kuangalia mechi za ligi zote kuanzia EPL, La...
Habari, Kuna tangazo lilitoka la MDA's na LGA's muda kama mwezi na kitu hv nami niliomba lakini mpaka leo sijaona tangazo la kuita kwenye usaili toka PSRS. Je Kuna mtu aliona tangazo la usaili juu ya tangazo hilo au ana maelezo zaidi tafadhali.?
Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania Dayosisi ya Kaskazini Mashariki imepata kibali cha ajira 6 za Watumishi wa Kada za afya kwa ajili ya Hospitali na vituo vya afya.
Sifa za waombaji ni kama ifuatavyo;
DAKTARI DARAJA LA II (NAFASI 1)
Waombaji wawe na Shahada ya Udaktari wa binadamu...
Watanzania tuna silka yetu ama ukipenda tabia yetu iliyozoeleka ya kutokupigana hasa tunapokuwa kwenye mtanziko ama mkwamo wa Jambo lolote lile.
Huu siyo uzumbukuku, uzoba ama uzwazwa kama wengi wasemavyo bali ni karama toka kwa mola waliopewa watu wa taifa hili. Nchi hii ni Kisiwa cha baraka...
Nikili yakuwa lile tangazo nililoliweka jukwaa ili limenipatia picha Kamili ya vijana waliomo humu wengi yakuwa hawajui maana ya matumizi ya mitandao.
Nitaeleza vyema naomba mnielewe na msome andiko hili na mwelewe vyema sio Kila mtu anae weka tangazo humu anakuwa anataka akuchunguze na kukujua...
Niende kwenye mada.
Kama Kuna muhusika wa kampuni ya tigo humu ndani anifikishie amri yangu kwa mtu anayeusika, kuwa sitaki kusikia tangazo lao la karibu dakika mzima wakati napiga simu.
Yaani unatumia dakiki nzima kusikiliza vijielezo vyenu nikasajili simu wakati nimesha sajili? Mwisho wa...
- Essence Driving Schools
Afisa masoko (01) na afisa huduma kwa- wateja (01) shule ya udereva anahitajika
Sifa
1. Uwezo wa kuongea/ushawishi vizuri sana na wateja
2. Uwezo wakufanya kazi yenye matokeo
3. Uelewa zaidi katika kutafuta wateja kwa- njia ya mitandao ya kijamii
4. Muonekano...
Tangazo la TRA kuwatumia wapangaji kukusanya kodi ya zuio kwenye upangaji wa nyumba linaweza kuathiri zoezi la sensa kwani upo uwezekano wa baadhi ya taarifa za umiliki wa ardhi, nyumba kufichwa kuogopa kulipa kodi stahiki.
Ni muhimu kwa taasisi kama TRA kukaa kimya kuliko kutoa matamko...
Nimeona juhudi za Kutangaza nchi (Ni Vema na Haki) ila kuna hili Tangazo la Kutangaza Utalii la Royal Tour nimeona kama sasa linatangazwa na kupewa juhudi yaani ya kuangalia Filamu zaidi hata ya kuhamasisha watu wafanye / waangalie kile ambacho kinatangazwa kwenye hilo Tangazo.
Sio vibaya...
Kwa wadau wa Sports Marketing, mnaonaje tangazo la mdhamini wa ligi kuu (NBC Bank)?
Kwa maoni yangu, tangazo la mdhamini wetu wa ligi kuu (NBC Bank) ni zuri lakini haliwatangazi. Tangazo lao, haliwatangazi bali linaonesha tu kuwa nao bado wapo.
Segement ya huduma zao ipo kama haipo. Mpaka...
Maombi ya nafasi za kazi kada ya Afya na Elimu yameanza kupokelewa na TAMISEMI lakini kuna mkanganyiko ambao nimeuona kwa watu wenye ulemavu. Kwa namna ya kuomba.
1. Japo maombi yanapashwa kupitia kiunga cha ajira.tamisemi.go.tz maombi kwa watu wenye ulemavu yametakiwa kutumwa kwa 'nakala...
Heshima kwenu wakuu.
Naomba kuwasilisha tangazo lilitolewa na Wizara ya Afya Tanzania kuhusiana na hizi ajira 1650 zilizotangazwa wiki iliyopita, kuna thread nikiiweka inayosema kuwa Tangazo la kazi lililotolewa na Wizara ya Afya lina Mapungufu.
Mapungufu yaliyopo kwenye tangazo walilolitoa...
Salaam,
Kuna kazi zimetoka siku 2 hizi, zimetokea Wizara ya Afya zikitangaza kada tofauti tofauti, katika kada hizo pia kuna nafasi za madereva (4), lakini wameelezea vigezo na masharti ya kada zote walizoweka lakini hawajaweka maelezo kwa kada ya udereva.
Je, mpaka tangazo hili limeameriwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.